Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Johng,

Wise words..!!
Hongera sana mkuu John,
Natumaini kila mmoja angeyaishi haya, familia nyingi zingekuwa kama paradiso ndogo.!!
Ni mambo madogo sana ila yanatugharimu mno kiukweli, sijui tunakwama wapi..!
 
Wanaume tuna-fake kuwa sisi ni matajiri, kwasababu pesa ndo kitu ambacho nyie wanawake mnakipenda kutoka kwetu.. Ni sawa na uulize kwann wadada wanatumia michina kuongeza makalio, ni kwasababu wanajua sisi wanaume tunapenda makalio makubwa ya wadada SweetieLee
Mimi siamini katika hilo la kila mwanamke anapenda pesa, nadhani wengi wanahitaji pesa sababu wana matumizi nayo, ila huwezi generalize kuwa wanawake wote ni gold diggers kama ingekuwa hivyo, wasio na uwezo wooote wangekuwa single.!!
btw, nakubali kabisa wanawake wenye tamaa pia wapo.!
 
Itafikia pahala utahitaji kuwa na familia na kusettle you can't be single for life.!!

Kila choice is consequences zake. Maisha ya mzabzab ujue wee familia huitaji simple as that. So kwangu mie kuwa na familia sio kitu muhimu hence y the choice ya kuishi hivyo.

Pili kila taasis na matakwa yake na sifa zake. Ndoa iliwekwa kwa watu ambao hawajawahi kugegedana... Mabikra hilo ndio sharti namba moja. Sasa wewe na mke mtarajiwa mlisha shindwa matakwa ya huko mnakotaka kwenda sii mnalazimisha mambo tuu na ndio maana ndoa nyingi hazidumu au ata kama zipi watu full kuchepuka.
 
Watu wanaangaliaga pipe tu lakini finances mdio jambo linalote ugomvi mara nyingi kuliko hata uzuri / feelings.

Ndio chanzo na moja cha mkwaruzano ndani ya ndoa. Msinione mzabzab fala kuwe huo msemo... WHEN POVERTY ENTERS THROUGH THE DOOR LOVE ESCAPES THRU THE WINDOW
 
Kuna kunguru 1 nililiambia usinifananishie sweet..leee na vitu vya ajabu ajabu akawa haelewi

natamani aje aone hu uzi halafu aniambie hii ni IQ ya mtu wa umri gani,maana ukiangalia mtirirko wa msg

kuanzia mwanzo mpk mtu unamaliza kusoma unajua hapa kuna akili za mwanamke timilifu alie tayari kwivaaa 🤭 🤭

siku tag ng'o.
 
Haha.!!
Eti kujimwambafay,
Kuna wanaume wanajua kufake bwaana, wanaishi maisha magumu kwa kujitakia wakati wapo wanawake wanaopenda reality na nawaambia kila siku, mwanamke anayekupenda kwa dhati ni ngumu mno kukufanya sponsor!!
Exactly na wapo weng tu wanawake wanaopemda mtu aishi uhalisia...Af mtu akichunwa akaachwa solemba anaanza kulalamika wakati ndo swaga alianza nazo.
 
Wanaume tuna-fake kuwa sisi ni matajiri, kwasababu pesa ndo kitu ambacho nyie wanawake mnakipenda kutoka kwetu.. Ni sawa na uulize kwann wadada wanatumia michina kuongeza makalio, ni kwasababu wanajua sisi wanaume tunapenda makalio makubwa ya wadada SweetieLee
Sio wanawake wote wako after money kwa mwanaume
 
Watu wanaangaliaga pipe tu lakini finances mdio jambo linalote ugomvi mara nyingi kuliko hata uzuri / feelings.
Upo sahihi kabisa mkuu.!!
Yaani suala la kipato ndiyo ugomvi unaoongoza, ndipo ufuatie usaliti na mengineyo..!!
 
Back
Top Bottom