Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

team membe na hiv zmewpanda kichwani laana ya pesa za ghadafi zmeanza kuwarudia...kila sku membe analetewa mashekh wa kumfunga matunguri wzaran anajfungia ofsni masaa 12 na ofs inajaa harufu za ajabu na vyungu vya ajabu vnafchwa ofsni urais membe ata ajigeuze jinsia hawez kuupata lowasa ni moto wa kuotea mbali ata chadema wanajua ...eti unatoa hoja nyepesi kuwa ccm wakmptsha lowasa chadema watapeta sasa kwa taarfa yako vkao nyeti vya chadema na makachero wao wanajua lowasa ni threat kama mkapa.....tumeteseka miaka 10 inatosha gesi imepewa wachna miaka 1000...ela za iptl zmechukuliwa kama penshen ya 1st family sasa tunamtaka membe ambaye ni sehemu ya tatzo? Tumpeleke wapi ..npo tayar kumpa ata mtkila au mrema kura ila si membe naapa kwa iman yangu

Ha! Ha! Ha! Siku ya MWISHO KILA GOTI LITAPIGWA ! SISIYEMU ITAKUFA KIFO KIBAYA SANA !
 
taifa hili litakuwa ni la wapumbavu na wajinga wa mwisho kumpa nchi fisadi na mtumia pesa chafu lowasa anayewahonga hadi viongozi wa dini.
 
leo nami nimeona niwasilishe sehemu ya mawazo na uhalisia wa mambo yalivyo katika maisha yetu kwa sasa. Nikiwa sehemu ya kundi kubwa laVIJANA lenye maamuzi na hatma ya taifa letu na maisha ya baadae.
Ni hakika tumeshuhudia na kuona matukio makubwa na historia nyingi ndani ya nchi zikitokea, mfano kujiuzuru kwa aliyekuwa waziri mkuu,Richmond, EPA, Dowans, Kikombe cha babu, Umeme wa mgao, Ujio wa rais Obama, Katiba Mpya n.k lakini mimi nimeguswa zaidi na historia zilizowekwa na itakayowekwa hivi punde na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeshuhudia miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika na punde tu tumetoka kushuhudia maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar, ndani ya miaka 50 ni mengi mazuri na mema serikali imejitahidi kufanya kwa wananchi wake kutokana viongozi walioshika madaraka. Lakini historia kubwa ninayoiwaza mimi ni ile tunayoenda kuifikia ya kutimiza miaka 50 ya MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzabar, miaka 50 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 26/04/2014 sitaki kuzungumzia Muungano kwa kuwa nimeshatoa maoni yangu kwenye tume ya rasimu ya katiba mpya bali nataka vijana kwa pamoja tukiweka mbali maslahi ya vyama, ukabila,udini, ukanda na maslahi binafsi. Tujadili na tujiandae kisaikolojia hususan kuhusu kiongozi wa nchi, mkuu wan chi, rais mteule ajaye tutakuwa hatuna tofauti na wazee ambao fungu lao ni kuota ndoto (malengo mafupi) kama tukisema tusubiri hadi vyama vitangaze nani atagombea bali tutakuwa tunajidhihirisha kuwa sisi ni vijana wenye maono (malengo na mitazamo yote ya muda mfupi na mrefu) kwa kuanza kujadili mustabali wa maisha yetu ya baadae sasa. Ukweli ni kwamba maisha ni magumu na yanachangamoto nyingi sana hasa kwa sisi vijana, maisha yamekuwa ghali sana, umeme juu, ajira finyu na chache nk lakini kitu kizuri ni kwamba tunaweza kubadili hii hali ingawaje nchi yetu ni changa kwenye viwanda na teknolojia lakini ili limechangawia na kuwa na viongozi wanaoota ndoto ni dhahiri tunahitaji kupata mtu mwenye maono ili aiponye nchi yetu yenye kila aina ya rasilimali, tunahitaji kumpa kijana atakayeweza kutuunganisha na kutumikisha sehemu ambayo tutaweza kunufaika na utajiri tulionao wa maliasili,madini,maji na vijana kama nguvu kazi, tunahitaji kumpata kijana wa jamii ya January Makamba atupeleke kwenye nchi yetu ya maono, Tunamwitaji January Makamba aiponye nchi na ukoma wa umaskini, ajira, na usimamizi uliobora wa rasilimali zetu.
Mimi ni mkristo hivyo usoma sana biblia, Biblia inasema wazi “…na wana wenu waume kwa wakike watatabiri,wazee wenu wataota ndoto, na Vijana wenu wataona maono” Yoeli 2:28, na kama haitoshi Mungu alichagua viongozi vijana na wadogo kama Daudi, Gidion katika Waamuzi 6:15, Sauli katika Samweli 1&2, Pia Mussa alishindwa kufika nchi ya ahadi na Mungu akamchukua na nafasi yake akapewa kijana mdogo Joshua akawapeleka nchi ya ahadi wana Israeli sisemi kuwa wazee hawatufai la hasha bali hawawezi kutupeleka kwenye nchi ya maono, hawezi kutufikisha kwenye mafanikio kwa sababu wazee hawashauriki na hawakotayari kujifunza mambo mapya kwa sababu wanaamini na uzoefu wa kutosha na mbinu walizotumia kumng’oa mkololoni zinaweza kuung’oa umaskini na hali ya nhi ilivyo sasa. Hapa mimi simzungumzii mzee yule aliyehasi imani yake kwa starehe za dunia na kuisaliti nafsi yake kwa sababu ya uroho wa madaraka wala mzee wetu anayepita makanisani na msikitini kutukumbusha vijana tumtumikie Mungu, hakika mzee wangu anafanya kazi iliyo njema kama biblia inavyoelekeza kuwa wazee watawafundisha na kuwashauri vijana wao jinsi ya kuongoza na kuenenda katika njia iliyo safi na bora, naamini kabisa taji hiyo imewekwa kwa ajili yako na ningependa siku uwaambie waziwazi kuwa kuchangisha au kuchangia katika kazi ya Mungu ni wajibu wetu wote hasa vijana na wala haufanyi hivyo kwa sababu unaota kugombea urais bali unatuandaa vijana tuwe na tuone maono bora zaidi.
Pia ningependa kutoa rai kuwa vijana kwa umoja wetu tujaribu kuitumikia jamii yetu kwa nafasi mbalimbali na zaidi tusiache kuwatia moyo vijana mwenzetu ambao wanaona maono ya kuwa viongozi halikadhalika kuwaambia kijana mwenzangu unaweza kuwa kiongozi kwa nafasi hii, kama nami ninavyomshauri kijana mwenzangu, kaka yangu January Makamba boresha maono yako zaidi na zaidi uiponye nchi, uwe rais wetu 2015. January Makamba gombea Urais 2015
JANUARY MAKAMBA NI KIJANA PEKEE KWA SASA ANAYEWEZA KUIPONYA NCHI YETU
 
