Chanjo ya Corona kufanyikia majaribio Afrika

Apo utakua umewapiga Makende zao
Usibirie Kisasi
Waambie walete chanjo ya ukimwi kama wanajali afya ya muafrika maana ndio unaotutesa sio haya mafua
Alafu wanavyo ufanya sasa ivi yani Kama haupo vile wameufanya usiogopeke tena wakati unapoteza watu sio kawaida
 
Nimekutana na Hii kitu mahala nikaona nilete kwa Ma GT Je kuna Ukweli wa hili jambo? kama Lipo hawa sio watu wazuri nna Mashaka nao..Tukae kwa Tahadhari Wananzengo

CHANJO YA CORONA KUFANYIWA MAJARIBIO AFRICA

Umoja wa Mataifa umedhamiria kuifanyia majaribio Chanjo dhidi ya virusi vya Corona katika bara la Africa ili waone kama inafanya kazi.

Aliyetangaza mpango huo ni ni Katibu Mkuu wa umoja huo #Antonio_Guteress.

#Nukuuu___

" Tayari tumetengeneza chanjo ambayo itakuwa Kinga dhidi ya virusi vya Corona na tumedhamiria kuanza kuifanyia jaribio la kwanza barani Afrika ili turuhusu chanjo hiyo itumike , tutaanza kwa kupima mtu mwenye ngozi nyeusi atakayeweza kujitolea na atalipwa pesa nyingi Sana."

# Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita daktari mkubwa nchini ufaransa mwenye asili ya Senegal #Dider_Raoult alionya juu ya Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona itakayo tumwa barani Africa na Bilionea #Bill_Gates kwa mgongo wa Umoja wa Mataifa.

#Nukuuu___

"Tafadhali msitumie chanjo ambayo #Bill_Gates atatuma barani Afrika, nawaomba viongozi wa nchi za Afrika chukueni tahadhari na kuweni makini na chanjo ambazo hawa matajiri wa nchi za ulaya na Marekani wanataraji kuzituma katika nchi zenu, nina imani kuwa chanjo hizo huenda zinalenga kuiangamiza Afrika , embu tafakari kwa makini kama wanahitaji kutoa msaada kwanini wasianzie Italy, Hispania au Marekani ambako watu wanafariki kila kukicha kwani chanjo hiyo isiende kufanyiwa majaribio katika nchi za ulaya na Asia lakini wanaleta Afrika tu ???"
France racism row over Africa testing comments
habari yako ni tofautina iliyoandikwa hapo juu?
 
Upumbavu mkubwa huu kwa nini wasijaribie huko ulikoanzia??
Tena wangetaka kujua efficiency ya hyo chanjo wangeanza na hao ngozi nyeupe wenye immunity ndogo. Wakianza na kwetu ikaonyesha iko safi halafu kwao corona ikaendelea kuwatafuna
 
Naskia Kuna chanjo ya Corona inatakiwa kufanyiwa majaribio Cha ajabu wanataka kujaribia Afrika kwanini wasipeleke Italia wanakokufa maelfu kwa siku?

Mimi Nina mashaka na wazungu wanavyo tuchukulia Kuna muda huwa nahisi roho zinawauma kuona idadi ya maambukizi Afrika ni ndogo kuliko wao

Nina mashaka na hii chanjo isije ikatuletea tu matatizo kwanini isiende kujaribiwa USA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au India maan ndio Kuna raia wengi ukacha China
Naskia Kuna chanjo ya Corona inatakiwa kufanyiwa majaribio Cha ajabu wanataka kujaribia Afrika kwanini wasipeleke Italia wanakokufa maelfu kwa siku?

Mimi Nina mashaka na wazungu wanavyo tuchukulia Kuna muda huwa nahisi roho zinawauma kuona idadi ya maambukizi Afrika ni ndogo kuliko wao

Nina mashaka na hii chanjo isije ikatuletea tu matatizo kwanini isiende kujaribiwa USA?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.............Ila tusisahau hata dawa nyingi huko nyuma zimekuwa zikijaribiwa kwa wanyama kama nyani etc,sasa hawa wajinga kwa jinsi Corona imewafanya wanatamani kuwa sisi but wakati huo huo wanahisi kujithibishia kwamba sisi ni nyani kweli ndo mana test inafanywa kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
afrika hakuna binadamu
wao ndio binadamu kwa mtazamo wao
hao nguruwe
tatizo sisi kila kitu ni ndio
hatujui kukataa sijui ndio uwoga wa kukosa misaada
tutafakari kabla ya kuikubali hiyo chanjo
kwanin wasifanye majaribio kwenye nchi zao zenye wagonjwa lukuki
maskini afrika imekuwa jalala
 
Watakaokubali kujabiwa maana yake wameukana utu na vyote vilivyomo ndani ya utu wao pumb,avu sana hawa jamaa
 
Read btn the lines Acha Kukurupuka

Nimesema nimekutana nayo mahali nikaona kuja nayo humu kuona undania na Maoni ya watu zaidi sasa kosa liko wapi we umeona Kuna Kitu sio sawa it's good na ndio maana nimeleta hapa ili tuikosoe iyo habari
Tumia kichwa chako kufikiria na sio kufugia nywele.

