Changia CHADEMA

Ni kiongozi gani wa chadema aliyetoa ombi hili, ni lini na wapi, wewe uliyeanzisha thread ni nani kwenye cdm na nikwanini asianzishe thread ya maombi kiongozi wa chadema?endapo tutachanga Hela zitafanyia nini?

Mwanzisha thread ni Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Arusha, na pia ni Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Arusha na Diwani wa kata ya Levolosi Arusha. Hivyo usitie shaka Angela. Kutoa ni moyo wala siyo utajiri. Angela unafahamika sana jukwaani, michango yako inafahamika sana na ni ya msingi katika harakati za ukombozi wa fikra kwa watanzania ya watu wastaarabu. Wenzetu CCM wanatumia pesa za mafisadi na kodi zetu kufanya kampeni. CHADEMA wanahitaji mchango wako wa hali na mali, siyo lazima uchangie pesa nyingi, bali kile kiasi unachoona umeguswa moyoni mwako hata kama ni sh 200 unaweza kuchangia, ili kufanikisha CHADEMA kufika sehemu zote katika vijiti 86 vya Arumeru. Ukichangia chadema utakuwa umechangia ukombozi wa Tanzania. Angela Msoffe
 
Kwakuwa uko kwenye kundi la kupata unawandanganya wananchi..lile kundi la kutumika

Sidhani kama mtu una akili timamu unaweza kutoa pesa zako kumpa meneja wa bar...

Then, utakuwa huna kazi na hizo pesa..anyway inaonekana mnatafuta njia ya kupitisha fedha haram..

Hakuna mwananchi atachangia isipokuwa ni ujanja wa chadema kupitisha hela chafu..polisi na BoT wawe waangalifu..

confirmed Topical ni Jussa wa CUF
 
Magwand.a have failed to wisely spent their monthly subsidies to an extent of soliciting financial assistance from poor Tanzanians who barely earn enough to provide for their families.

dada ingependeza uwe unabakia MMU, hapa hapakufai...
 
Magwand.a have failed to wisely spent their monthly subsidies to an extent of soliciting financial assistance from poor Tanzanians who barely earn enough to provide for their families.

wewe ndiyo yule CHANGUDOA aliyelamba M23 za Malima? no doubt it's you! Njoo huku tukazitumbue pamoja acha umalaya sasa
 
CHADEMA inapenda kukushirisha,wewe mwananchi,mpenda maendeleo,mwanaharakati,na yeyote mwenye mapenzi mema na Taifa la Tanzania.Mchango wako ni wa maana kubwa sana,katika ukombozi wa Taifa.Tafadhali changia CHADEMA
changia Haki
Changia mabadiliko.

MPESA
... ... 0757 755 333
0763 744 334
0763 766 333
0758 003 509

AIRTEL PESA
0684 424 229
0684 424 144
0684 425 222

TIGO PESA
0655 788 333
0718 611 168
0718 611 126

Namba zote zimesajiliwa kwa jina la "CHADEMA ARUSHA.

Mungu akubariki sana

Mkuu wazo la kuchangia harakati za ukombozi wa nchi yetu ni muhimu sana ingawa kuna watu wanabeza na kudhihaki. Hata hivyo ningeomba tupatiwe muongozi wa jinsi gani sisi tunaoishi ughaibuni tunaweza kutoa au kuwasilisha michango yetu.
 
Mwanzisha thread ni Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Arusha, na pia ni Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Arusha na Diwani wa kata ya Levolosi Arusha. Hivyo usitie shaka Angela. Kutoa ni moyo wala siyo utajiri. Angela unafahamika sana jukwaani, michango yako inafahamika sana na ni ya msingi katika harakati za ukombozi wa fikra kwa watanzania ya watu wastaarabu. Wenzetu CCM wanatumia pesa za mafisadi na kodi zetu kufanya kampeni. CHADEMA wanahitaji mchango wako wa hali na mali, siyo lazima uchangie pesa nyingi, bali kile kiasi unachoona umeguswa moyoni mwako hata kama ni sh 200 unaweza kuchangia, ili kufanikisha CHADEMA kufika sehemu zote katika vijiti 86 vya Arumeru. Ukichangia chadema utakuwa umechangia ukombozi wa Tanzania. Angela Msoffe
nimekuelewa vizuri sana na ninaimani swali langu na na jibu lako litahamasisha wengi, NITATOA MCHANGO WANGU KWA MOYO 1 NA NITAWAHAMASISHA WENGI
 
Ni kiongozi gani wa chadema aliyetoa ombi hili, ni lini na wapi, wewe uliyeanzisha thread ni nani kwenye cdm na nikwanini asianzishe thread ya maombi kiongozi wa chadema?endapo tutachanga Hela zitafanyia nini?

