UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,239
- 7,605
Sasa hauoni hapo zigo lote anaangushiwa yeye kwa sababu ya mambo ambayo yalikuwa ni msimamo wa serikali iliyopita? Samia yeye kwa nafasi yake amebadili nini kilicho tofauti na Magufuli ukiacha kukubali tu hizi chanjo?Hana uwezo wa kuwashawishi wananchi kwenye swala la corona sasa hivi.Haaminiki amekosa usafi wa kimaadili kusemea chochote kinachohusu corona.
Pia watu hawajaona madhara hasa ya corona kwa scale ya taifa wanaona maisha ni yaleyale toka JPM yupo hadi sasa hakuna kilichobadirika.