Haha..!!
Ana bahati sana.!
Wakati mwingine jifunze kuvithamini ulivyo navyo Mr. Hazard..!
Nabii Hazard CFC [emoji23][emoji23]
Upo sahihi kabisa mkuu,Maneno mazuri sana haya,naongezea,wanaume mara nyingi tunatumia msuli sana ili kuweza kuwin kwani mara nyingi unapoanza kumfuatilia msichana hauko peke yako,kwahiyo nguvu ya ushawishi ni muhimu sana,ukichukulia kuwa wanawake nao hawatafuti mahali palipo choka wanaangalia penye neema,cha muhimu wanawake nao wawe aware kuwa chochote kinaweza kutokea mnapoanza maisha ya ndoa,ile raha kabla ya ndoa ikaendelea au isiendelee,hii itasaidia kusijekutokea mifarakano baadaye...
daamn'..Sasa kuchukua no ya simu tu kwa Binti tayari 10,000/= imecheua hapo kuna reality ya mahusiano kweli?
Sometimes gia tunazoingia nazo Wanaume kwenye mahusiano ndizo zinazotugharimu vibaya sana.
Gia bora za wakati wote ni kujenga mahusiano ya urafiki wa kawaida tu bila ya kutanguliza pesa na tamaa za ngono, kisha upendo utajijenga taratibu kwa kadri muda utavyozidi kwenda.
Upo sahihi sana mkuu.!!Hakuna kimada anayependa Mume wa Mtu sawa na mke wa ndoa, ni big NO.
Wanawake wengi wanaohangaika kwa waganga wa kienyeji ni hao hao vimada ili wawabadilishe waume za Watu akili wapendwe wao kwa dhati na wachukie wake zao.
Ndiyomaana walimbadili hata Suleiman akamuasi Mungu Muumba mbingu na nchi na kuabudu miungu.
Wanaume tumwombe sana Mungu atuepushe na tamaa za miili yetu tudumu na wake zetu pekee na tusipatwe na hili balaa.
Mungu akubariki wewe uendelee kumthamini huyo dada, na huyo binti azidi kubarikiwa pia kwa upendo wa kipekee alionao juu yako.!!Wanaume wenzangu nawashauri hata kama kitu unacho ishi in lowkey zone.. Imenisaidia sana
ngoja niwape kastori kadogo tu..
Mchumba wangu alinipenda kama nilivyo.. (nilipanga sehemu uswahilini wakati natumikia Assignments za kikazi) niliishi maisha ya kawaida sana... Alikuw anakuja tunakula miogo tu! Nilifanya maksudi kumpima Akili.. Kuna siku alikuw anachat na frndz zake nikavizia simu kuchunguza text nikasoma wee...anawatambia yupo kwa mpenzi wake anakula bata sana.. (kiuhalisia nipo nae room tunakula miogo ya kuchemsha na maji ya kandoro)... Kwa hadhi ya yule dada na jinsi nilivyoish nae vitu viwili tofauti.. Na wala hajawahi kunisema vibaya kwa frndz zake zaidi ya kunikweza ili asichekwe.. Baada ya mwaka mmoja ndio akanijua mimi nani.. Hajaamini na mpaka leo nadunda nae tu.. Huyu hata kuhonga milion 3 nahonga na roho haiumi
Mimi napambana hapo hapo pa kugeneralize, siyo wanawake wote wanayafanya hayo mkuu.!! Mbona wadada real wapo wengi sana! Hao mnaosema kila siku humu ndani ni hawa hawa wa hii sayari yetu ama??Wanawake wanaamini mkono mtupu haulambwi.
Wanawake wanaamini uongo ndiyo ukweli wenyewe sasa kuambiwa ukweli wa maisha yetu unataka tuzeeke waseja?
By the way kama umeamua kumpenda mtu kwanini uangalie kwanza his material possessions?
Hahaha ndio ndio bebe @joanah
Nipe utabiri wa mechi ya leo ya Tanzania ndugu nabii
I mean correct score [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaolewa bado babu.!Kumbe umeshaolewa? Asa kwanini ulinidanganya we bado bikira?
Kwa taarifa yako, mke haongwi bali anahudumiwa,,,
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hongo na wajibu...
Unamhonga binti ili ukubaliwe ombi la K na baadaye ndoa. Ukishaolewa sahau kuhongwa...mume anawajibika kubadilika na kutimiza wajibu wake kama mume,,,
Usipoyajua haya usikimbile ndoa.
Hahahaa ila nyie viumbe kuna namna mnafrahishaOgopa sana Wanaume wauza sura/sharobaro...[emoji16]
Sasa kama Mtu yuko radhi kutembea kwa miguu umbali mrefu ilimradi tu ampe Mwanamke pesa ya chipsi kuku, nauli na vocha, ndiyo ishindikane kutoa 10,000/= tu kuchukua no kwa sister duu? [emoji28]
dah' maskiini,Mada nzuri sana umegusia.
Rafiki yangu alikuwa na kila kitu yaani Nyumba mbili, Gari, biashara kadhaa, na kazi nzuri, akaoa.
Siku alipopoteza kazi akayumba na kubakiwa na nyumba tu, katembelewa na mama mkwe wake.
Siku anaondoka mama mkwe kaondoka na mwanawe anasema mwanawe hawezi kuishi kwa kubahatisha na ufukara mkubwa.
Kibaya zaidi mke kaondoka na mtoto mchanga wa jamaa.
Unaona sasa.!?You are right. Namjua mtu aliyeona mtu kwa kujinasibu na magari na nyumba ya kaka yake. Hayo yote yalikuja kujulikana baada ya kufunga ndoa! Lakini mpaka sasa wako pamoja. Ndio uzuri wake huo. Wana watoto wakubwa.