Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

Heri kuongozwa na Asha Bakari kuliko Membe...Membe ni mnafiki mkubwa, legelege mkbwa, hana maamuzi, ana chuki (rejea tamko lake la maadui 11), mfinitishaji, muongo, anamuogopa mama salma kama ukoma, hana vission, hana mission, hana strategies, hana mechanisms, hana agenda, hana willingness kajikuta kuutamani urais baada ya kuambiwa na mama salma..kwa hayo yote ni wazi huyu jamaa hatufai ktk kuongoza nchi..m

we need mtu mwenye maamuzi, mpiganaji, mwenye kusema na kutenda, alietuletea shule kila kata ili aje atuletee hosptl kila kata, atuletee maabara kila kata, aje na mikakat ya kupunguza foleni dar kama alivyojaribu njia tatu, atufikishie maji Singida kutoka ziwa victoria, atuletee Elimu kwanza kabla ya kilimo, atakaye punguza tatizo la ajira ambao ndio wimbo lake kila siku kuwa ni bomu linalilipuka kuanzia sasa, tunamuitaji kiongozi atakaye kohowa watumishi utekeleza maagizo kwa haraka ili wananchi wapate huduma stahiki na kwa wakati na huyo sii mwingine bali anajulikana kila kona ya Nchi kuwa mtu wa maamuzi ni nani zaidi ya KIDUME Mwenyewe

Tufanye yote tusije tukaingiza nchi kwenye hasara ya kurudia uchaguzi.Usalama wa nchi pia utakuwa hatarini kwa kwakabidhi nchi mafisadi na wapiga dili.
 
Hivi Kikwete alikubaliwa na baba wa Taifa....just curious
 
StellaMaganga Jana ulikuwa kwa January Makamba na Picha ililkuwa hivi

Mshauri atafsiri kiswahili tu hizi nondo mkuu, manake duh

Tunahitaji viongozi wa aina hii, Bonge la Story aisee.

YOU HAVE MY SUPPORT JANUARY.

Ila ametisha kwa kweli.

Mwacheni kijana aende ikulu. Vibabu vituache jameni eeeeeeee

Kutangaza nia kama nitagombea siku hizi ni kujinadi kumbe?

January Makamba ni super superior, unataka hivyo hivyo hutaki kajinyonge

ujana wa makamba ni mwiba kwa lowassa na slaa....waambie na wenyewe wawe vijana basi ili washinde.. Hatuhitaji rais wa kwenda kuzeekea na kumalizia maisha yake ikulu. Tunataka rais kijana mwenye uwezo kama wa january makamba.

Dada umetumwa na mwezi wa kwanza au umejituma mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Haahaah...Hii ya chadema kutomsema mabaya yake nishawahi kujiuliza..! Hee kumbe wanasali asimamishwe mamvi wachukue nchi kiulaini?..Ngoja tuone picha
 
Haahaah...Hii ya chadema kutomsema mabaya yake nishawahi kujiuliza..! Hee kumbe wanasali asimamishwe mamvi wachukue nchi kiulaini?..Ngoja tuone picha

Hautakuja msikia mbowe wala slaa wakimsema Mamvi lowasa
 
Hicho ki January cjenyewe hata kwenye kiganja hakijai... eti kinafix kinataka urahisi? Labda wa yanga ama simba atapata.

Maccm hayana mgombea kabisaaa
 
Habari ya mjini atakuwa lowasa? Apeleke kule mamvi yake sie hatumtaki.

Kamuulize rais wa simba atakupa power ya Lowassa.

Kamuulize Jamal malinzi wa Tff atakupa power ya Lowassa

Kawaulize masheikh habari ya mujini ni nani watakwambia Lowassa

Kawaulize wachungaji makanisani watakwambia Lowassa ni nani

Kawaulize bodaboda watakwambia habari ya mujini ni nani

Kawaulize kina mama na wazee watakwambia habari ya mujini ni Edward Lowassa

Kamuulize mwenyekiti wa CCM taifa habari ya mujini kwenye vikao vyake ni nani atakwambia ni Edward Lowassa

Kawaulize wakulima watakwambia habari yao ni Edward Lowassa.......

Lowassa for presidency
 
Vichaa ndio wanao mdiss lowasa,mtake msitake lowassa mwakani ndio Raisi wa awamu ya Tano.
 
Haya tena , mmeamua kuparurana , sisi tunawachora tu huku tukisubiri kujiokotea mizoga !
Mkuu Erythrocyte, ninawasiwasi sana na hawa vijana wa Makamba, wasijeanza kutuulia hivi vizee vyao kama wanavyowaua wazee wa kanda ya Ziwa!
 
Habari ya mjini atakuwa lowasa? Apeleke kule mamvi yake sie hatumtaki.
Tuwe na huruma na nchi yetu jamani. Mpaka lowassa mnataka awe Rais kweli?.

Ili akafanye nini ikulu alichoshindwa kukifanya kabla
 
Kamuulize rais wa simba atakupa power ya Lowassa.

Kamuulize Jamal malinzi wa Tff atakupa power ya Lowassa

Kawaulize masheikh habari ya mujini ni nani watakwambia Lowassa

Kawaulize wachungaji makanisani watakwambia Lowassa ni nani

Kawaulize bodaboda watakwambia habari ya mujini ni nani

Kawaulize kina mama na wazee watakwambia habari ya mujini ni Edward Lowassa

Kamuulize mwenyekiti wa CCM taifa habari ya mujini kwenye vikao vyake ni nani atakwambia ni Edward Lowassa

Kawaulize wakulima watakwambia habari yao ni Edward Lowassa.......

Lowassa for presidency
Umewasahau na wadau Wa TANESCO wanamfahamu vizuri LOWASSA kuwa ndio Habari ya mujini.

Na RICHMOND pia umesahau kwamba inamuhesabu LOWASSA kama habari ya mujini

Na watanzania pia umesahau wanamuhesabu LOWASSA KAMA FISADI LA MJINI.
 
Back
Top Bottom