comrade wetu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 964
- 605
Naniliu yule rafiki na jiwe hajambo?
Naniliu yule rafiki na jiwe hajambo?
Yupi huyo?
Naniliu yule rafiki na jiwe hajambo?
Naniliu yule rafiki na jiwe hajambo?
Kwakweli Phd kama za Bana,Lipumba,Kitila et al lazima kudadisiwa.Hapo mwisho umevuruga kabisa kwa kukandia usomi wa hao jamaa kwa kigezo kinachoonekana ni mahaba fulani ya kisiasa. It’s simply wrong kama hauna elimu ya kuifanyia tathmini elimu yao.
Maana, tatizo letu lingine ni mtu mwenye elimu ya kiakademia ya chini anakosoa ile ya juu yake. Hamna kitu kama hicho kwenye ulimwengu wa taaluma. Mathalani kama wewe ni wa form 4 na umekuta watu wanajadili Phd ya mtu, basi pita mbali hamna haja ya kukaukwa mate hapo.
Yupi huyo?
Lakini wale matapeli chadema walikuwa wakimuita CCM B.Mvungi alikuwa havungi!!
Dr. Mvungi alikuwa critical thinker,katika mchakato wa katiba Mpya alikuwa na revolutionary ideas nyingi na ambazo kwa kiasi hazikuendana na matakwa ya watawala na wenzake.Kwa mujibu wa fununu,kuna aina fulani ya maoni ya msingi sana ambayo hayakuingia katika rasimu ya Warioba ambayo kuna siku wajumbe wa tume watayaweka wazi.Maoni haya inasemekana yangebadilisha muonekano na muelekeo wa taifa letu.Huyu alikuwa mmoja ya wasomi waliokuwa wanaaamini katika elimu waliyopata. Ni msomi ambaye ali elimika na si kuishia kuwa na vyeti.
Alifariki South Africa akiwa matibabuni.kifo chake kinahusishwa kwa ukaribu sana na mchakato wa Katiba Mpya. JAMIIFORUMS ni sehemu tuna thubutu kuzungumza.
Nini kilikuwa chanzo halisi, sababu ya kifo cha mwanasheria huyu Dr. S. Mvungi? Je mnakumbuka wasomi wangapi walioamini katika Elimu walikufa kwa sababu ya Kupigania Taifa hili? Mnamkumbuka Dr. J. Mwaikusa? Aliyepigwa risasi?
Tusipo waenzi hawa Tanzania itabakia na watu kama akina Dr. Bana, Prof. Lipumba, Prof. Kitila Mkumbo etc. Ambao ni mzigo na hasara kwa Taifa.
Yule mwembamba mrefu na pua nyembamba kama mzungu maana ndo anamfundisha jiwe umafia
Hapo mwisho umevuruga kabisa kwa kukandia usomi wa hao jamaa kwa kigezo kinachoonekana ni mahaba fulani ya kisiasa. It’s simply wrong kama hauna elimu ya kuifanyia tathmini elimu yao.
Maana, tatizo letu lingine ni mtu mwenye elimu ya kiakademia ya chini anakosoa ile ya juu yake. Hamna kitu kama hicho kwenye ulimwengu wa taaluma. Mathalani kama wewe ni wa form 4 na umekuta watu wanajadili Phd ya mtu, basi pita mbali hamna haja ya kukaukwa mate hapo.
Hapo mwisho umevuruga kabisa kwa kukandia usomi wa hao jamaa kwa kigezo kinachoonekana ni mahaba fulani ya kisiasa. It’s simply wrong kama hauna elimu ya kuifanyia tathmini elimu yao.
Maana, tatizo letu lingine ni mtu mwenye elimu ya kiakademia ya chini anakosoa ile ya juu yake. Hamna kitu kama hicho kwenye ulimwengu wa taaluma. Mathalani kama wewe ni wa form 4 na umekuta watu wanajadili Phd ya mtu, basi pita mbali hamna haja ya kukaukwa mate hapo.
Hakuna faida ya elimu kama ya Bana, ni total loss!Hapo mwisho umevuruga kabisa kwa kukandia usomi wa hao jamaa kwa kigezo kinachoonekana ni mahaba fulani ya kisiasa. It’s simply wrong kama hauna elimu ya kuifanyia tathmini elimu yao.
