Changamoto za ndoa

Changamoto za ndoa

Duh pole ila elezea kwa urefu kidogo.

Ila ripoti kwa wazazi wenu..wadhamini wa ndoa..mjumbe au serikali za mtaa ..maana HUWA WANARUDIGI KUSUMBUA UKISHAMOVE ON.

Cha mwisho kama ni vitu vya kutafutika..unaweza vipata tena achana nae
 
Mfano una mke mumeishi nae kwa pamoja na kuvuna Mali kwa pamoja ghafla ww umetoka kwa safar siku unarudi unakuta ndan peupe yaan kila kitu kimechukuliwa na mke na kutokomea kusikojulikana baadae ukapata taarifa ya eneo alilokimbia .je,utafanyaje kukabiliana na hiyo changamoto????
Mpelekee talaka zake zote, kisha muachie kila kitu anza upya
 
Duh.pole ila elezea kwa urefu kidogo.
Ila ripoti kwa wazazi wenu..wadhamini wa ndoa..mjumbe au serikali za mtaa ..maana HUWA WANARUDIGI KUSUMBUA UKISHAMOVE ON.
Cha mwisho kama ni vitu vya kutafutika..unaweza vipata tena achana nae
Ok
 
Mfano una mke mumeishi nae kwa pamoja na kuvuna Mali kwa pamoja ghafla ww umetoka kwa safar siku unarudi unakuta ndan peupe yaan kila kitu kimechukuliwa na mke na kutokomea kusikojulikana baadae ukapata taarifa ya eneo alilokimbia .je,utafanyaje kukabiliana na hiyo changamoto????
Ikiwa mlifunga ndoa mpe talaka na mwachie hivyo vitu
 
Mkuu haijufungwa Bali walikutana tu wakaoana
Pole sana Mzee.., labda alichoka kuwa Hawala Sugu, na kila akikucheki kwenye side Mirror anaona huna dalili za kusimama, akaona ajioengeze..,
By then kama unamuhitaji arudi kwako fuata taratibu za Kumrasimisha ili awe Mke kihalali nakuahidi atarudi na heshima itakuwepo ya kutosha!!!
 
Mfano una mke mumeishi nae kwa pamoja na kuvuna Mali kwa pamoja ghafla ww umetoka kwa safar siku unarudi unakuta ndan peupe yaan kila kitu kimechukuliwa na mke na kutokomea kusikojulikana baadae ukapata taarifa ya eneo alilokimbia .je,utafanyaje kukabiliana na hiyo changamoto????
Nenda police kaandikishe maelezo atafutwe apatikane

Harafu msamehe

Mwanaume Anza upya

Haya maisha mafupi Sana usijipe stress nyingi
 
Huyo Hakuwa Mke
Yaani Abebe Vitu Ndani Akimbie Haraka Tu
Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mtaachana

Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Baada Ya Miaka Mitano
 
Back
Top Bottom