OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
we mpaka tuweke picha zako ulipoenda kuomba msaada wa kuongezewa pesa ili uweze kutoa gari yako pale hororo border ulipoambiwa pesa hakuna ndo yote haya yameanza haya bwana lakin ukijavuliwa nguo usikimbie uchutame
subiri uwekwe hadharani
Mbona haujiamini wewe sema tukusikie,unatishia tishia nini hapa.[/QUOTE
Nn?
Kufuatia minongono ya Hapa na Pale kwamba ndugu EDWARD LOWASSA kuwa amedhamiria kwenda IKULU hata kwa KUKIPASUA CHAMA chake,
Kwa Mtazamo wangu na wa watu walio wengi, Hizi Hapa CHANGAMOTO KUU zinazomkabili LOWASSA kutimiza ndoto yake hiyo.
1. UFISADI
Popote linapotajwa jina la EDWARD LOWASSA, Idea ya kwanza inayokuja kichwani kwa msikilizaji ni UFISADI ULIOTUKUKA, kwamba kila Watanzania wanapoikumbuka RICHMOND, wanamkumbuka LOWASSA, kwamba kila leo LOWASSA analipwa na Serikali MABILIONI YA PESA kupitia UFISADI WA RICHMOND.
Ni vigumu sana kumtenganisha LOWASSA na RICHMOND, LOWASSA ni RICHMOND na RICHMOND ndo LOWASSA, hili halikwepeki, na Watanzania sio wepesi wa Kusahau kiasi hicho,
Upo UFISADI mwingi uliofanywa na LOWASSA, katika wizara zote alizowahi kuzitumikia na nafasi zote alizowahi kuongoza, kwa sasa itoshe tu kusema LOWASSA ni KIELELEZO KIKUU CHA UFISADI WA TAIFA HILI.
2. UTAJIRI MKUBWA
Yawezekana ni Kutokana na UFISADI wake anaoufanya, lakini ukweli ni Kwamba LOWASSA ni tajiri ambaye hata hawezi kusema mali zak amezipataje pataje, pamoja na kumiliki mali nyingi hapa Tanzania, nyingi kati ya hizo akitumia majina ya watoto zake na Maswahiba zake, lakini LOWASSA ni Miongoni mwa Watanzania wanaomiliki Mali nje ya Nchi,
Unaweza Ukajiuliza Mtumishi huyu wa Serikali wa miaka mingi aliwezaje Kumiliki NYUMBA TATU za kifahari NCHINI UINGEREZA?, NYUMBA ZA MABILLIONI YA SHILINGI, alitoa wapi utajiri huo?.
Gazti la RAIA MWEMA NOV.2010 lilitoa MOJA KATI YA PICHA YA MAJUMBA YA LOWASSA NCHINI UINGERZA.
Leo anazunguka kugawa pesa hizi chafu makanisani na misikitini, UTAJIRI HUU UNA MASHAKA MAKUBWA.
3. AFYA MGOGORO.
Kama kuna jambo linawatesa wapambe wa LOWASSA ni kudorora kwa AFYA yake kila kukicha,
Sio siri tena kwamba LOWASSA ni mgonjwa,
Pamoja na jitihada zinazofanywa na wapamb wake, kumpeleka UJERUMANI kila MWEZI kupata matibabu, Kumpatia WAGANGA wa KIENYEJI, kumpeleka mpaka kwa NABII JOSHUA ili aombewe, lakini Hali ya AFYA ya LOWASSA inazidi kuwa MBOVU kila kukicha.
Sasa hivi hawezi hata kushika kikombe kwa dakika 5 mfululizo, amedhoofika mno
Juzi alikwenda KARAGWE kumtembelea BALOZI RUHINDA ambaye amepata STROKE upande mmoja wa mwili wake,
Cha kushangaza BALOZI RUHINDA ameonekana yupo STRONG MARA DUFU kulinganisha na aliyekuja kumuona, Lowassa ameshindwa hata kutembea na mgonjwa, matokeo yak akaanguka zaidi ya mara tatu kwenye ngazi.
Jioni yake akashindwa hata kwenda kwenye Warsha aliyoandasliwa. Hii ni Hatari
Hata wapambe wake alioongozana nao ambao ni NAZIR KARAMAGI na MUSHI ambaye ni katibu wa CCM MKOA KAGERA walionyesha kufedheheka kwa namna hali ilivyokuwa.
Sasa hivi LOWASSA ameonekana kupoteza matumaini ya kugombea tena URAIS, wapambe wake hawana matumaini na Afya yake nay eye mwenyewe hana tena matumaini.
Kwa Afya ya LOWASSA hakuna muujiza utakaomuwezesha kumudu na kuhimili heka heka za kampeni za kufanya mikutano zaidi ya 10 kwa siku.
4. KUKATALIWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE
Kila mmoja anaijua nafasi ya mwalimu nyerere kwenye maisha ya siasa za Tanzania.
