Channel 10 Live: Jenerali on Monday

Huyu jana alikuwepo kwenye kipindi cha Malumbano ya home ITV wiki iliyopita. Anatumia nguvu nyingi kuelezea kitu ambacho yeye mwenyewe hakiamini. Ni kama yupo kwenye mradi fulani wa upotoshaji.
 
Huyo jamaa anadhalilisha hata taasisi ikiyomwajiri. Wote wanaonekana hamna kitu ni usanii tu.
Hilo ndio tatizo la kulishwa mawazo.
 
kwanza kawapotosha watanzania kuwa serikali tatu sio maoni ya watanzania bali ni kikundi cha watu wachache kilichoidhinisha serikali tatu,hapo hanma mwandishi wa habari,kwanza ameidhalilisha tasinia ya uandishi wa habari.
 
Amebanwa sana na Jenerali hadi nikamuonea huruma, huyu kwake KAOLE tu akaigize, kwenye suala la Katiba hana data kabisa!!!!
 

bahati mbaya sana magamba kila wanayetaka kumtumia kupotosha ni mweupe huyo jamaaa yupo kwenye mission
 
Huyo jamaa alikuwepo kwenye kipindi cha malumbano ya hoja akaongea pumba zake moja ninayokimbuka eti kila rais atakuwa na maamuzi na jeshi lake kwahyo rais wa Tanzania hatakuwa na jeshi bali ni marais wa Tanganyika na Zanzibar,maana alionesha dhahiri draft ya katiba hata haijui maana kwenye suala la Muungano Rais wa Tz atakuwa na mamlaka kwenye ulinzi.
Nasikia jamaa ni kiongozi wa chuo cha mwlmu Nyerere, jamaa anakidhalilisha chuo kabisa maana sidhani kama ana elimu ya uraia hata ya la 4 B.
Utakuta jamaa yupo chumba cha habari ya hiyo radio na wanamuminia ile mbaya.
 

huyu jamaa kilaza sana kutoka clouds media, nasikia eti ndo mrithi wa bi makinda 2015.
 
Hv iki kipindi kina marudio siku za weekend,maana mmeponda mpaka nimecheka usiku huu .
 
huyu jamaa kilaza sana kutoka clouds media, nasikia eti ndo mrithi wa bi makinda 2015.

Da mtu ambaye kwenye malumbano ya hoja aliuliza mipaka Tanganyika itakuwa wapi na mipaka ya Zanzibar itakuwa wapi, hapo elimu ya historia ya nchi yake haijui.
CCM wakimteua huyu jamaa amrithi mama Makinda itadharaulika sana maana itakuwa na watetezi wasiojua wanachokitetea ni nini maana atakuwa anaangalia upepo unavuma wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…