Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,234
- 1,815
CHADEMA inapenda kukushirisha,wewe mwananchi,mpenda maendeleo,mwanaharakati,na yeyote mwenye mapenzi mema na Taifa la Tanzania. Mchango wako ni wa maana kubwa sana,katika ukombozi wa Taifa.Tafadhali changia CHADEMA
changia Haki
Changia mabadiliko.
MPESA
0757 755 333
0763 744 334
0763 766 333
0758 003 509
AIRTEL PESA
0684 424 229
0684 424 144
0684 425 222
TIGO PESA
0655 788 333
0718 611 168
0718 611 126
Namba zote zimesajiliwa kwa jina la "CHADEMA ARUSHA.
Mungu akubariki sana
Ni kweli mwenyekiti kanunulia nyumba Dubai pesa za ruzuku?
Ni kweli mwenyekiti kanunulia nyumba Dubai pesa za ruzuku?
Ahsante sana. Nashauri ili wachangiaji tuwe na imani na mwamko zaidi toeni update za michango hapa hapa
Kweli kabisa. Tunahitaji mwongozo ili kujua kuwa hela zitakazochangwa zimeingia mfuko gani na mtoaji apewe feedback ili tuweze kuhoji endapo kuna dalili ya ufisadi
Ahsante sana. Nashauri ili wachangiaji tuwe na imani na mwamko zaidi toeni update za michango hapa hapa
Ni kiongozi gani wa chadema aliyetoa ombi hili, ni lini na wapi, wewe uliyeanzisha thread ni nani kwenye cdm na nikwanini asianzishe thread ya maombi kiongozi wa chadema?endapo tutachanga Hela zitafanyia nini?
Heri kuwa maskini wa fedha kuliko kuwa maskini wa mawazo kama wewe. Mshamba, una elimu ndogo na uelewa mdogo na hujakombolewa kifikra, unayeamini kuwa kusoma darasa lenye vumbi huku ukiwa umekaa chini ni haki yako...hivi vyama maskini bwana vinasumbua sana khaah kwani lazima viwepo maana vinaongezea tu mzigo wananchi maskini
Wewe ISMAIL JUSSA mbona unatoka povu sana wakati hela ni zetu sisi na CDM ni chama chetu. Kwa upumbavu wako unadhani kuna mtu huku JF ambaye hajitambui na kuogopeshwa na nyau kuwa fedha haramu. Mbona jamaa yako Adam Malima kaliwa M23 na changudoa ambazo zingenunua madawati kule kwenu mkuranga hatusemi ni fedha haramu??Kwakuwa uko kwenye kundi la kupata unawandanganya wananchi..lile kundi la kutumika
Sidhani kama mtu una akili timamu unaweza kutoa pesa zako kumpa meneja wa bar...
Then, utakuwa huna kazi na hizo pesa..anyway inaonekana mnatafuta njia ya kupitisha fedha haram..
Hakuna mwananchi atachangia isipokuwa ni ujanja wa chadema kupitisha hela chafu..polisi na BoT wawe waangalifu..
Kwakuwa uko kwenye kundi la kupata unawandanganya wananchi..lile kundi la kutumika
Sidhani kama mtu una akili timamu unaweza kutoa pesa zako kumpa meneja wa bar...
Then, utakuwa huna kazi na hizo pesa..anyway inaonekana mnatafuta njia ya kupitisha fedha haram..
Hakuna mwananchi atachangia isipokuwa ni ujanja wa chadema kupitisha hela chafu..polisi na BoT wawe waangalifu..
Wewe ISMAIL JUSSA mbona unatoka povu sana wakati hela ni zetu sisi na CDM ni chama chetu. Kwa upumbavu wako unadhani kuna mtu huku JF ambaye hajitambui na kuogopeshwa na nyau kuwa fedha haramu. Mbona jamaa yako Adam Malima kaliwa M23 na changudoa ambazo zingenunua madawati kule kwenu mkuranga hatusemi ni fedha haramu??
Vipi ulikwenda kumpokea profesa leo? Kesho anajiunga na swaiba ake Said Miraj...