Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Kuna familia inafurahi mtoto wao kuolewa na kapuku?
Pesa zinatafutwa hapo la muhimu ni mapenzi ya dhati na kwenye ndoa naamini ni teamwork wote tupeane support

My point is wazazi wa mwanamke wasiweke kigezo za hela /gari/nyumba kua ndo main point na wasimdharau kijana kwa vile ana kazi ya kawaida so long as kijana ana pambana kujishughulisha maana ya mbeleni hayajulikan
 
Hapo mwishon umemalizia vzuri,wanawake tuwe aware kwenye maisha kuna ups n downs
Maneno mazuri sana haya,naongezea,wanaume mara nyingi tunatumia msuli sana ili kuweza kuwin kwani mara nyingi unapoanza kumfuatilia msichana hauko peke yako,kwahiyo nguvu ya ushawishi ni muhimu sana,ukichukulia kuwa wanawake nao hawatafuti mahali palipo choka wanaangalia penye neema,cha muhimu wanawake nao wawe aware kuwa chochote kinaweza kutokea mnapoanza maisha ya ndoa,ile raha kabla ya ndoa ikaendelea au isiendelee,hii itasaidia kusijekutokea mifarakano baadaye...
 
Sasa kuchukua no ya simu tu kwa Binti tayari 10,000/= imecheua hapo kuna reality ya mahusiano kweli?

Sometimes gia tunazoingia nazo Wanaume kwenye mahusiano ndizo zinazotugharimu vibaya sana.

Gia bora za wakati wote ni kujenga mahusiano ya urafiki wa kawaida tu bila ya kutanguliza pesa na tamaa za ngono, kisha upendo utajijenga taratibu kwa kadri muda utavyozidi kwenda.
[emoji23][emoji23][emoji23] duuh had no za sim skuhz zinauzwa kumbe
 
Kuna kunguru 1 nililiambia usinifananishie sweet..leee na vitu vya ajabu ajabu akawa haelewi

natamani aje aone hu uzi halafu aniambie hii ni IQ ya mtu wa umri gani,maana ukiangalia mtirirko wa msg

kuanzia mwanzo mpk mtu unamaliza kusoma unajua hapa kuna akili za mwanamke timilifu alie tayari kwivaaa 🤭 🤭

siku tag ng'o.
Hahaa..!!
Hivii Mr. Controller huwa unajiskiaje kunipamba eti,.? Am afraid nitavimba ujue.!!
 
Exactly na wapo weng tu wanawake wanaopemda mtu aishi uhalisia...Af mtu akichunwa akaachwa solemba anaanza kulalamika wakati ndo swaga alianza nazo.
Wanawatamanisha wenyewe kwa hiyo aina ya maisha, badluck wanaishia kuparuliwa na kuachwa..!!
 
Hello guys,

Kwa wale wenzangu na mimi tunasema TGIF..!!

Naomba kuzungumza na waliopo ndani ya ndoa na wale wanaotarajia kuingia kwenye maisha ya ndoa.

Kwenye mahusiano hasa ya uchumba, kuna hii tabia ya ndugu zetu wa kiume kutumia nguvu kubwa mno kutu-impress ladies kwa mitoko ya gharama, zawadi za bei ghali, shoppings za hapa na pale bila kusahau adventures - wenyewe wanaita kutu 'spoil'.

Hell yeah! Tumeumbwa kuwa wapokeaji we can't say 'No' to such offers and, in a meantime, tutawakubali tutakuwa nanyi sababu hiyo ndiyo aina ya maisha mliyotuonyesha na kutuaminisha kuwa we can live that life happily ever after.

Haha, picha linaanza baada ya kuwa mwili mmoja, ukishakubali kuishi kwa shida na raha mpaka pale kifo kitakapowatenganisha, hapo ndo wakati pekee utaujua uhalisia wa maisha ya mwenza wako..!!

Unaanza kuona mwenza wako kabadilika; mbona hakujali kama alivyokuwa anafanya wakati wa uchumba? Kwanini kila unachomuomba anasema hana pesa..!?

