NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Hujatoa sababu.Kwani uliwahi kuona wap jogoo au beberu akawa na tetea au jike moja?
"kupanga ni kuchagua"
Hujatoa sababu.Kwani uliwahi kuona wap jogoo au beberu akawa na tetea au jike moja?
"kupanga ni kuchagua"
Siku hizi mke mmoja ila michepuko 50 ndo mpango mzimaWanaume mliooa mke zaidi ya mmoja hufa mapema aisee nguvu tu za kuridhisha mmoja shughuli pevu ndo wawili aisee, na hzi vyuma Angelia usiache watoto kwa kufa siku si zao, hafu ndoa ya mitala hufanya wanawake wachepuke in short ni shida tu Ku share mapenzi ni ngumu mazee, ongezea na watatu
Ndo kinachowatangulizaga kuzimu wanaume nguvu za magemu tofauti si mchezoSuala la gemu mbona tuna mke na michepuko zaidi ya 3 na tunamudu?
Kwa nguvu gani ya hyo michepuko kuna MTU ni Malaya hafu hajui Ku f..ck then I was wondering kulikoniSiku hizi mke mmoja ila michepuko 50 ndo mpango mzima
Unajua Mimi huwa sielewi watu wanashindwaje kumfikisha mwanamke kileleni?? Labda kwa condomKwa nguvu gani ya hyo michepuko kuna MTU ni Malaya hafu hajui Ku f..ck then I was wondering kulikoni
Mwanaume wengi hawajui bwana ni wazee wa kuchomeka chomeka tuUnajua Mimi huwa sielewi watu wanashindwaje kumfikisha mwanamke kileleni?? Labda kwa condom
[emoji122] [emoji122] mi wawili, vyuma vikilegea naingiza mwingine wa tatu[emoji4]Huo ni mtazamo wako tu...viongozi wengi wana wake2 mfano makamu wa rais aliyepita yupo hai hadi Leo..
Pia mwanamke anaridhika na mengi mapenzi tu
Nitaoa wa3 inshalaah soon
[emoji122] [emoji122] [emoji122] kabisaKuchepuka ni tabia,ukiwa mkristo basi heshimu dini za wenzako.Kwao kuoa mwanamke zaid ya mmoja si vby na ukumbuke wanawake wapo wengi waache wanaoweza kuwasitiri wawasitiri.
Ukienda hospital, utagundua ktk kila watoto kumi wanaozaliwa, zaidi ya watano ni watoto wa kike. Always chakula kinabidi kiwe kingi kuliko walaji, ikiwa vice versa mambo yanakua sio shwariKusema ukweli ndo siheshimu dini wewe vepee, mwingine ana wake wawili huku hata kumkojoza mke mmoja hawezi unategemea nini hapo hafu viugomvi na upendeleo lazima watoke nje,mtu hupenda mmoja the rest ni tamaa tu. Nani kasema tuko wengi ratio ni almost sawa dunia iliubwa kwa Ku balance usisingizie wingi njoo na scientific proof usiwe ka jiwe kuwaza uzinzi tu.
Si kweli hyo issue sema wewe ongeza mke issue wa wingi haimake sense dunia iliumbwa kwa balance, pia vifo hubalance nature, so haja ya wingi to me doesn't make sense tena wanaume huzaliwa wengi sema ndo hufa mapema kwa ajili ya majukumu. So ratio ni almost moja mojaUkienda hospital, utagundua ktk kila watoto kumi wanaozaliwa, zaidi ya watano ni watoto wa kike. Always chakula kinabidi kiwe kingi kuliko walaji, ikiwa vice versa mambo yanakua sio shwari
Ok sawa, ila sisi tukifa tunaacha wanawake ambao wengine hata kuolewa bado na wengine wanaachwa wakiwa wajane. Umeona sasa!!? Kama unaanza kunielewa elewa taratibu[emoji4] [emoji1]Si kweli hyo issue sema wewe ongeza mke issue wa wingi haimake sense dunia iliumbwa kwa balance, pia vifo hubalance nature, so haja ya wingi to me doesn't make sense tena wanaume huzaliwa wengi sema ndo hufa mapema kwa ajili ya majukumu. So ratio ni almost moja moja