Changudoa alinidhulumu!!!

Tabora walipatikana Mwanza road. Dodoma barabara ya nane. Tanga ni Mabawa. Dar ni Livingstone na Mwananyamala plus Sudan. Moshi ilikua Dsm road Bongolala malizia


Hata Pale Magomeni Makuti karibu na shule ya Msingi Magomeni, walikuwepo Enzi zile za Mwalimu, sijuhi kama vile Vibanda kama bado vipo
 

.....hofu ya kupata ngoma(vvu)ndio ilokufanya jongoo ashindwe kupanda mtungi,Chezea ukimwi wewe!!!!!!!!!!
 
hahahaahahaha,..

Bila shaka mkeo alikuchezea picha ili usifanikishe azma yako!!



'' pole sana''
 
hapo tanga mabawa unaenda fanya nini mambo yote unamalizia barabara ya 5 kwenye ile bar.

hii bar ya brbr ya tano sijaijua bado ila barabara ya kwanza na ya nane walikuwapo hawa mama poa. dala yaani five bob unapakua meli
 

duuu umeongea kwa experience kapuyanga
 
duuu umeongea kwa experience kapuyanga

Believe me. All men have extra marital sex or even relationships regardless of their ages. tribes. incomes and races. the few who dont are the ones suffering from diabetes those who have suffered strokes etc. or those above sixty five years. mwanamme wa kweli akikuambia hatoki nje ni mwongo mzandiki na mbakaji. muogope sana
 
kwa nini watu wazima hawaendekezi umalaya , kitu kinasimama kwa msimu na ndiyo maana wanapuuzia , sisi wengine usisikie sauti imedis
 
miaka sita aisee umetudanganya hiyo bei ni ya sasa.ilianza sh.500,1000,1500,mwaka jana sh 2000

mkuu,sikuwahi kujua bei zao,hiyo bei ya buku 3 ndio tulikubaliana nilipe,sasa we ndo unanistua kumbe aliniibia mara mbili
 
kwa nini watu wazima hawaendekezi umalaya , kitu kinasimama kwa msimu na ndiyo maana wanapuuzia , sisi wengine usisikie sauti imedis

mkuu uvugizi upo?long tym no hear,za kigoma?
 
hahahaahahaha,..

Bila shaka mkeo alikuchezea picha ili usifanikishe azma yako!!


'' pole sana''

sidhani kama waifu alinichezea mkuu,kwanza mi mwenyewe nilikuwa natetemeka kwa uoga
 
unaonekana hata leo umepitia huko wewe

cjawahi rudi huko mkuu,cjawahi hata chukua mal*ya sehemu yoyote ile,ndo nilikuwa naanza na siku hiyo hiyo ndo ukawa mwisho wangu
 
Mhhhh!!!!!


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…