Tunaofuatilia Tamthilia ya Brothers star times

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
1,013
1,634
Kwanza niweke wazi mimi sio mpenzi wa hizi Tamthilia za kifipilino, Kikorea, sijui kituruki zinazorushwa Kwenye hivi vituo vya TV zetu zinazoingizwa maneno ya kiswahili.
Nakumbuka nilikua nagombana sana na wife ukifika Muda wa Brothers halafu unakuta muda huo kuna mechi.
Ila siku moja akanambia hebu angalia hii Tamthilia japo mara moja ukiona ni mbaya tutakuacha uangalie mipira yako
Basi nakumbuka siku hiyo niliangalia nikiwa nimesimama na kisirani changu, ila kadri Muda ulivyokua unakwenda nilikua nailewa, siku ya pili niliangalia nikiwa nimekaa,
Baada ya hapo mimi ndio nikawa kiongozi wa hiyo Tamthilia, nawahi kurudi nyumbani, nalipa king'amuzi kwa wakati,
Kwa kifupi hii Tamthilia imebeba uhalisia kwa 100%
Bajeti yao iko juu
Na pia tunajifunza mengi
Kikubwa ni kwamba serikali ikiwa ya kifisadi ni vigumu kiongozi kupambana akiwa ndani ya hiyo ya serikali,
Watanzania sijui tutafika lini kwenye uigizaji huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom