Chanzo Cha bifu la Mo Dewji na Swedi Mkwabi

Ukiwa ROFA, hata ufanyeje, utabaki kuwa chini ya mwenye nacho.
Hebu tuambie, toka ajiengue Manji huko Yanga, hiyo BRAND yao imewasaidia nini?
Na ukichunguza wachangiaji wengi wanao mponda MO humu, si wanachama/mashabiki wa Simba!
Huu wimbo wa brand...brand ni kujidanganya na kuficha udhaifu.Neno brand limesaidia nini hivi vilabu ambavyo hata michango yenyewe kuchanga ni shidaaaa.kulipia kadi ya uanachama shidaa.Kama brand inayopigiwa debe, basi Yanga wangefikisha ktk harembee zaidi ya bilioni 3 lkn wameambulia milioni 900.Brand haiwezi kufanikisha chochote bila ya kuwa na mtaji.Fundisho tumelipata toka kwa Yanga na Manji.
 
Basi MO achukue pesa yake aanzishe timu yake tuone kama itakuwa na thamani sawa na Simba, thamani ya Simba si majengo tu, ni mashabiki wake na historia yake. MO analeta ujanja ujanja wa kijinga kusema thamani ya Simba ni majengo tu.
Sasa kwanini klabu ya Simba isitumie brand name kukopa pesa na kujiendesha yenyewe?

Si ina Jina kubwa?
 
Sasa yeye ana 49% ya hisa, kwa nini anang’ang’ania ashike hati ya mali za timu, MO amekaa ki ujanja na utapeli tu. Halafu anaithaminisha Simba kwa kutumia majengo tu bila ya brand, Simba ni brand kama ni majengo tu ya Kariokoo ni bei ndogo ila brand ya Simba ni kubwa. MO ana dalili zote za utapeli.
HAHAHA SIDHANI KAMA UNAELEWA UTAPELI NI NINI.. KWA WALIO WACHACHE TUNASAMEHE FIKRA HIZI
 
Mo amezoea vya kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Hata utajiri "wake" mkubwa umetokana na viwanda vilivyojengwa na Mwalimu na Mkapa akaanza kuvigawa kwa wafanyabiashara kwa jina la ubinafsishaji! Na ndio maana hata alipoichukua African Lyon isiyokuwa na mizizi, akabwaga manyanga alfajiri na mapema na kuanza kuinyemelea Simba ambayo tayari ilishakuwa fully established huku ikikosa tu commercial attitude leadership!

NI matusi kwa klabu kama Simba kuithaminisha 49% kwa TZS 20Billion; Simba ambayo, endapo inakuwa na uongozi ulio commercial oriented, hiyo 20B ni pesa inayoweza kupatikana kwa kuuza jezi tu ndani ya miaka isiyozidi minne kwa estimation ya jezi 1M kwa mwaka, with profit margin ya TZS 5000/jezi!
Kusema ni rahisi lakini kutenda na kutimiza malengo itabaki ni ndoto za alinacha.Simba imekuwa full established????? wakati kila anayeingia madarakani anafikiria kupiga pesa na siasa nyingi.Ukweli usiofichika kuna genge chafu linapigia mahesabu ya kuzipiga 20 bilioni kwa masilahi yao binafsi na wamemkuta MO naye sio fala.Wenye hisa 51% hawajaweka mzigo na wala hawangaiki hata kutafuta wadhamini wamekalia kuimba Simba brand kubwa na kukodolea macho kwenye 20B.
 
Na ndo maana nimesema ilichokosa ni uongozi ambao upo commercial oriented huku wengi wao kama sio wote wanajali maslahi yao! And YES, ipo full established kwa sababu ina utajiri mkubwa sana wa wanachama!
 
Bongo tunafeli sana,
Sasa nini kifanyike ili soka letu likue,,?

Manake ugonjwa wa simba leo ndo ugonjwa wa yanga kesho na daktari wa hayo maradhi ni TFF amabae na yeye yupo kitandani kawekewa dripu kwa maradhi hayohayo,yupo hoi ajitambui,!!
KWA MARADHI TULIYONAYO.. IT REAL SICKENS EVEN ONES WHO AREN'T INVOLVED WITH ADMINISTRATION DUTIES TO CHANGE ON HOW THINGS ARE ROLLING. TUNA EXPERTISE, TOOLS, RESOURCE LAKINI...
 
Sasa kwanini klabu ya Simba isitumie brand name kukopa pesa na kujiendesha yenyewe?

Si ina Jina kubwa?

Kama Simba imekosa viongozi wa kuweza kuipandisha kiuchumi haihalalishi tapeli mmoja kuja kuimilika kiujanja ujanja. Mwekezaji yoyote ukimuona ana rongo rongo nyingi ujue ni mwizi tu, MO yeye aliingia mkataba wa kuweka 20bn saivi anakuambia thamani ya Simba ni 3bn, halafu mnataka kumchekia jizi la kihindi hili, eboo.
 