Dear ladies, sikatai kweli wapo wanaobadilika ila pia asilimia kubwa ya wanaume wengi wanakuwa wana-fake uhalisia wa kipato chao, hivyo ukija jumlisha na majukumu ya familia za pande zote mbili ni lazima mambo upande wao yawe magumu mno..!

Dear brothers,
Tunapenda sana kuwa spoiled na ninyi, ila tafadhalini sana msiishi nje ya budget wala uwezo wenu, muoneshe mchumba wako uhalisia wa maisha yako kabla hajasema 'Yes I do'. Uwe na uhakika na amani moyoni kuwa amekubali kuwa na wewe kwa hali yoyote ile uliyokuwa nayo, hebu msitunishe misuli mpaka mkachana mashati..!

Na ni muhimu mfahamiane vizuri kabla ya kuishi pamoja. Lazima umjue mwenza wako vyema, is she a good saver? Are you an extremely spender? Do both of you believe in debts? Mna assets gani? Mna mipango gani kwenye maisha yenu na je, budget yenu itakidhi na kuyafikia malengo yenu mkianza kuishi pamoja kama familia? Wewe una mshahara na yeye ana mshahara that's good and okay, lakini ni lazima mliweke hili sawa kabla ya kuishi pamoja. 'Ni changu changu, chako chetu' ama '50 by 50'..!!

Na mliopo kwenye ndoa jitahidini sana kuliweka hili sawa baina yenu, jifunzeni kuwa 'open' and 'honest' kwa wenza wenu linapokuja suala la 'waleti' zenu, ukweli na uwazi wa kipato chenu ndiyo utajaojenga msingi bora wa kuimarisha muhimili wa maendeleo ya familia imara! And don't forget that 'marriage is forever..!!

Utachagua mwenyewe kuishi huru ama kuishi katika 'kifungo huru'..!

''Money is one of the biggest thing couples do always fight about'' - Cary Siegel..!!

Tafakarini hili na mchukue hatua stahiki, Blessed Weekend Dears..!!
Kumbe umeshaolewa? Asa kwanini ulinidanganya we bado bikira?

Kwa taarifa yako, mke haongwi bali anahudumiwa,,,

Kuna tofauti kubwa sana kati ya hongo na wajibu...

Unamhonga binti ili ukubaliwe ombi la K na baadaye ndoa. Ukishaolewa sahau kuhongwa...mume anawajibika kubadilika na kutimiza wajibu wake kama mume,,,

Usipoyajua haya usikimbile ndoa.
 
Kuna familia inafurahi mtoto wao kuolewa na kapuku?
Mada nzuri sana umegusia.
Rafiki yangu alikuwa na kila kitu yaani Nyumba mbili, Gari, biashara kadhaa, na kazi nzuri, akaoa.
Siku alipopoteza kazi akayumba na kubakiwa na nyumba tu, katembelewa na mama mkwe wake.
Siku anaondoka mama mkwe kaondoka na mwanawe anasema mwanawe hawezi kuishi kwa kubahatisha na ufukara mkubwa.

Kibaya zaidi mke kaondoka na mtoto mchanga wa jamaa.
 
Ogopa sana Wanaume wauza sura/sharobaro...[emoji16]

Sasa kama Mtu yuko radhi kutembea kwa miguu umbali mrefu ilimradi tu ampe Mwanamke pesa ya chipsi kuku, nauli na vocha, ndiyo ishindikane kutoa 10,000/= tu kuchukua no kwa sister duu? [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] duuh had no za sim skuhz zinauzwa kumbe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mr.Noel anatuchanganya ila tushamuelewa
Haha.!
Ana kazi ya kutuvuruga tu hapa.!!
Hell yeah'.. Siye wahenga hivyo tushamuelewa kabisa.!!
 
You are right. Namjua mtu aliyeona mtu kwa kujinasibu na magari na nyumba ya kaka yake. Hayo yote yalikuja kujulikana baada ya kufunga ndoa! Lakini mpaka sasa wako pamoja. Ndio uzuri wake huo. Wana watoto wakubwa.
Hello guys,

Kwa wale wenzangu na mimi tunasema TGIF..!!

Naomba kuzungumza na waliopo ndani ya ndoa na wale wanaotarajia kuingia kwenye maisha ya ndoa.

