brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,393
- Thread starter
- #81
Kwaiyo ulitaka Mo aweke bilioni 20 alafu kusiwe na security ya pesa yake?Kama Simba imekosa viongozi wa kuweza kuipandisha kiuchumi haihalalishi tapeli mmoja kuja kuimilika kiujanja ujanja. Mwekezaji yoyote ukimuona ana rongo rongo nyingi ujue ni mwizi tu, MO yeye aliingia mkataba wa kuweka 20bn saivi anakuambia thamani ya Simba ni 3bn, halafu mnataka kumchekia jizi la kihindi hili, eboo.
Simba lazima waweke assets zao kwa Mo ili aingize pesa kwenye account ya Simba ile Ni biashara sio msaada