Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Nakumbuka miaka sita iliyopita, nilizinguana na mwandani wangu, nikaona isiwe tabu, nikajikongoja mpaka Sudani(Temeke), nikaingia kwenye uchochoro wanakokaa dada zetu wale, baada ya kupita mara ya kwanza na kuchunguza kwa makini nikamuona ambaye angenifaa. Mimi huyoo nilipokuwa narudia kupita nikazama chumbani mwake, (alikuwa amekaa mlangoni kwa nje), nae akanifuata, akafunga mlango.
Tukakubaliana buku 3 nikalipa ukizingatia wasi wasi niliokuwa nao, uoga na mawazo kibao nikihofia ngoma na mengineyo,"mzee"akagoma kusimama, mdada wa watu kajaribu wee mpaka akashangaa kwanini mzee hasimami. Alipoona hakuna matumaini akanigeuka akawa mkali na kunifukuza eti nampotezea muda, nilipomwambia anirudishie pesa yangu kwa kuwa sikufanikiwa "kuitumia",mdada kaanza kuongea kiluga, nikaanza kuona watu wamejaa mlangoni, (inavyoonekana alikuwa akiwaita wenzake), nikaona isiwe tabu, nisije nikadhalilishwa bure kwa kipondo, nikafungua mlango nikasepa...
Hiyo ndio ikawa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kuingia kwenye danguro na kujaribu kuchukua dada poa sehemu yoyote ile!!!
Nimeconfess ila waifu hatajua!!!