Kwenye mahusiano hasa ya uchumba, kuna hii tabia ya ndugu zetu wa kiume kutumia nguvu kubwa mno kutu-impress ladies kwa mitoko ya gharama, zawadi za bei ghali, shoppings za hapa na pale bila kusahau adventures - wenyewe wanaita kutu 'spoil'.

Hell yeah! Tumeumbwa kuwa wapokeaji we can't say 'No' to such offers and, in a meantime, tutawakubali tutakuwa nanyi sababu hiyo ndiyo aina ya maisha mliyotuonyesha na kutuaminisha kuwa we can live that life happily ever after.

Haha, picha linaanza baada ya kuwa mwili mmoja, ukishakubali kuishi kwa shida na raha mpaka pale kifo kitakapowatenganisha, hapo ndo wakati pekee utaujua uhalisia wa maisha ya mwenza wako..!!

Unaanza kuona mwenza wako kabadilika; mbona hakujali kama alivyokuwa anafanya wakati wa uchumba? Kwanini kila unachomuomba anasema hana pesa..!?

Dear ladies, sikatai kweli wapo wanaobadilika ila pia asilimia kubwa ya wanaume wengi wanakuwa wana-fake uhalisia wa kipato chao, hivyo ukija jumlisha na majukumu ya familia za pande zote mbili ni lazima mambo upande wao yawe magumu mno..!

Dear brothers,
Tunapenda sana kuwa spoiled na ninyi, ila tafadhalini sana msiishi nje ya budget wala uwezo wenu, muoneshe mchumba wako uhalisia wa maisha yako kabla hajasema 'Yes I do'. Uwe na uhakika na amani moyoni kuwa amekubali kuwa na wewe kwa hali yoyote ile uliyokuwa nayo, hebu msitunishe misuli mpaka mkachana mashati..!

Na ni muhimu mfahamiane vizuri kabla ya kuishi pamoja. Lazima umjue mwenza wako vyema, is she a good saver? Are you an extremely spender? Do both of you believe in debts? Mna assets gani? Mna mipango gani kwenye maisha yenu na je, budget yenu itakidhi na kuyafikia malengo yenu mkianza kuishi pamoja kama familia? Wewe una mshahara na yeye ana mshahara that's good and okay, lakini ni lazima mliweke hili sawa kabla ya kuishi pamoja. 'Ni changu changu, chako chetu' ama '50 by 50'..!!

Na mliopo kwenye ndoa jitahidini sana kuliweka hili sawa baina yenu, jifunzeni kuwa 'open' and 'honest' kwa wenza wenu linapokuja suala la 'waleti' zenu, ukweli na uwazi wa kipato chenu ndiyo utajaojenga msingi bora wa kuimarisha muhimili wa maendeleo ya familia imara! And don't forget that 'marriage is forever..!!

Utachagua mwenyewe kuishi huru ama kuishi katika 'kifungo huru'..!

''Money is one of the biggest thing couples do always fight about'' - Cary Siegel..!!

Tafakarini hili na mchukue hatua stahiki, Blessed Weekend Dears..!!
 
Hii inasababishwa na jamii hasa hao hao wakwe. Mtu akija humble dharau kibao hadi anamuacha mchumba!
I concur with you.!!
Ila please don't generalize.! Aina zote za watu zipo kwenye jamii.!! Wanaoheshimu wengine kwa ajili ya kitu na wanaoheshimu kwa ajili ya utu.!
 
Mada nzuri sana umegusia.
Rafiki yangu alikuwa na kila kitu yaani Nyumba mbili, Gari, biashara kadhaa, na kazi nzuri, akaoa.
Siku alipopoteza kazi akayumba na kubakiwa na nyumba tu, katembelewa na mama mkwe wake.
Siku anaondoka mama mkwe kaondoka na mwanawe anasema mwanawe hawezi kuishi kwa kubahatisha na ufukara mkubwa.

Kibaya zaidi mke kaondoka na mtoto mchanga wa jamaa.
Safi sana, kuna mawatu bado yanakariri kuwa yana permanent development warranty katika maisha, kumbe future ya kiumbe chochote ni siri ya Mungu pekee [emoji23]
 
Back
Top Bottom