Ndugu wana jf km kawaida yangu Leo Niko off napiga supu ya dagaa hapa beach..
Nimetafakari Changamoto za wake2 kwangu binafsi
1. Wake zangu nawapenda wote ila wao hawapendani uwa haipiti mwezi bila wao kugombana..Mara nyingi simu yangu ndio chanzo nikiwa mafia kwa mke mdogo ugomvi ndio unazidi,hapendi kuona jumbe za mahaba za mkubwa
2. Changamoto za uchovu kwenye game,kazi zangu zinachangamoto ya stress na frustration bahari ikichafuka samaki hakuna..pia some tym shamba la chumvi limenyeshea mvua maana yake chumvi haikauki ...stress zinaanza na wakati huo ni zamu ya mke mdogo...uwa aelewi inafikia hatua unafanya love kwa kuforce tu.
3. Wivu wivu ndugu, unasafiri miezi2 unarudi unakuta mke hana nyege wala nn,visibgizio kibao bwana eeh inauma unawaza nishaibiwa hapa...
4.Huduma kwa familia na ndugu wale wanaotaka wake2 wajipange kwa huduma ...pango,ada n.k mfano Mimi natumia not less than .... ...kwa mwezi sio vizuri kutaja.. Ndio maana chumvi hisipokauka na bahari ikichafuka naumwa homa kabisa
Ziko nyingi sana wadau ndogo na kubwa .
Ila nyie wamama hakuna mwanaume anaridhika na mwanamke1 hayupo km amekuambia anakudanganya....
Faida ya kuwa na wake wengi ni kubwa sana.