Acha uhuni wewe, kama huu ushauri umeuona ni upumbavu si ungenyamaza tu? Mara nyingi watu hawana imani ya kutuma fedha kwa mtu wasiyemfahamu. Kama wewe unamjua huyo AGNES BELA misukule wenzio hawamjui. Bora wamtumie BABU direct!
Unajiita mwanamke mtamu halafu kinywa chako kinatema kashfa kama hizi kwa wadau. Nipe namba yako nikuchangie kodi ya nyumba kwanza, Halafu hawa matapeli wenzio nitawachangia baadaye!
Sina shida ndogo namana hiyo MSALANI , changia mabadiliko , acha kuwa zuzu.... Afu nishakuambia kama wewe sio mpenda mabadiliko kaa pembeni, acha wenye nia wachangie!
Kuna tapeli anaezidi huyo aliyeongoza chalinze kwa zaidi ya miaka 15 na bado mpaka leo wananchi wa chalinze hawana maji safi ya kunywa? Kuna utapeli zaidi ya mtoto wa mkulu kuzunguka na kuahidi vitu vile vile alivyoahidi baba yake lakini hakuvitekeleza? Hahahhah acha utani basi mkuu