Angela Msofe,ombi limetolewa na Mh Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,na mimi ni Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Arusha mjini.Hela mtakazochangia pamoja na mambo mengine zitasaidia kampeni ya Arumeru,na ujenzi wa chama
 
Hela ya ruzuku haiwatoshi hadi mnaanza kuwakamua maskini? Jipangeni wazee msije mkajikuta mnachangiwa misaada ya fedha na Al-Shabaab.
 
Kwakuwa uko kwenye kundi la kupata unawandanganya wananchi..lile kundi la kutumika

Sidhani kama mtu una akili timamu unaweza kutoa pesa zako kumpa meneja wa bar...

Then, utakuwa huna kazi na hizo pesa..anyway inaonekana mnatafuta njia ya kupitisha fedha haram..

Hakuna mwananchi atachangia isipokuwa ni ujanja wa chadema kupitisha hela chafu..polisi na BoT wawe waangalifu..

upumbafu wako utakucost humu jf
 
mchango sio lazima pesa...mm nina viloba vya kunde na nataka kuchangia chama cha cdm niviwasilishe wap?
 
I have already contributed the little I had in my MPESA balance. I am going to do it tommorrow and whenever. Tunatakiwa kuchangia vyama vya upinzani hasa CDM kwa kuwa kinaonyesha mwanga. CCM wanasubiri wagawiwe khanga, kofia na kupewa posho. Sisi wazalendo tunatakiwa kuchangia vyama vyetu badala ya kutegemea watugawie hela. Tutafanya hivo tena na tena mpaka kieleweke. Hata kama magamba wanajamba uharo wao hapa hatutawajali. Tutachangia.
 
Anza kusaidia nyanya na ndugu zako walioko kijijini choka mbaya kabla ya kufanya uharibifu wa mali zako ..

Choice is yours..wengine mtoto wa dada akimuomba pesa za nauli ya shule hatoi eti anachangia chademu
 
hivi vyama maskini bwana vinasumbua sana khaah kwani lazima viwepo maana vinaongezea tu mzigo wananchi maskini

Hayawani nkubwa wewe,hujui sadaka ya maskini ndiyo ya haki? Mwananchi maskini ndiye atakae ikomboa nchi hii. Tulianza na Mungu,Tutamaliza na Mungu
 
kwa nini lain zisajiliwe CHADEMA ARUSHA badala ya CHADEMA au CHADEMA TANZANIA?
basi huu mchango unawataka watu wa Arusha tu.
 
hivi vyama maskini bwana vinasumbua sana khaah kwani lazima viwepo maana vinaongezea tu mzigo wananchi maskini

Upeo wako ni mdogo na jaribu pia kufuatilia habari za kimataifa ili ujue dunia inaelekea wapi. Chama ni mwananchi mwenyewe, chama si mali ya baadhi ya watu. Hivyo ni haki ya kila mwananchi kukichangia chama chake na kuona maendeleo ya mchango wake. Vyama vyote vikubwa kama Democratic-Marekani, Labour - Uk nk ni vyama vya wananchi ndio maana kiongozi anapotokea kuvurunda wananchi wanakuwa na nguvu ya kumwondoa au yeye mwenyewe kujiondoa mapema kabla ya wenye chama ambao ni wananchi hawajaamua.
Sasa nieleze kuhusu chama chako cha matajiri kinawasaidiaje wananchi? wakati kila kona ya tanzania wananchi wanalalamika huku wenye chama wakiibiwa madola hotelini.
 
Magwand.a have failed to wisely spend their monthly subsidies to an extent of soliciting financial assistance from poor Tanzanians who barely earn enough to provide for their families.

CCM wanaitumiaje "subsidy" ya serikali?

You have used the word "subsidies" correctly; the appauling thing is that you have no comprehension of the purpose of these subsidies. Be informed the subsidies are meant to top up current resources.

CCM (1977) was the party for farmers and worker ndiyo maana ya Jembe na Nyundo. CCM now is a party for Business people, Mafisadi detached from wakulima na wafanyakazi. Ex Rais wako na NEC alipoingia kwenye kinyang'anyiro kwa mara ya kwanza alikuwa na 20 Billioni zake!!, ingawaje source yake ilikuwa arabuni. Alipoulizwa alikiri na kudai kuwa hao waarabu alikuwa anawadai (Kama si biashara ni nini?). KIlikuwa kipindi cha Kiti Moto kikiendesha na ITV na mtangazaji Pascal Mayala. Tukiacha hayo bado zikakwapuliwa pesa Benki Kuu ili malaika ashinde.

CDM wamewapa wananchi fursa hadharani wachukue chama chao na kukichangia. Juu ya hapo hawakulazimisha wachangiaji kama CCM inavyowalazimisha wafanya biashara, hawakuweka kima cha chini ndiyo maana hata thumni inapokelewa.

JICHOSHE TU NA PROPAGANDA ila CDM inasonga mbele; kwenye uzinduzi 2.2M papo kwa papo na 5.7M kupitia sms (Mwananchi Leo)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom