#COVID19 Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

hii hali ikiendelea na huu mkanganyiko watuchanje tusichanje basi wananchi hawatajitokeza kabisa kuchanja.

Mkuu wa mkoa kafeli mno katika kuhamasisha wanadsm wajitokeze ilitakiwa leo ndio iwe slama kwa taifa kua dsm watu wamejitokeza wengi
Atumie wasanii..

#MaendeleoHayanaChama
 
Sio kuzoea camera unaweza kuniambia kwanini tamko la watu kuvaa barakoa na kupanda daladala level seat halifanyiwi kazi?? Mbona nyuma iliwezekana why watu wamekaidi now hawafanyi hivyo na yupo tu hachukui hatua zozote unasema tunataka afanyaje?? Btw hata yeye ni mtu wa camera tunamuona kila siku.
Haya makatazo yanawekwa kuwafurahiisha waleta chanjo (wafadhili) ila hakuna linalotekelezwa kwa matendo mfano harusi na Haya matamasha walipiga biti ila vitu kiuhalisia vinafanyika eti kwa kibali maalum tusimlaumu Mkuu wa mkoa vingi ni maigizo
 
Mzimu wa Magu una nguvu sana.....
we lost a real president
Vile mwendakuzimu amefurahia comment yako hii kutokea huko kuzimu.
AYrClH-.jpg
 
Haya makatazo yanawekwa kuwafurahiisha waleta chanjo (wafadhili) ila hakuna linalotekelezwa kwa matendo mfano harusi na Haya matamasha walipiga biti ila vitu kiuhalisia vinafanyika eti kwa kibali maalum tusimlaumu Mkuu wa mkoa vingi ni maigizo

Hapa kuna kana ka ukweli ndan yake lakini
Naomba izi tozo isije ikawa ndio kwa ajir ya manunuzi ya hizi chanjo
 
Pale hali itakapo kuwa mbaya na mahospitalini kujaa watu na mitungi ya oxygen kuwa haitoshi mtaanza tena kumlaumu serikali...
Kauli kama hizo ndio zinazofanya wengine waseme hakuna corona kwa sababu toka mwaka jana hadi mtu anapokuwa haoni hizo hospitali kujaa wagonjwa wa corona kama kipimo cha hali kuwa mbaya ndipo anapoona kuwa Tanzania hakuna corona.
 
afya haijaribiwi tusiache tukapoteza ndugu zetu wengi ndio tukumbuke chanjo
bado elimu juu ya chanjo ni ndogo mno kwa wananch.mwenda zake yupo mioyoni mwa wengi ili nalo ni tatizo lazima iwepo namna mpya wananchi watambue uviko 19 upo na ni hatari
 
Dar es Salaam ni kama imebeba picha ya Tanzania nzima wakati fulani ni kama pilot (case study) katika mikoa mingine.

Mkuu wa mkoa wa DSM alitangaza siku ya leo kuwa kutakua na chanjo ya UVIKO-19 katika uwanja wa taifa wa Uhuru, mimi nimekwenda na nimechanjwa hali nilioiona kwa leo hapana muitikio ni mdogo mno kuna sababu za msingi za kulipa nguvu jambo hili.

Mosi ni kwa wale waliokuwa viongozi wa awamu ya tano katika Wizara ya Afya wajipime,sio mpaka mama awabadilishie majukumu mengine.

Inawapa sana ugumu watanzania" jana waambiwe hivi na leo waambiwe hivi"(kiongozi anasema jana chanjo sio salama leo anasema chanjo ni salama).

Shaka kubwa sana imejengeka hapo kwa wananchi Rai yangu wapatikane viongozi wapya katika wizara hii kutuhamasisha juu ya uchanjwaji huu vinginevyo naona kabisa serikal inaenda kufeli katika jambo hili.

Sio mbaya kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akimuona RC mstaafu aliyegombea kule Mbutu ampe namna ya kuhamasisha watu anapokuwa na jambo lake kwa wananchi wa DSM, naona habari za ofisi yake zinaishia Bungoni tu sio Dar es Salaam yote.

Muwe na Jumapili njema, korona ipo.
Bahati mbaya Awamu ya 6 haikubaliki na wakiendelea hivi uchaguzi wa 2025 utakuwa mbaya sana kwao. Inasikitisha kwasasa chanjo ya Korona ipo kisiasa kuliko kiafya na hii siyo Tanzania tu.
 
ni mbaya sana jambo la afya limemezwa sana na siasa
awamu ya sita ina kazi sana kubwa tatizo inajiona ni serikal ya mpito labda ndio shida
 
Walishakosea toka mwanzo.

JPM akishirikiana na wasaidizi wake waliwaeleza wananchi kuwa corona haipo na chanjo ni njama za wazungu kutaka kutuua na kuja kumiliki mali zetu.

Viongozi wale wale waliotuhaminisha chanjo ni mbaya ndiyo walewale wanaosema sasa hivi corona ipo na watu inabidi wakachanjwe.