Huu wimbo wa brand...brand ni kujidanganya na kuficha udhaifu.Neno brand limesaidia nini hivi vilabu ambavyo hata michango yenyewe kuchanga ni shidaaaa.kulipia kadi ya uanachama shidaa.Kama brand inayopigiwa debe, basi Yanga wangefikisha ktk harembee zaidi ya bilioni 3 lkn wameambulia milioni 900.Brand haiwezi kufanikisha chochote bila ya kuwa na mtaji.Fundisho tumelipata toka kwa Yanga na Manji.

Simba ni brand, ni vile tu bado haijapata viongozi wanaoweza kutumia vyema brand yao kuingiza mapato ya ziada. Azam hadi leo akicheza mechi kubwa ya CAF hawezi jaza uwanja wa Taifa, hiyo ndio tofauti ya Simba/Yanga na timu yoyote. Hata MO analialia kwa kuwa anajua Simba ni brand ndio maana Singida Utd na African Lyon MO alizishindwa.
 
Siwezi toa pesa yangu eti nachangia chama sijui timu nyie endeleeni kupigwa
Hao matajiri lazima watafute faida kwanza wanunue hizo timu in full mfano kila kitu wamuachie yeye mo afu awalipe Simba gawio wawe wanakutana kwenye kwenye vikao vya bodi na wanahisa basi
 
Mo amezoea vya kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Hata utajiri "wake" mkubwa umetokana na viwanda vilivyojengwa na Mwalimu na Mkapa akaanza kuvigawa kwa wafanyabiashara kwa jina la ubinafsishaji! Na ndio maana hata alipoichukua African Lyon isiyokuwa na mizizi, akabwaga manyanga alfajiri na mapema na kuanza kuinyemelea Simba ambayo tayari ilishakuwa fully established huku ikikosa tu commercial attitude leadership!

NI matusi kwa klabu kama Simba kuithaminisha 49% kwa TZS 20Billion; Simba ambayo, endapo inakuwa na uongozi ulio commercial oriented, hiyo 20B ni pesa inayoweza kupatikana kwa kuuza jezi tu ndani ya miaka isiyozidi minne kwa estimation ya jezi 1M kwa mwaka, with profit margin ya TZS 5000/jezi!

Hao viongozi kwa Tanzania bado hawajazaliwa
 
Basi MO achukue pesa yake aanzishe timu yake tuone kama itakuwa na thamani sawa na Simba, thamani ya Simba si majengo tu, ni mashabiki wake na historia yake. MO analeta ujanja ujanja wa kijinga kusema thamani ya Simba ni majengo tu.

History ya simba inaweza kulipa wachezaji mishahara?
 
Kama Simba imekosa viongozi wa kuweza kuipandisha kiuchumi haihalalishi tapeli mmoja kuja kuimilika kiujanja ujanja. Mwekezaji yoyote ukimuona ana rongo rongo nyingi ujue ni mwizi tu, MO yeye aliingia mkataba wa kuweka 20bn saivi anakuambia thamani ya Simba ni 3bn, halafu mnataka kumchekia jizi la kihindi hili, eboo.
Hujajibu swali nililokuuliza

Angalia nilichouliza kisha unijibu.
 
Watz njaa inawafanya muabudu watu, MO yeye ni mwekezaji, hajipangii bei, Simba ndio wanapanga bei, kila kukicha yeye ni manung’uniko na kusema Simba thamani yake ni 3bn tu ya majengo ya Kkoo, huo ni uhuni.

Kama MO hawezi kuwekeza 20bn iliyokubaliwa afunge virago aende, Simba imeishi tangu 1930s na itaendelea, yeye mbona Singida Utd na African Lyon zilimshinda?
Uko sahihi sana mkuu MO biashara ya mpira alikwisha shindwa tangu zamani,Mo siyo mshabiki wa mpira yeye ni mfanyabiashara kaka yeye ni mkereketwa wa mpira aanzishe taasisi yake ya mpira kama ilivyo Azam!!Mo kachukua mashamba ya mkonge na chai kule Tanga si o kwa ajili ya kuyaendeleza bali kwa ajili ya kupata mikopo mirefu,simba na Yanga ni ngumu sana Mo anzisha taasisi ya michezo kama una nia ya kusogeza mpira wa Tanzania
 
Nataka kuamini serikali huwa ina mkono kuvuruga hizi club kadri zinavyokaribia mafanikio. Pumbavu kabisa wooote mnaotuvuruga
 
Kabisa hivi vilabu Simba na Yanga zinapofikiaga tu wakati was kujikwamua Kuna nguvu flani inakuja kudhoofisha kwa maksudi
 
MO ameanza kurudisha pesa yake sasa vumilieni tu
 
Back
Top Bottom