Kuna mawili. Inawezekana
1. Akili yako inashindwa kupambanua mambo
2. Una tatizo la kuelewa hata kitu chepesi sana.
Kwanza hujui elimu yangu na sina haja ya kukwambia ili nikuaminishe.dr. mvungi aliwahi nifundisha, marehem chachage aliwahi ni fundisha. Prof Kabudi aliwahi nifundisha. Dr. Bashiru aliwahi nifundisha.
Well. Naweza kuwa na elimu ya darasa la saba.sikatai lakini nikawa nimeelimika kuliko mwenye phd. Elimu si makaratasi au vyeti. Nyerere hakuwa na phd, socrates hakuwa na phd,bill gates hana phd,
Naheshimu watu waliosoma wakaelimika na kutumia elimu yao kwa manufaa ya taifa. Sasa sijajua wewe inakuaje umeshindwa elewa lugha nyepesi kama hii ukarukia hitimisho kondefu kama hilo