#FAKE NEWS
 
Naskia Kuna chanjo ya Corona inatakiwa kufanyiwa majaribio Cha ajabu wanataka kujaribia Afrika kwanini wasipeleke Italia wanakokufa maelfu kwa siku?

Mimi Nina mashaka na wazungu wanavyo tuchukulia Kuna muda huwa nahisi roho zinawauma kuona idadi ya maambukizi Afrika ni ndogo kuliko wao

Nina mashaka na hii chanjo isije ikatuletea tu matatizo kwanini isiende kujaribiwa USA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo habari umeitowa wapi? Au ni ufataani tu?
 
.............Ila tusisahau hata dawa nyingi huko nyuma zimekuwa zikijaribiwa kwa wanyama kama nyani etc,sasa hawa wajinga kwa jinsi Corona imewafanya wanatamani kuwa sisi but wakati huo huo wanahisi kujithibishia kwamba sisi ni nyani kweli ndo mana test inafanywa kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
are you sure tueshasalimika? Remember the number is increasing na si ajabu tuanaficha hali halisi. Time will tell. If this remains as it is, then thank God!/nature
 
Habari kutoka Ufaransa:

What did the doctors say?
“If I can be provocative, shouldn't we be doing this study in Africa, where there are no masks, no treatments, no resuscitation?” Dr Mira said on TV channel LCI.

Source: BBC NEWS
 
Antonio Guteress
tapatalk_1585841460447.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekutana na Hii kitu mahala nikaona nilete kwa Ma GT Je kuna Ukweli wa hili jambo? kama Lipo hawa sio watu wazuri nna Mashaka nao..Tukae kwa Tahadhari Wananzengo

CHANJO YA CORONA KUFANYIWA MAJARIBIO AFRICA

Umoja wa Mataifa umedhamiria kuifanyia majaribio Chanjo dhidi ya virusi vya Corona katika bara la Africa ili waone kama inafanya kazi.

Aliyetangaza mpango huo ni ni Katibu Mkuu wa umoja huo #Antonio_Guteress.

#Nukuuu___

" Tayari tumetengeneza chanjo ambayo itakuwa Kinga dhidi ya virusi vya Corona na tumedhamiria kuanza kuifanyia jaribio la kwanza barani Afrika ili turuhusu chanjo hiyo itumike , tutaanza kwa kupima mtu mwenye ngozi nyeusi atakayeweza kujitolea na atalipwa pesa nyingi Sana."

# Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita daktari mkubwa nchini ufaransa mwenye asili ya Senegal #Dider_Raoult alionya juu ya Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona itakayo tumwa barani Africa na Bilionea #Bill_Gates kwa mgongo wa Umoja wa Mataifa.

#Nukuuu___

"Tafadhali msitumie chanjo ambayo #Bill_Gates atatuma barani Afrika, nawaomba viongozi wa nchi za Afrika chukueni tahadhari na kuweni makini na chanjo ambazo hawa matajiri wa nchi za ulaya na Marekani wanataraji kuzituma katika nchi zenu, nina imani kuwa chanjo hizo huenda zinalenga kuiangamiza Afrika , embu tafakari kwa makini kama wanahitaji kutoa msaada kwanini wasianzie Italy, Hispania au Marekani ambako watu wanafariki kila kukicha kwani chanjo hiyo isiende kufanyiwa majaribio katika nchi za ulaya na Asia lakini wanaleta Afrika tu ???"
Nilisoma wiki iliyopita kwenye instagram ya mmarekani mmoja anahoji iweje mtu anayepigania depopulation alete chanjo ya corona? Alikuwa anapinga mpango wa Bill Gates
 
Wewe ndo kichwa maji kabisa.

Hivi kwanini watanzania mnashindwa kufatilia Mambo out of Jamii forum?
Ingia mtandao wa BBC NEWS kama hutokuta iyo habari.

Kama hujui kingereza omba msaada wa translators maana habari zipo kwa kingereza.

Tatizo la watanzania wengi hampendi kusoma mmekalia umbeya tu, kupinga kila kilicho kweli.
Pumbavuuuuuu!

Waliosema hivyo ni ma-doctor au huyo boss wa UN?

Jinga kabisaaaa.
 
Ndo yaleyale ya kuwachanja mabinti chanjo ya cervical cancer, wangechanja huko huko ulaya ambako kuna susceptible population, maana sasa kuaminiana kumepungua
 
Back
Top Bottom