Mwalimu Tangu zamani alionyesha kutokumkubali kabisa LOWASSA, na kwamba UTAJIRI WAKE, UBINAFSI WAKE, UFISADI wake na dhuruma zake nyingi alizozifanya zilimpelekea mwalimu kuwa hataki hata kumsikia akishika nafasi kubwa za uongozi kwenye Taifa letu.
LOWASSA, ndio mgombea pekee anayepigiwa UPATU na viongozi na wanachama wa CHADEMA na vyama vingine vya UPINZANI, sababu kuu ya kumpigia UPATU huo ni kwamba, wanaamini kuwa LOWASSA ndio mgombea pekee ambaye ni Dhaifu na mwenye Kashfa na UBADHILIFU mkubwa kwa Taifa hili hivyo kuwarahishia njia ya kumuangusha na wao kushinda dola. Ndio maana huwezi kusikia popote Dkt.Slaa ama MBOWE akimsema vibaya LOWASSA.
NAWASILISHA.
Januaryyyyyyyyyyy
Anafaa sana January. Kulinganisha na wagombea walioonyesha nia, yeye amewaacha mile 10000000
Namuunga mkono January Makamba
Kweli kabisa. Na hilo linawezekana tu kwa January Makamba
Hapana. Nipo ufipa ninashuhulikia mgawanyo Wa VIROBA
Mere allegations za watu wale wale wenye kuingia mikataba ya kijinga kuwanufaisha wazungu huku roho zikiwauma waswahili wenzao wakifaidika!!! (10 Nani asiejua kuwa RICHMOND ilikuwa inamhusu Rais mwenyewe? Kunatofauti gani kati ya Richmond na SYMBION? Obama alienda Ubungo kwa bahati mbaya kucheza mpira? kwanini mnakuwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau? ... UFISADI wa Lowassa ni upi? Taja issue moja tu ya kifisadi aliyoifanya!!! Fedha za kuikodishia pango Ubalozi wa SA kwa rates za ulaya zinawauma nini? Mwenzenu alisomea UK tofauti na wale waliosomea kwenye nchi za Kijamaa ambao hawana entrepreneur mind kama yeye! Alphatel imefanyakazi na voda muda mrefu na imetengeneza fedha nyingi alizotumia kuwekeza tofauti na walaraha wabadhirifu wakubwa!!! Fedha za Japan walizomtengea Malecela bahati mbaya wakaziacha ofisini kwa Lowassa ilikuwa ni kama zawadi ya Bingo ambayo aliwekeza ipasavyo! Ingekuwa wewe ungefanyaje?... Nyerere alikuwa bias na alikuwa amemtarget Mkapa mparokia mwenzie LAKINI hata hivyo alimshindwa Lowassa kwa kuwa alikuwa anajua A-Z kuhusiana na kifo cha Sokoine! ... Kuhusu Afya yake kuzorota hatutashangaa wengi wetu maana nchi mabeberu ndo zao kuwaondoa viongozi mahiri wenye maono ya kuwaletea wananchi wake maendeleo! Lowassa anaogopewa sana na MNCs kwakuwa yeye hawezi kuingia mikataba ya kishenzi kasha wamwekee fedha eti Uswis kama chambo! City Water aliwatimua!!! Lowassa hababaishwi na nchi wahisani hata siku moja!!! Kama wakiamua kumua kama walivyomzimisha Meles Zenawi poa tu ILA Mungu atamlinda na madhila yote ya Kidunia huyu Mkombozi wa wengi... Kuna mengi hamyajui ila mnajikuta mnamchukia tu kwa kuwa mmelishwa vya kulishwa na akina JOKA la mdimu wenye kufurahia Dinner na Mabeberu wa Dunia hii ....
Mkuu BAK asante sana kwa picha sema mkono ungemuuma ticha maana angechapa mpaka viti pale makao makuu!!!!!
si vyema kwako stellamaganga kujifanya wasengenya ujinga na kusifia ufyatu...naitaga ulimbukeni.
*samahani kama nimetumia maneno makali.
pasco umemuona huyu? Anagusa meza ya bwana!
Stella Tulia tuwanyoe pilipili si yako inakuwashia nini viongozi wa chadema wametoka wapi huku? Tatizo nyie interahamwe mkishafisadi nji nikuwa nawasiwasi na chadema maana tunawafichua sana lakini aminini magogoni niya cdm kwanzia mwaka ujao viva chadema
Kufuatia minongono ya Hapa na Pale kwamba ndugu EDWARD LOWASSA kuwa amedhamiria kwenda IKULU hata kwa KUKIPASUA CHAMA chake,
Kwa Mtazamo wangu na wa watu walio wengi, Hizi Hapa CHANGAMOTO KUU zinazomkabili LOWASSA kutimiza ndoto yake hiyo.
