Changudoa alinidhulumu!!!

Kuna siku mi nilinunua wale wa kona bar, kwenda gest ile navaa kondom kitu ikasinyaa kabisa na demu nilishamlipa 15000. Ukichukulia na nilivyokuwa soft yule changu akajua mi mgeni tu. Akanipa pole na akasepa!
 
Kuna siku mi nilinunua wale wa kona bar, kwenda gest ile navaa kondom kitu ikasinyaa kabisa na demu nilishamlipa 15000. Ukichukulia na nilivyokuwa soft yule changu akajua mi mgeni tu. Akanipa pole na akasepa!

mkuu,mi nashukuru Mungu kwa kutokufanikiwa kuduu,hiyo shughuli kwa wale watu yataka moyo mkuu
 
LoL!!! Mgegedo kakosa halafu Buku 3 zake kadhulumiwa!!! Jamaa alikuwa mnyonge sana alipotoka pale. Pole sana Mkuu.

mkuu bak,nakubali unyonge kabisa,coz c unajua aliongea kiluga,mi sikumuelewa,yaani wakati natoka wakawa kama kumi na tano hivi wako mlangoni,walikuwa kishari kweli kweli,nadhani ningejitia kudinda kudai changu shigongo angeuza gazeti.cjui ningemwambia nini mama yeyoo,ningeificha wapi aibu
 
Reactions: BAK
Tena nifanyaje? Lazima nikucheke maana kilichokufanya uende kwa dada poa ni nini usotulia na roho yako...

we c unajua tena sometymz mnakuwaga na kero za ujinga ujinga,ndo maana nikajitoa ufahamu emberu emberu
 

Pole kaka Hukuzulumiwa ila wewe ndo uliye mzulumu kwani pamoja na biashara anayofanya hua anafaidi na uroda wewe ukampa hela ukamnyima uroda
 

 

Mmmh!!! Source please...?

Sent from my BlackBerry 9900 using Jamii Forums.
 
Hawa dada poa wanamsaada mkubwa sana manake bila wao ubakaji ungeongezeka mara dufu wake zetu sometimes ni kama hawajtambui kabisa kuhusu mapenzi.
 
watu kwa kuponda bwanah,mkuu hyo hali ya kawaida kwa wanaume sisi,mbna ndo zetu sana ila sasa na ww una matatizo yaani husimamishi maka leo au
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…