Trouton
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 1,202
- 1,396
aisee!, ngoja tuwaachie wenyewe wapambane.Sikuhizi watu hawaogopi hyo kitu sasa wake wa NNE labda yule mkubwa ndo katulia the rest sio watu wazima unafikiri wanatuliaje sasa
aisee!, ngoja tuwaachie wenyewe wapambane.Sikuhizi watu hawaogopi hyo kitu sasa wake wa NNE labda yule mkubwa ndo katulia the rest sio watu wazima unafikiri wanatuliaje sasa
Truetatizo lenu mnaogelea exceptions.....hizo zitakuwepo tuu lakini the majority papuchi moja haitoshi. if u the exception sawa. u cant argue kwa kutumia exceptions
Soma tena ulichoandika halafu kanusha kauli moja tu "mwanamke hagawani penzi na mwanamke mwenzio"
cha msingi jamaa anawagegeda hilo la wao kuwa na vidumu pembeni ata ukiwa na mke mmoja bado watu watamgegegda tuu
Yeye ndo anaumia kwa maana hao Wanawake wanamnyonya tu na bado anawalipia mahitaji yao muhimu na sex pia anawapa, siajabu hata wanachukuwa hela kwake kupeleka kwa wapenzi wao, hivyo ni yeye ndo anapoteza, angekuwa na akili angetafuta mmoja ambaye wangependana na kuaminiana kuishi kwa raha na heshima.
mie sijawahi ona mwanamke ambae sio mnyonyaji. wote sawa tuu. kinachowatofautisha ni degree ya unyonyaji. suala la kuchukua hela kuwapa wapenzi wao hilo sio tatizo cha msingi jamaa sii anapata papuchi. problem ya wanaume wengi wanakuwa na akili za kuwa papuchi yako peke yako....this mentality itakupa tabu sana duniani. wewe mchukulie mwanamke chombo cha starehe tuu wala hupati shida maana ukisha mgegeda unaendelea na mambo yako.
Siyo kweli, wapo Wanawake ambao wanakuwa na Mwanaume mmoja na kuridhika naye, unapaswa kutafuta tu, hata mimi niliamini hivyo kama wewe lkn nimekuja kugundua nilikosea sana, kama ambavyo wapo Wanaume waaminifu ambao hukaa na demu mmoja vile vile wapo Wanawake waaminifu ambao hukaa na Mwanaume mmoja!
Najua utakuwa na mpenzi embu niambie hapa na macho yako yakiwa makavu...kila siku mkifanya ngono uwaga unakojozwa????kama jibu ndio basi nyie mnafanya ngono kwa week mara 1 au 2 ikisha kuwa ngono kwa week zaidi ya mara 4 basi tambua sio kila mda kipaumbele ni kukojozana sometimes ni ile feeling tu ya emotional bond between two people haijalishi nani atakojoa,nani hatakojoa na kwauzoefu wangu mimi mtu mzima[emoji2]na sema hivi kama unamkojoza mwanamke kwa mwezi mara 8 hadi 10, you are in right direction in magufuli voice ila japo mapenzi ya kukutana kila jumapili lazima mkojozane tu.Ngono isiyoishia orgasm ni ubakaji huo sasa hamna hisia kwanini kufanya?
wewe usilete argument kwa kutumia exceptions. ongelea majority.
Mweleze huyo.Acha upotoshaji kutokuridhika kwako na mke mmoja ni hyo ni wewe, na usigeneralize kwa wanaume wote.Mimi simo
Ndo maisha hayo, hata wanaofanikiwa maishani siyo ,,majority“ hivyo ni juu yako kama unataka kuwa mediocre uamuzi ni wako lkn kama unataka kizuri vipo ukitafuta!
huwezi toa mfano wa watu kufanikiwa maishani....hivyo ni vitu ambavyo vio ndani ya uwezo wa mtu mweyewe. kugegedewa au kutokugegedewa haipo within ur control. sasa wewe deal na vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wako. mwanamke anatembea na papuchi yake eti nikae najidanganya kuwa nagegeda mwenyewe tuu....nope thats insanity.
Siyo kweli kuwa na Mke mwaminifu iko ndani ya uwezo wako, ni swala la wewe kutafuta Mwanamke mwaminifu!
Kwani uliwahi kuona wap jogoo au beberu akawa na tetea au jike moja?Naomba sababu ya kuongeza mke wa pili kama hutojali tafadhali.
scientificKuchepuka ni tabia,ukiwa mkristo basi heshimu dini za wenzako.Kwao kuoa mwanamke zaid ya mmoja si vby na ukumbuke wanawake wapo wengi waache wanaoweza kuwasitiri wawasitiri.
scientific proof kuwa idadi sawa ikowapi?Kusema ukweli ndo siheshimu dini wewe vepee, mwingine ana wake wawili huku hata kumkojoza mke mmoja hawezi unategemea nini hapo hafu viugomvi na upendeleo lazima watoke nje,mtu hupenda mmoja the rest ni tamaa tu. Nani kasema tuko wengi ratio ni almost sawa dunia iliubwa kwa Ku balance usisingizie wingi njoo na scientific proof usiwe ka jiwe kuwaza uzinzi tu.
Suala la gemu mbona tuna mke na michepuko zaidi ya 3 na tunamudu?Wanaume mliooa mke zaidi ya mmoja hufa mapema aisee nguvu tu za kuridhisha mmoja shughuli pevu ndo wawili aisee, na hzi vyuma Angelia usiache watoto kwa kufa siku si zao, hafu ndoa ya mitala hufanya wanawake wachepuke in short ni shida tu Ku share mapenzi ni ngumu mazee, ongezea na watatu