Pia mleta mada umesahau huyu jamaa Lowasa ni mlevi wa kufa mtu,hatujui sababu zinazomfanya awe anakunywa sana?Lazima tuunde tume ya uchunguzi ili tujue ni kwa nini pombe kwake ni kama chai
 
Wakilmleta na Kivuli nitapigia kivuli, lakini wakimleta na SLAA nitampigia yeye White hear

Mkuu angalia kifimbo cheza wa kiingereza asijekukuchalaza mikwaju. HEAR na HAIR ni maneno tofauti sio homofonia wala homografia. "white hear" HAIWEZI kuwa "white hair"
 
Riz one yeye miaka mitano katoa wapi utajiri wake wa kupindukia au kwenye kambi yenu Hamujiulizi hili? Bora kuwa na rais hata akiwa MOI ila mwenye maamuzi, kwani afya ya mjomba wa bagamoyo sii ni nzuri swali la kujiuliza kalifanyia nini taifa mpaka sasa? Mugabe kila siku anapelekwa Singapore ila ndani ya nchi ya japo kajaribu kuwapa wazawa Ardhi....walai bora kumpa Wema Sepetu urais kuliko huyu mgombea wa mama salma joka la mdimu..
 
kwa ccm hayo mambo ya ufisadi ni sehemu ya kazi za chama.

vipi kuhusu zile billioni 10.38 za chadema mkuu zilizoliwa na slaa na mbowe?. Au ule sio ufisadi?.

Ccm hakuna ufisadi ila kuna fisadi lowassa na wenzake, na hawawezi kuachwa.
 
Heri kuongozwa na Asha Bakari kuliko Membe...Membe ni mnafiki mkubwa, legelege mkbwa, hana maamuzi, ana chuki (rejea tamko lake la maadui 11), mfinitishaji, muongo, anamuogopa mama salma kama ukoma, hana vission, hana mission, hana strategies, hana mechanisms, hana agenda, hana willingness kajikuta kuutamani urais baada ya kuambiwa na mama salma..kwa hayo yote ni wazi huyu jamaa hatufai ktk kuongoza nchi..m

we need mtu mwenye maamuzi, mpiganaji, mwenye kusema na kutenda, alietuletea shule kila kata ili aje atuletee hosptl kila kata, atuletee maabara kila kata, aje na mikakat ya kupunguza foleni dar kama alivyojaribu njia tatu, atufikishie maji Singida kutoka ziwa victoria, atuletee Elimu kwanza kabla ya kilimo, atakaye punguza tatizo la ajira ambao ndio wimbo lake kila siku kuwa ni bomu linalilipuka kuanzia sasa, tunamuitaji kiongozi atakaye kohowa watumishi utekeleza maagizo kwa haraka ili wananchi wapate huduma stahiki na kwa wakati na huyo sii mwingine bali anajulikana kila kona ya Nchi kuwa mtu wa maamuzi ni nani zaidi ya KIDUME Mwenyewe
 
Heri kuongozwa na Asha Bakari kuliko Membe...Membe ni mnafiki mkubwa, legelege mkbwa, hana maamuzi, ana chuki (rejea tamko lake la maadui 11), mfinitishaji, muongo, anamuogopa mama salma kama ukoma, hana vission, hana mission, hana strategies, hana mechanisms, hana agenda, hana willingness kajikuta kuutamani urais baada ya kuambiwa na mama salma..kwa hayo yote ni wazi huyu jamaa hatufai ktk kuongoza nchi..m

we need mtu mwenye maamuzi, mpiganaji, mwenye kusema na kutenda, alietuletea shule kila kata ili aje atuletee hosptl kila kata, atuletee maabara kila kata, aje na mikakat ya kupunguza foleni dar kama alivyojaribu njia tatu, atufikishie maji Singida kutoka ziwa victoria, atuletee Elimu kwanza kabla ya kilimo, atakaye punguza tatizo la ajira ambao ndio wimbo lake kila siku kuwa ni bomu linalilipuka kuanzia sasa, tunamuitaji kiongozi atakaye kohowa watumishi utekeleza maagizo kwa haraka ili wananchi wapate huduma stahiki na kwa wakati na huyo sii mwingine bali anajulikana kila kona ya Nchi kuwa mtu wa maamuzi ni nani zaidi ya KIDUME Mwenyewe

NA MTU HUYO ASIWE SIFA ZA KIFISADI. asiwe na TUHUMA ZA RICHMONDS NA NYINGINEZO. awe msafi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom