Chanjo ya Corona kufanyikia majaribio Afrika

Nimekutana na Hii kitu mahala nikaona nilete kwa Ma GT Je kuna Ukweli wa hili jambo? kama Lipo hawa sio watu wazuri nna Mashaka nao..Tukae kwa Tahadhari Wananzengo

CHANJO YA CORONA KUFANYIWA MAJARIBIO AFRICA

Umoja wa Mataifa umedhamiria kuifanyia majaribio Chanjo dhidi ya virusi vya Corona katika bara la Africa ili waone kama inafanya kazi.

Aliyetangaza mpango huo ni ni Katibu Mkuu wa umoja huo #Antonio_Guteress.

#Nukuuu___

" Tayari tumetengeneza chanjo ambayo itakuwa Kinga dhidi ya virusi vya Corona na tumedhamiria kuanza kuifanyia jaribio la kwanza barani Afrika ili turuhusu chanjo hiyo itumike , tutaanza kwa kupima mtu mwenye ngozi nyeusi atakayeweza kujitolea na atalipwa pesa nyingi Sana."

# Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita daktari mkubwa nchini ufaransa mwenye asili ya Senegal #Dider_Raoult alionya juu ya Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona itakayo tumwa barani Africa na Bilionea #Bill_Gates kwa mgongo wa Umoja wa Mataifa.

#Nukuuu___

"Tafadhali msitumie chanjo ambayo #Bill_Gates atatuma barani Afrika, nawaomba viongozi wa nchi za Afrika chukueni tahadhari na kuweni makini na chanjo ambazo hawa matajiri wa nchi za ulaya na Marekani wanataraji kuzituma katika nchi zenu, nina imani kuwa chanjo hizo huenda zinalenga kuiangamiza Afrika , embu tafakari kwa makini kama wanahitaji kutoa msaada kwanini wasianzie Italy, Hispania au Marekani ambako watu wanafariki kila kukicha kwani chanjo hiyo isiende kufanyiwa majaribio katika nchi za ulaya na Asia lakini wanaleta Afrika tu ???"
Nimekueelewa Sana mkuu!!!ndio maana wamekuwa wakisisitiza raia zao warudi home haraka via Ethiopia airline
 
Nimeona mahali Samweli Etoo na Drogba wamepaza sauti kuhusu hili jambo nawamesema Bara la Afrika sio lakuchezewaprofesa mmoja wa ufaransa alitangaza kuja kifanyia hiyo chanjo huku Afrika, Mungu atunusuru na hilo kama wanataka waje kutusamabazia kwanjia nyingine hatujui laaaa inaumiza sana.
Nimeona tweets zao.... Wamepaza sauti vyakutosha na wameamua kubadili uelekeo wanaipeleka Australia na ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana wanataka kutumaliza kweli hili nimetumiwa toka Oman
IMG-20200405-WA0003.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari haina credibility, tupe source ya uhakika ya hii habari.

Ile waliyoipinga Drogba na Etoo yalikuwa ni maoni binafsi ya madaktari wa ufaransa, ambao wanaweza kuwa ni racist.

Wapi WHO wamelisema hili?

Vilevile watu wanaofanya research ya chanjo ya Corona wanapatikana mataifa tofauti tofauti, kuna Ujerumani, China, Ufaransa etc. Je hao wote wanataka kufanya test zao Africa?

Kabla hatujajadili usalama wa hiyo chanjo, tungejiuliza ukweli kwanza wa hiyo habari. Isije ikawa ndio ule ule upuuzi wa conspiracy theories...

Kama hujajibu haya maswali, huu uzi ni takataka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekutana na Hii kitu mahala nikaona nilete kwa Ma GT Je kuna Ukweli wa hili jambo? kama Lipo hawa sio watu wazuri nna Mashaka nao..Tukae kwa Tahadhari Wananzengo

CHANJO YA CORONA KUFANYIWA MAJARIBIO AFRICA

Umoja wa Mataifa umedhamiria kuifanyia majaribio Chanjo dhidi ya virusi vya Corona katika bara la Africa ili waone kama inafanya kazi.

Aliyetangaza mpango huo ni ni Katibu Mkuu wa umoja huo #Antonio_Guteress.

#Nukuuu___

" Tayari tumetengeneza chanjo ambayo itakuwa Kinga dhidi ya virusi vya Corona na tumedhamiria kuanza kuifanyia jaribio la kwanza barani Afrika ili turuhusu chanjo hiyo itumike , tutaanza kwa kupima mtu mwenye ngozi nyeusi atakayeweza kujitolea na atalipwa pesa nyingi Sana."

# Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita daktari mkubwa nchini ufaransa mwenye asili ya Senegal #Dider_Raoult alionya juu ya Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona itakayo tumwa barani Africa na Bilionea #Bill_Gates kwa mgongo wa Umoja wa Mataifa.

#Nukuuu___

"Tafadhali msitumie chanjo ambayo #Bill_Gates atatuma barani Afrika, nawaomba viongozi wa nchi za Afrika chukueni tahadhari na kuweni makini na chanjo ambazo hawa matajiri wa nchi za ulaya na Marekani wanataraji kuzituma katika nchi zenu, nina imani kuwa chanjo hizo huenda zinalenga kuiangamiza Afrika , embu tafakari kwa makini kama wanahitaji kutoa msaada kwanini wasianzie Italy, Hispania au Marekani ambako watu wanafariki kila kukicha kwani chanjo hiyo isiende kufanyiwa majaribio katika nchi za ulaya na Asia lakini wanaleta Afrika tu ???"
Kwa nini isianze kutumika huko Ulaya na Marekani ambako takwimu zinaonyesha ndio kuna maambukizi makubwa? Hawa wakubwa wana mpango gani na nchi za Afrika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom