Baada ya kuendelea kusikiliza kipindi hili cha leo trh 27/01/2014.
Kuna mtu anaitwa simalenga ametambulishwa kama mwandishi wa habari.
Mwana habari huyu anasema tume imelazimisha serikali 3 na si mawazo ya watz,
Anasema watu laki tatu hawakustahili kuamua juu ya katiba,
Anadai baadhi wajumbe wa tume ya katiba walikuwa wana G55 ameambiwa awataje ameshindwa
Mtazamo wangu, UAMDISHI WA HABARI INATAKIWA KUWA NA WATU WENYE DIVERSITY OF PROFESSION, nafikiri hoja ya kipindi ingepata mwandishi wa habari ambaye ana taaluma ya sheria/historia/au hata uchumi ua hata fani nyingine angeweza kuleta changamoto za maana.
NI VYEMA PIA WAANDAAJI WA VIPINDI KUALIKA WATU WENYE UJASIRI BILA KUONGEA KWA HOFU NA HISIA TU.
NAWAKILISHA KIZALENDO