1. UFISADI
Popote linapotajwa jina la EDWARD LOWASSA, Idea ya kwanza inayokuja kichwani kwa msikilizaji ni UFISADI ULIOTUKUKA, kwamba kila Watanzania wanapoikumbuka RICHMOND, wanamkumbuka LOWASSA, kwamba kila leo LOWASSA analipwa na Serikali MABILIONI YA PESA kupitia UFISADI WA RICHMOND.
Ni vigumu sana kumtenganisha LOWASSA na RICHMOND, LOWASSA ni RICHMOND na RICHMOND ndo LOWASSA, hili halikwepeki, na Watanzania sio wepesi wa Kusahau kiasi hicho,
Upo UFISADI mwingi uliofanywa na LOWASSA, katika wizara zote alizowahi kuzitumikia na nafasi zote alizowahi kuongoza, kwa sasa itoshe tu kusema LOWASSA ni KIELELEZO KIKUU CHA UFISADI WA TAIFA HILI.
2. UTAJIRI MKUBWA
Yawezekana ni Kutokana na UFISADI wake anaoufanya, lakini ukweli ni Kwamba LOWASSA ni tajiri ambaye hata hawezi kusema mali zak amezipataje pataje, pamoja na kumiliki mali nyingi hapa Tanzania, nyingi kati ya hizo akitumia majina ya watoto zake na Maswahiba zake, lakini LOWASSA ni Miongoni mwa Watanzania wanaomiliki Mali nje ya Nchi,
Unaweza Ukajiuliza Mtumishi huyu wa Serikali wa miaka mingi aliwezaje Kumiliki NYUMBA TATU za kifahari NCHINI UINGEREZA?, NYUMBA ZA MABILLIONI YA SHILINGI, alitoa wapi utajiri huo?.
Gazti la RAIA MWEMA NOV.2010 lilitoa MOJA KATI YA PICHA YA MAJUMBA YA LOWASSA NCHINI UINGERZA.
Leo anazunguka kugawa pesa hizi chafu makanisani na misikitini, UTAJIRI HUU UNA MASHAKA MAKUBWA.
3. AFYA MGOGORO.
Kama kuna jambo linawatesa wapambe wa LOWASSA ni kudorora kwa AFYA yake kila kukicha,
Sio siri tena kwamba LOWASSA ni mgonjwa,
Pamoja na jitihada zinazofanywa na wapamb wake, kumpeleka UJERUMANI kila MWEZI kupata matibabu, Kumpatia WAGANGA wa KIENYEJI, kumpeleka mpaka kwa NABII JOSHUA ili aombewe, lakini Hali ya AFYA ya LOWASSA inazidi kuwa MBOVU kila kukicha.
Sasa hivi hawezi hata kushika kikombe kwa dakika 5 mfululizo, amedhoofika mno
Juzi alikwenda KARAGWE kumtembelea BALOZI RUHINDA ambaye amepata STROKE upande mmoja wa mwili wake,
Cha kushangaza BALOZI RUHINDA ameonekana yupo STRONG MARA DUFU kulinganisha na aliyekuja kumuona, Lowassa ameshindwa hata kutembea na mgonjwa, matokeo yak akaanguka zaidi ya mara tatu kwenye ngazi.
Jioni yake akashindwa hata kwenda kwenye Warsha aliyoandasliwa. Hii ni Hatari
Hata wapambe wake alioongozana nao ambao ni NAZIR KARAMAGI na MUSHI ambaye ni katibu wa CCM MKOA KAGERA walionyesha kufedheheka kwa namna hali ilivyokuwa.
Sasa hivi LOWASSA ameonekana kupoteza matumaini ya kugombea tena URAIS, wapambe wake hawana matumaini na Afya yake nay eye mwenyewe hana tena matumaini.
Kwa Afya ya LOWASSA hakuna muujiza utakaomuwezesha kumudu na kuhimili heka heka za kampeni za kufanya mikutano zaidi ya 10 kwa siku.
4. KUKATALIWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE
Kila mmoja anaijua nafasi ya mwalimu nyerere kwenye maisha ya siasa za Tanzania.
Mwalimu Tangu zamani alionyesha kutokumkubali kabisa LOWASSA, na kwamba UTAJIRI WAKE, UBINAFSI WAKE, UFISADI wake na dhuruma zake nyingi alizozifanya zilimpelekea mwalimu kuwa hataki hata kumsikia akishika nafasi kubwa za uongozi kwenye Taifa letu.
LOWASSA, ndio mgombea pekee anayepigiwa UPATU na viongozi na wanachama wa CHADEMA na vyama vingine vya UPINZANI, sababu kuu ya kumpigia UPATU huo ni kwamba, wanaamini kuwa LOWASSA ndio mgombea pekee ambaye ni Dhaifu na mwenye Kashfa na UBADHILIFU mkubwa kwa Taifa hili hivyo kuwarahishia njia ya kumuangusha na wao kushinda dola. Ndio maana huwezi kusikia popote Dkt.Slaa ama MBOWE akimsema vibaya LOWASSA.
NAWASILISHA.
umewasilisha vyema mkuu!habari yako ni maridhawa.