Samia alikosea sana kuwateuwa Mrs Gwajima na Mollel kuendelea na nyadifa zao kwa kuwa ni vigumu kuaminika tena hata na familia zao.

Samia alipaswa kuteua waziri mwingine ambaye hakuonekana katika propaganda za JPM za kudanganya watu corona haipo.

Ni afadhari angemteua Dr ndungulile ambaye alionekana wazi kupinga kujifukiza akisema sio njia salama.

Narudia tena aliyetuhatibia hii nchi ni Kikwete.
 
Dar es Salaam ni kama imebeba picha ya Tanzania nzima wakati fulani ni kama pilot (case study) katika mikoa mingine.

Mkuu wa mkoa wa DSM alitangaza siku ya leo kuwa kutakua na chanjo ya UVIKO-19 katika uwanja wa taifa wa Uhuru, mimi nimekwenda na nimechanjwa hali nilioiona kwa leo hapana muitikio ni mdogo mno kuna sababu za msingi za kulipa nguvu jambo hili.

Mosi ni kwa wale waliokuwa viongozi wa awamu ya tano katika Wizara ya Afya wajipime,sio mpaka mama awabadilishie majukumu mengine.

Inawapa sana ugumu watanzania" jana waambiwe hivi na leo waambiwe hivi"(kiongozi anasema jana chanjo sio salama leo anasema chanjo ni salama).

Shaka kubwa sana imejengeka hapo kwa wananchi Rai yangu wapatikane viongozi wapya katika wizara hii kutuhamasisha juu ya uchanjwaji huu vinginevyo naona kabisa serikal inaenda kufeli katika jambo hili.

Sio mbaya kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akimuona RC mstaafu aliyegombea kule Mbutu ampe namna ya kuhamasisha watu anapokuwa na jambo lake kwa wananchi wa DSM, naona habari za ofisi yake zinaishia Bungoni tu sio Dar es Salaam yote.

Muwe na Jumapili njema, korona ipo.
chanjo ni hiari sasa watakuwaje wengi
 
Walishakosea toka mwanzo.

JPM akishirikiana na wasaidizi wake waliwaeleza wananchi kuwa corona haipo na chanjo ni njama za wazungu kutaka kutuua na kuja kumiliki mali zetu.

Viongozi wale wale waliotuhaminisha chanjo ni mbaya ndiyo walewale wanaosema sasa hivi corona ipo na watu inabidi wakachanjwe.

Samia alikosea sana kuwateuwa Mrs Gwajima na Mollel kuendelea na nyadifa zao kwa kuwa ni vigumu kuaminika tena hata na familia zao.

Samia alipaswa kuteua waziri mwingine ambaye hakuonekana katika propaganda za JPM za kudanganya watu corona haipo.

Ni afadhari angemteua Dr ndungulile ambaye alionekana wazi kupinga kujifukiza akisema sio njia salama.

Narudia tena aliyetuhatibia hii nchi ni Kikwete.
Ina maana mkuu watu wamegoma kuchanjwa kwa sababu ya uwepo wa Waziri Gwajima? au ni vp waziri Gwajima anaathiri zoezi la chanjo?
 
Hana uwezo wa kuwashawishi wananchi kwenye swala la corona sasa hivi.Haaminiki amekosa usafi wa kimaadili kusemea chochote kinachohusu corona.

Pia watu hawajaona madhara hasa ya corona kwa scale ya taifa wanaona maisha ni yaleyale toka JPM yupo hadi sasa hakuna kilichobadirika.
 
In the age of information, ignorace is a choice. Hizi SIO chanjo. Ni gene therapy. Ukiipokea, umeyataka mwenyewe. Nchi zote zilizochanja sana ndizo zinateseka na maambukizi mapya. Sasa hivi wanadanganywa tena kuwa wanahitaji booster. Wameshaingia mtegoni. Kama unadhani utaishia na chanjo moja tu, unajidanganya.
 
Walishakosea toka mwanzo.

JPM akishirikiana na wasaidizi wake waliwaeleza wananchi kuwa corona haipo na chanjo ni njama za wazungu kutaka kutuua na kuja kumiliki mali zetu.

Viongozi wale wale waliotuhaminisha chanjo ni mbaya ndiyo walewale wanaosema sasa hivi corona ipo na watu inabidi wakachanjwe.

Samia alikosea sana kuwateuwa Mrs Gwajima na Mollel kuendelea na nyadifa zao kwa kuwa ni vigumu kuaminika tena hata na familia zao.

Samia alipaswa kuteua waziri mwingine ambaye hakuonekana katika propaganda za JPM za kudanganya watu corona haipo.

Ni afadhari angemteua Dr ndungulile ambaye alionekana wazi kupinga kujifukiza akisema sio njia salama.

Narudia tena aliyetuhatibia hii nchi ni Kikwete.
hapo chini umemalizia kwa makasiliko
 
Back
Top Bottom