Kuishi mwenyewe ni hatari hasa watoto wakishaondoka kwenda mashuleni au kwenye kaziWatoto wataondoka wakaanze miji yao, maisha ya upweke ni mabaya sana. Umri unavyokwenda wengine wanaishi kwa msaada wa dawa za moyo na kisukari. Ukiwa na mtu wa kukuletea glass ya maji inaleta faraja.
Kwanza kabisa wao hawajakuomba uwazae..kiherehere chako.Starehe ya wazazi Ina muhusu Nini huyo mtoto. Kuwazaa kunatosha, hata baba Yao Kuna kitu anakipata kwa gold digger we live by depending each other.
Mwenye 40 ama 50'sHivi mkuu kitaalamu, mdada mwenye 40+ anatakiwa awe na mwanaume mwenye umri gani ili asionekane wa ajabu? Maana wanaume wenye above 40 preference zao ni wadada wenye below 30. Mdada akiwa na kijana wa below 35 anaonekana anapenda dogodogo, na kijamii haikubaliki.
Hiyo iko poa game ichezewe mbali .Hukute kijana hauko vizuri kiuchumi unakula single maza nje umepaki toyo binti lazima azingue lakini umepaki kandinga kwanza atamuona mazaKwann usiishi kwako then yeye awe anakuja tu kukusugua afu anasepa
Hao wanatafuta laanaHahaha hata wa kiume wengine wana tabu, jamaa mmoja yeye nusura apigwe na vijana wa liume wa mpenzi wake, tena walimpiga mkwara wakamwambia wasimuone popote na mama yao
Kuwazaa inawatisha wasinipangie mahusiano yangu na kuyaingilia aisee, Tena washukuru nimewazaa isingekuwa Mimi wangezaliwa sehemu nyingine tu duniani hata huko USA.Kwanza kabisa wao hawajakuomba uwazae..kiherehere chako.
Starehe yako ikiwa na madhara kwa wao lazima iwaguse...maana wanajua kuwa gold digger anapata alafu mama hapati kitu.
Kama mzazi unajitambua lazima uangalie starehe zako zinawagusaje watoto.
Yaani kwa mfano mie mgegedaje hapa alafu niwe na watoto hapo sii kutaka majanga tuu na kuwatesa watoto. Wee ukishakuwa mzazi starehe uchague vizuri.
Watoto wa kike ni noma sana wana wivu na wazazi wao balaa.
Hatujakataa kuna muda uzeeni u need more than kusasambua mbususu. Ila sasa sasa vidume ishu inakuja unakuta wanachukua vijidada ambavyo unaona kabisa hapa hela tuu.Kuwazaa inawatisha wasinipangie mahusiano yangu na kuyaingilia aisee, Tena washukuru nimewazaa isingekuwa Mimi wangezaliwa sehemu nyingine tu duniani hata huko USA.
Hata baba Yao kwa gold digger ndo anatolea hamu zake hapo ka wao wanavokutana na wapenzi wao huko nje na hawapangiwi why waingilie mzazi. Kuwa uyaone sio magorofa tu ya jijini loh,I have seen people with this situation aisee na usijidaganye Kuna kipindi umri ukienda huhitaji sex tu maana nguvu hamna you need shoulder to learn on
Yaani mtoto alikua mbogo huwezi amini ilibidi mama aachane na yule jamaa. 😀
Huyo mama naye fala tu... mtoto atakushindaje akili?Yaani mtoto alikua mbogo huwezi amini ilibidi mama aachane na yule jamaa. 😀
Sio fala mi nahisi hajakutana na mpiga deki mzuri tu, mama akikutana na fundi akakunwa haswahaswa hua anatoa mpaka laana kwa watoto wake wakitaka kuingia starehe yake.Huyo mama naye fala tu... mtoto atakushindaje akili?
Hahaaha imekumbuka singo maza mmoja alikuwa na katoto kakiniona tuu usiku imekuja hakalali kabisaaaa,,Mtoto wa sista angu (binti) aliwahi kumtoa mkuku jamaa alikua anamzengea maza ake (singo maza) kwa kumuambia kwamba haendani nae wala yeye sio type ya mama yake..🤣🤣
Mtoto kuniambia kuwa fulani sio type yangu Kwanza Ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu mno, mama na mtoto wote wapuuzi tuKuwazaa inawatisha wasinipangie mahusiano yangu na kuyaingilia aisee, Tena washukuru nimewazaa isingekuwa Mimi wangezaliwa sehemu nyingine tu duniani hata huko USA.
Hata baba Yao kwa gold digger ndo anatolea hamu zake hapo ka wao wanavokutana na wapenzi wao huko nje na hawapangiwi why waingilie mzazi. Kuwa uyaone sio magorofa tu ya jijini loh,I have seen people with this situation aisee na usijidaganye Kuna kipindi umri ukienda huhitaji sex tu maana nguvu hamna you need shoulder to learn on
Halafu ni watamu saaana yaani saaanaIf you have played your cards well at this age you are financially comfortable.
Uko serious na ulichokiandika mkuu.....?Nadhani ni kujiendekeza tu. Kuletewa glass ndio iwe sababu ya kuoa?! Me naoa niwe na partner ila sio mtumishi wa kunihudumia......
Kweli huyo mtoto ni kutokujielewa tu kumuingilia mzazi kwenye mahusiano Mara huyu hafai Mara vile aisee angekuwa mwanangu Cha moto angekipata.Mtoto kuniambia kuwa fulani sio type yangu Kwanza Ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu mno, mama na mtoto wote wapuuzi tu
Yani nakopata tulizo la nafsi mtoto alete ngebe zake eti ananilinda? Wazazi wengine sijui wanaleaje watoto wao, nitampa nafasi ya kunishauri na kuna kuupokea ama kutoupokea ila sio kuleta dharau za kishenzi hivyo mbele ya mtu wangu
Huyo mengi ilikuwa ujinga wake au alilogwa kuoa klyin aliingia Cha kike na kuzaa kule uzeeni na utajiri wake mbona sikuhizi watu hu freeze mayai na kwenda kubebewa mimba, watu hutafta wenzi watu wazima wenzao sio mama mzee anatafta kibeten au mzee wa age ya mengi kuoa mtoto mdogo hyo ni majanga na kujitaftia kifo Cha mapemaHatujakataa kuna muda uzeeni u need more than kusasambua mbususu. Ila sasa sasa vidume ishu inakuja unakuta wanachukua vijidada ambavyo unaona kabisa hapa hela tuu.
Mchuma janga hula na wa kwao. Mfano hapo ni kwa bwana mengi. Sasa wewe watoto wanaanza mambo ya makesi sii kuwaletea stress za kingese kisa wewe baba unataka kukojolea pazuri.
Wee nae mzazi utakuwa bwege mtoto wako anagegedwa au kugegeda nje ya ndoa na unaona poa tuu? Sasa kazi yako kama mzazi ina maanisha ni kusupport uzinzi?