Maana, tatizo letu lingine ni mtu mwenye elimu ya kiakademia ya chini anakosoa ile ya juu yake. Hamna kitu kama hicho kwenye ulimwengu wa taaluma. Mathalani kama wewe ni wa form 4 na umekuta watu wanajadili Phd ya mtu, basi pita mbali hamna haja ya kukaukwa mate hapo.
ngoja nifike mkuu njaa inaniuma
Matakwa ya chama fulaniHuyu alikuwa mmoja ya wasomi waliokuwa wanaaamini katika elimu waliyopata. Ni msomi ambaye ali elimika na si kuishia kuwa na vyeti.
Alifariki South Africa akiwa matibabuni.kifo chake kinahusishwa kwa ukaribu sana na mchakato wa Katiba Mpya. JAMIIFORUMS ni sehemu tuna thubutu kuzungumza.
Nini kilikuwa chanzo halisi, sababu ya kifo cha mwanasheria huyu Dr. S. Mvungi? Je mnakumbuka wasomi wangapi walioamini katika Elimu walikufa kwa sababu ya Kupigania Taifa hili? Mnamkumbuka Dr. J. Mwaikusa? Aliyepigwa risasi?
Tusipo waenzi hawa Tanzania itabakia na watu kama akina Dr. Bana, Prof. Lipumba, Prof. Kitila Mkumbo etc. Ambao ni mzigo na hasara kwa Taifa.
Yaaani hao waliobaki ni ushuzi tupuHuyu alikuwa mmoja ya wasomi waliokuwa wanaaamini katika elimu waliyopata. Ni msomi ambaye ali elimika na si kuishia kuwa na vyeti.
Alifariki South Africa akiwa matibabuni.kifo chake kinahusishwa kwa ukaribu sana na mchakato wa Katiba Mpya. JAMIIFORUMS ni sehemu tuna thubutu kuzungumza.
Nini kilikuwa chanzo halisi, sababu ya kifo cha mwanasheria huyu Dr. S. Mvungi? Je mnakumbuka wasomi wangapi walioamini katika Elimu walikufa kwa sababu ya Kupigania Taifa hili? Mnamkumbuka Dr. J. Mwaikusa? Aliyepigwa risasi?
Tusipo waenzi hawa Tanzania itabakia na watu kama akina Dr. Bana, Prof. Lipumba, Prof. Kitila Mkumbo etc. Ambao ni mzigo na hasara kwa Taifa.
Halafu na nyie watu mnaojuaga kitu huwa mnaanza na mbwembwe au unataka tukupe mji ndio utaje? Haya chukua chato ili utaje.
Pr- B. Bana / Pr- LipumbaHuyu alikuwa mmoja ya wasomi waliokuwa wanaaamini katika elimu waliyopata. Ni msomi ambaye ali elimika na si kuishia kuwa na vyeti.
Alifariki South Africa akiwa matibabuni.kifo chake kinahusishwa kwa ukaribu sana na mchakato wa Katiba Mpya. JAMIIFORUMS ni sehemu tuna thubutu kuzungumza.
Nini kilikuwa chanzo halisi, sababu ya kifo cha mwanasheria huyu Dr. S. Mvungi? Je mnakumbuka wasomi wangapi walioamini katika Elimu walikufa kwa sababu ya Kupigania Taifa hili? Mnamkumbuka Dr. J. Mwaikusa? Aliyepigwa risasi?
Tusipo waenzi hawa Tanzania itabakia na watu kama akina Dr. Bana, Prof. Lipumba, Prof. Kitila Mkumbo etc. Ambao ni mzigo na hasara kwa Taifa.
Ni kwel mkuu bila kupga kelele kwa hawa wadhalim hakika tz itakuja kubak ya akina prof lipumba
Mzazi wa Dr Bana amepata hasara tasilimu 95%Kwa kweli mnaponikumbusha kuhusu Dr Bana napata hasira kwa hasara ya kodi za wananchi zilizotumika kumsomesha mpaka PHD.
Kitu gani hicho mkuu
Kitu gani hicho mkuu
Uko sawa, kwa vile hukusoma na ulikuwa unamfahamu kupitia mikutano ya NCCR basis lazima umjue kama mwanasiasa.Mimi namkumbuka kama mwanasiasa na sio mwanazuoni