Ubaharia ni kazi ambayo muda wote upo active na kwenye Sea Food utakula sana mpaka mwili ujae madini.
Binafsi nina wake wawili na nyumba ndogo zingine nje lkn wote nawamudu kuwakojoza. Vp mm unanitafsiri vipi hapo.
Nakubaliana na wewe kwamba tofauti za hapa na pale zipo si kwenye mapenzi tu kwenye suala lolote zipo. Najua unaelewa hapa ni kipi ninachokimaanisha.Hata ukioa mpole matatizo huwa hayakwepeki tu kutofsutiana na stress za mapenzi huwa zipo hazikwepeki tu.
Hamna mwanaume anayeelewa hulka yetu sisi tuna change daily, Mimi mwenyewe mwanamke huwa kuna saa sijielewa kwanini hivi vinakuwa hivi. Mwanaume kutuelewa sie ngumu hisia zote huja na kupotea
Hakika mkuu. Unadhani tukiishi kwa kuhudumia mwanamke mmoja . Wanawake wengi si watakosa huduma.wee inabidi uitwe mwanaume wa ukweli. tembeza mgegedo mwanawane ndio raha ya dunia.
Watenganishe wawe mbali kidogo.Ndugu wana jf km kawaida yangu Leo Niko off napiga supu ya dagaa hapa beach..
Nimetafakari Changamoto za wake2 kwangu binafsi
1. Wake zangu nawapenda wote ila wao hawapendani uwa haipiti mwezi bila wao kugombana..Mara nyingi simu yangu ndio chanzo nikiwa mafia kwa mke mdogo ugomvi ndio unazidi,hapendi kuona jumbe za mahaba za mkubwa
2. Changamoto za uchovu kwenye game,kazi zangu zinachangamoto ya stress na frustration bahari ikichafuka samaki hakuna..pia some tym shamba la chumvi limenyeshea mvua maana yake chumvi haikauki ...stress zinaanza na wakati huo ni zamu ya mke mdogo...uwa aelewi inafikia hatua unafanya love kwa kuforce tu.
3. Wivu wivu ndugu, unasafiri miezi2 unarudi unakuta mke hana nyege wala nn,visibgizio kibao bwana eeh inauma unawaza nishaibiwa hapa...
4.Huduma kwa familia na ndugu wale wanaotaka wake2 wajipange kwa huduma ...pango,ada n.k mfano Mimi natumia not less than .... ...kwa mwezi sio vizuri kutaja.. Ndio maana chumvi hisipokauka na bahari ikichafuka naumwa homa kabisa
Ziko nyingi sana wadau ndogo na kubwa .
Ila nyie wamama hakuna mwanaume anaridhika na mwanamke1 hayupo km amekuambia anakudanganya....
Faida ya kuwa na wake wengi ni kubwa sana.
Unahamasisha zinaa?? Tumeamrishwa tusiikaribie zinaa....Bora hyo sio unaoa huku kuwaridhisha kimwili huwezi walah hafu watoto wanakuwa vzuri at peace. Hafu kuna mwenye wake wa NNE atachepuka pia loh hapo usemeje
Hakika mkuu. Unadhani tukiishi kwa kuhudumia mwanamke mmoja . Wanawake wengi si watakosa huduma.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe ni mhuni walah uliyekubuhu utakuja kufia kwenye papuchiBinafsi nina wake wawili na nyumba ndogo zingine nje lkn wote nawamudu kuwakojoza. Vp mm unanitafsiri vipi hapo.
Hamna anayetuelewa sisi wenyewe tu mda mwingine hatuelewi tunataka nini sembuse nyie.Nakubaliana na wewe kwamba tofauti za hapa na pale zipo si kwenye mapenzi tu kwenye suala lolote zipo. Najua unaelewa hapa ni kipi ninachokimaanisha.
Na kusema kwamba hamna mwananume anayeelewa hulka yenu ninyi mnabadilika daily tayari hiyo ndiyo mojawapo ya hulka yenu ambayo tunaitambua.
Samahani mda wangu ni mchache sina la kuandika zaidi. Kingine una jina zuri.
Nyie ndo mwapenda zinaaUnahamasisha zinaa?? Tumeamrishwa tusiikaribie zinaa....
Siwezi kufa. I'm perfect 100% kwenye suala zima la kugegeda. Hayo tunasema ni maumivu matamu. Kwahiyo ninachokifanya nakijua mama.[emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe ni mhuni walah uliyekubuhu utakuja kufia kwenye papuchi
Hongera sana kuwa makini na afya yakoSiwezi kufa. I'm perfect 100% kwenye suala zima la kugegeda. Hayo tunasema ni maumivu matamu. Kwahiyo ninachokifanya nakijua mama.
Umenena ukweli mtupu. Tunafanya kwa kuwasaidia ila hawajui tu.hilo ndio la msingi na ndio maana wengi wao ni wauza nyapu....sasa bora tuwachukuwe tuwage tunawagegeda na kuwahudumia
Siyo kweliWanaume mliooa mke zaidi ya mmoja hufa mapema aisee nguvu tu za kuridhisha mmoja shughuli pevu ndo wawili aisee, na hzi vyuma Angelia usiache watoto kwa kufa siku si zao, hafu ndoa ya mitala hufanya wanawake wachepuke in short ni shida tu Ku share mapenzi ni ngumu mazee, ongezea na watatu
Ahsante sana. Hakuna atakaye ishi dunia hii milele.Hongera sana kuwa makini na afya yako
Mwanaume hawezi kuuliwa na wanawake wawili tu unless kuwe kuna intervening factors zingine tuWanaume mliooa mke zaidi ya mmoja hufa mapema aisee nguvu tu za kuridhisha mmoja shughuli pevu ndo wawili aisee, na hzi vyuma Angelia usiache watoto kwa kufa siku si zao, hafu ndoa ya mitala hufanya wanawake wachepuke in short ni shida tu Ku share mapenzi ni ngumu mazee, ongezea na watatu
Unahamasisha bora kuchepuka kuliko awe na wake wawili wa ndoa, ndo ninakwambia Unahamasisha zinaa... Hayo mengine yametoka wapi?Nyie ndo mwapenda zinaa