Uzi wa Tamthiliya ya UNFAITHFUL ya Azam Two

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
907
Habari wakuu,

Huu ni Uzi maalum Kwa ajili ya Tamthiliya pendwa ya kituruki inayojulikana kama Sadakatsız (unfaithful) inayorushwa katika luninga ya Azam Two kuanzia jumatatu Hadi Ijumaa majira ya saa Tatu kamili usiku.

Tuambiane upo team gani

Team Asya
Team Volkan
Team Derin
Team Aras


Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom