Shida ni bond kati ya mama na Baba wa mtoto. Ngumu kuvunjikaSi kweli.
Labda single mother amlee mtoto mwenyewe...
Ila Kama mkuu atamlea vizuri akapata mapenzi ya baba na mama ,then na yeye atataka kulea familia yake ya Baba na mama
Si kweli.
Labda single mother amlee mtoto mwenyewe...
Ila Kama mkuu atamlea vizuri akapata mapenzi ya baba na mama ,then na yeye atataka kulea familia yake ya Baba na mama
mkuu vitu vipo vya kutosha ni wewe tu utafutaji wako mbona la profesori kapuya kaopoa kajukuu chake cha 25 yrs? tena kitu bado piru kabisaaHakika.
Mabinti wa miaka 25-30 wengi wan watoto bila ndoa. Kumkuta mwakamke ana miaka 30 na hana mtoto ni nadra sana.
Kwa mimi ambae msimamo wangu ni kutokuoa single mom, inanipatia shida sana ingawa mimi bado sijafikia senior bachelor.
sasa kama unataka karaha Oa mwanamke less than 25 yrs, utapata tabu sana.unatafuta mke unakuta ana miaka 20-22 hana mtoto akili zake sasa anataka hela ya soda,vocha na chips ukimuuliza biashara utasikia si umenipenda kila kitu ww hamu ya kuoa inaisha
Mkuu tueleze mode of transmission tuepukane na hili balaaaa.Ukioa single mother kuna probability kubwa sana ya mmoja wa watoto wako kuja kuwa single mother pia, u-single mother unaambukiza/rithishika
Sent using Jamii Forums mobile app
you nailet it.Nadhani changamoto kubwa zaidi ni kujua iwapo mwenzio anakupenda wewe ama status yako (ya kiuchumi au ajira). Upendo wa kweli kabisa kwetu sie old school haijalishi una pesa ama kazi nzuri, unaangalia vision aliyonayo mwenzio na kuona kama mtafika ndoto zenu pamoja.
All in all siri zote zina Mungu mwenyewe. Trust your guts jilipue tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye Kupenda HaoniKamwee! Mimi siwezi oa mwanamke mwenye mtoto wa mwingine hata awe je..!
Polywise-man
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaume tuliooa tunaongoza kuvaa nguo zilizopauka, wakai wengine tunashine kila siku.Uta-fast forward expiry date yako
Kwahiyo sie wenye 32 na ambao ndo kwaaanza tumebahatika pata wa kuoa Sasa tupo too late?Hakuna umri sahihi wa kuoa...ila nadhani 25-32.
Mwanaume.
Huu ni mtihani. Chini ya 25 wako wengi ila ni suicide, over 25 kama hajaolewa ana mtoto.Ndio pale tunaanza kuchekwa kwamba
wanaume tuliooa tunaongoza kuvaa nguo zilizopauka, wakai wengine tunashine kila siku.
Kuwa Makini dont marry a less than 25yrs.