Chanzo Cha bifu la Mo Dewji na Swedi Mkwabi

Chanzo Cha bifu la Mo Dewji na Swedi Mkwabi

Mo aanzishe team yake,si tajiri?Kaja Simba akijua Simba ina base tayari na anapata faida.
Ndg. ukifuata mambo ya BASE naona Historia itajirudia!! Na wale mababu waliyoianzisha na kuilea Sunderland SC (Simba ya leo) wataearithisha wajukuu zao!!
Timu za mpira siyo mamluki !! TZ tunataka maendeleo na mashindo siyo kurudi hatua kumi nyuma!!
 
Mo aanzishe team yake,si tajiri?Kaja Simba akijua Simba ina base tayari na anapata faida.
Mo amezoea vya kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Hata utajiri "wake" mkubwa umetokana na viwanda vilivyojengwa na Mwalimu na Mkapa akaanza kuvigawa kwa wafanyabiashara kwa jina la ubinafsishaji! Na ndio maana hata alipoichukua African Lyon isiyokuwa na mizizi, akabwaga manyanga alfajiri na mapema na kuanza kuinyemelea Simba ambayo tayari ilishakuwa fully established huku ikikosa tu commercial attitude leadership!

NI matusi kwa klabu kama Simba kuithaminisha 49% kwa TZS 20Billion; Simba ambayo, endapo inakuwa na uongozi ulio commercial oriented, hiyo 20B ni pesa inayoweza kupatikana kwa kuuza jezi tu ndani ya miaka isiyozidi minne kwa estimation ya jezi 1M kwa mwaka, with profit margin ya TZS 5000/jezi!
 
We umenunua jezi? Au unakadiria tu mapato
 
Nawaangalia mashabiki wa Simba mnavyo mdharau MO,ila upuuzi wowote mtakao ufanya uongozi wa Simba na ukamfanya MO aondoke, kwetu sisi Yanga ni furaha.

Hamna mwekezaji atakayewekeza hela yake bila faida,mnauliza bil 20 wakati nyingi wenye 51% hamjaweka hata shilingi kumi na kabla MO hajachukua Simba mlikuwa na madeni na account zenu zilikuwa hazina kitu,MO kaja kuwafutia aibu.

Humu kuna watu wanapiga kelele lakini hawana kadi ya Simba na hawajawahi kulipa hata mbuni kuichangia Simba kazi kupiga kelele tu.

Sasa neng'enekeniiiiiiiii alafu MO aondoke,ndio mtajua kwa nini sisi Yanga tunatembeza bakuli.Tanzania hamna WAPENZI wa mpira wengi wa MASHABIKI ni oya oya ambao hawana msaada kwa timu,alafu wana maneno wakati hawajui hata ada ya kadi ya uanachama wa Simba ni shilingi ngapi,shauri yenu na timu yenu,maisha ya kutembeza BAKULI magumu sana.
 
Mzee Akili mali baada ya kuona Yusuph Mehboob Manji nae kaachana na mambo ya Yanga

MO akiondoka Simba na Kina Mkwabi na Kilomoni nao wataka pembeni

Timu ya Taifa, Simba na Yanga ni timu za Serikal
 
Lakini hapo kuna mgongano wa maslahi waziwazi,huwezi ukaidhamini simba kwa 20,000,000 kwa mwezi.
Mkwabi anayo hoja kabisa.
 
Nyinyi, ndio Nyerere aliowasema kuwa, una almasi, anakuja mtu na chupa,iliyopondwa na kuambiwa ndiyo almasi, na almasi halisi uliyonayo, siyo almasi. Mnabadirishana! Basi unatoka hapo, ukiwa na vichupa, unashangilia kama zuzu!
Simba wasijidanganye kumpoteza MO! Kwanza, wanachama/wapenzi wa Simba wagumu kweli kuchanga changa fedha!
Asiyejua kufa, atazame kaburi (Yanga).
Kumbe umekubari kwamba yanga ni timu inayopedwa sana nchi japo hatuna mdhamini lkn mambo yanaenda vzr lkn simba ngoja moo aondoke mtapata tabu sana kwanza wabahiri sana kuichangia timu
 
Sasa yeye ana 49% ya hisa, kwa nini anang’ang’ania ashike hati ya mali za timu, MO amekaa ki ujanja na utapeli tu. Halafu anaithaminisha Simba kwa kutumia majengo tu bila ya brand, Simba ni brand kama ni majengo tu ya Kariokoo ni bei ndogo ila brand ya Simba ni kubwa. MO ana dalili zote za utapeli.
Brand Name pekee inakopesheka?

Brand name hata ikiwa popular vipi bila Assets what for???
 
Unafananisha vilabu vya ulaya na bongo? Wabongo kununua jezi original sio wote wanaweza
Nini maana ya jezi original?! Jezi yoyote itakayotengenezwa na Simba wenyewe ndiyo original hiyo na nyingine yoyote ile mbali na hapo ni fake hata kama itakuwa na ubora kuliko zile za Simba! So, kazi ya klabu hapo ni kupambana na jezi zote fake uili soko libaki na jezi original peke yake!
 
Hawezi weka 20B wakati wenye asilimia 51 upande wa wanachama hawajaweka assets zao ikiwepo hati alishikilia mzee Kilomoni
Ndio ukweli wenyewe wala hakuna cha kumung'unya maneno.Una Hisa 51% halafu mali ulizonazo ambazo hazifikishi mtaji hata wa milioni 10 hutaki kucontribute basi ni uenda wazimu huo na ndio maana Manji alisepa zake.
 
Mm nasemaje; simba ikimooteza MO itayumba kama Yanga.

Ila pia MO yy wasi wasi wake nn? Hela si anazo bhna? Tena tajir namba moja Tz? Anashindwa nn kuanzisha timu yake kam mwenzake Bakhresa?
Pesa za familia zile na kila mwaka lazima ndugu wahitaji dividend pia

Yeye amewekwa kama msimamizi tu wa Mali baada ya Mzee kuugua kiharusi.

Ila hajaweka tu wazi kama Bakhressa
 
Brand Name pekee inakopesheka?

Brand name hata ikiwa popular vipi bila Assets what for???
Basi MO achukue pesa yake aanzishe timu yake tuone kama itakuwa na thamani sawa na Simba, thamani ya Simba si majengo tu, ni mashabiki wake na historia yake. MO analeta ujanja ujanja wa kijinga kusema thamani ya Simba ni majengo tu.
 
Back
Top Bottom