Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Hahaa..!!
Hivii Mr. Controller huwa unajiskiaje kunipamba eti,.? Am afraid nitavimba ujue.!!

sweet..lee ninae mjua mimi hupokeaga compliment kwa njia nyingine kabisa na hata siku moja havimbi wala kupasuka bichwa,she's already tuned herself to cope with the life of compliments.

si unajua vile ma supa star huishi eeh sweetie..leee
 
sweet..lee ninae mjua mimi hupokeaga compliment kwa njia nyingine kabisa na hata siku moja havimbi wala kupasuka bichwa,she's already tuned herself to cope with the life of compliments.

si unajua vile ma supa star huishi eeh sweetie..leee
Nashukuru kwa kunifanya nitabasamu Controller..!!
Kimoja tulichopigwa Taifa Stars kishanitia upole hapa.!!
 
dah' maskiini,
Sipati picha jamaa alibaki kwenye hali gani..!
Ila upendo wa dhati ni muhimu mno! Hii biashara ya kumpendea mtu kitu huwa inagharimu sana.!!

So siku akisimama tena, watarudi kwa huyo mwanaume??
Hopeful soon anarudi tena kwa kishindo kikubwa.
Tena anatafuta mwanamke mwingine, wakati huu akiwa na hali duni, aende akaone uvumilivu wake, atakae kubaliana nae atamuoa.
Ni kisa cha kweli.
 
unazungumzia zamani ipi madam? naona umejiunga mwaka jana,au kwa id nyingine? JOKE
Nimekuwa msomaji tena very addictive for many years toka nipo chuo..!!
Sijawahi badili ID.
Umeenda hadi tazama! you're real something..
 
Hopeful soon anarudi tena kwa kishindo kikubwa.
Tena anatafuta mwanamke mwingine, wakati huu akiwa na hali duni, aende akaone uvumilivu wake, atakae kubaliana nae atamuoa.
Ni kisa cha kweli.
Namuombea mafanikio pia.
Sasa sijui huyo mwanamke atarudi akilia, kuomba msamaha??
I'm failing to get that picture honestly..!!
 
Tamaa zinawezekana kabisa kuzitawala isipokuwa uwe Mcha Mungu kiimani na kivitendo, mbali na hapo hatuwezi kabisa sababu binadamu tu dhaifu kukwepa vishawishi.
Listen this videos.
 

Attachments

  • Screenshot_20191113-213057.jpeg
    Screenshot_20191113-213057.jpeg
    66.3 KB · Views: 11
  • 1573669450302.mp4
    1 MB
Hao unaowszungumzia wewe ndiyo hawapo sayari hii.

Wewe mwenyewe tu mtu akikufuata serious itakuchukua even years kumwelewa wakati atakuwa alishakata tamaa akapotezea
Mimi napambana hapo hapo pa kugeneralize, siyo wanawake wote wanayafanya hayo mkuu.!! Mbona wadada real wapo wengi sana! Hao mnaosema kila siku humu ndani ni hawa hawa wa hii sayari yetu ama??
 
Hapa ndipo mnapokosea.!!
Hebu jaribuni kuwa real, tutawaelewa na tutawapenda kama mlivyo.!


Tufanye generalization:

Mara nyingi Kipaumbele cha sisi mwanaume katika mahusiano ni sex, kipaumbele cha mwanamke katika mahusiano ni pesa... Asilimia 95 ya wadada katika mahusiano wanatarajia kupewa pesa na mwanaume, asilimia 98 ya wakaka wanatarajia kupewa papuchi katika mahusiano,

Mm naamini mwanaume utaepuka kadhia nyingi za kuombwa pesa ovyo na wadada kama ukiwa handsome.. Coz ukiwa handsome cha kwanza mdada atakachofikiria ni kukupa papuchi hlf kuombwa pesa itakuja baadae, ila mwanaume ukiwa na sura mbaya mdada atakachofikiria ni kupewa pesa kwanza ndo atoe papuchi SweetieLee Lenie
 
Back
Top Bottom