MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,025
Alivamiwa na watu nyumbani kwake mida ya usiku akapigwa na kuporwa laptop yake. Majeraha yalipelekea kifo chake siku chache baadaye.Chanzo cha kifo ni ugonjwa aliokuwa nao wakati akiwa matibabuni madaktari walishindwa kuokoa maisha yake japo walipigania mpaka dakika ya mwisho..
Naomba jf waifunge hii thread kwa heshima
Watuhumiwa walikamatwa ila kesi sijui iliishia wapi
