Tetesi: Chanzo cha beef kati ya Mr. Blue na Nyandu Tozi ni uchawi (Halal Badr ya Kihindi)

Dah! kwel we 'likuda', nyandu na bayser wametoa ngoma inaitwa “mawe” ft Rayvanny haina hata mwezi

地那天刚才妇产科☆
 
Niliwahi kuishi SA way back viunga vya Athlone, Mitchell's Plain na Mowbrey! Mabaharia wa Kitanga walikuwa wameishika biashara ya nyunga! Wao waliita utumiaji wa madawa kuwa ni ALBADIR YA KIHINDI wakimaanisha ngumu kwa mtumiaji kuacha! Sawa na uchawi wa kihindi ngumu kupata tiba!

Sent using Jamii Forums mobile app
nini maana ya 26 number huko south Africa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom