Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

lowasa amekuwa kiongozi mimi sijazaliwa,sehemu kubwa ya matatizo ya nchi hii yeye kahusika kutokana na umri wake na muda wake mrefu katika uongozi wa chama na serikali.Kumpa urais lowasa ni kuendelea kuliweka taifa hili katika wakati mgumu.Tatizo wengi tunasumbuliwa na njaa na tunaamini ukiwa mpambe wa Lowasa utafanikiwa kupoza njaa.
 
Tunajua alikuwa tishio kubwa kwa vigogo wakubwa wa ccm na kuzorota kwa afya yake pia ccm inajua sababu zake. ila madaraka ni matamu sana wajameni yani hata ikibidi kuondoa uhai wa watu kibao eti kisa kundelea kutawala??!!!! ooh chama changu chakavu CCM mbona nakuona unaelekea kaburini mchana kweupeeeee........!!!!
 
Usiwe mtu wa ku speak other peoples mind, hivi asipogombea utaficha wapi aibu yako ya kuzusha

Asipogombea sitaona aibu bali ntafurahi make mabilionea aliyopoteza makanisani na misktini hawezi kuyarudsha kwa mgongo wa urais.
 
anataka nchi iingìe gharama za uchaguz mara mbilimbili
Mnakofika ni mbali hivi nani anajua nilini na wapi kifo anayejua ni Mwenyezi Mungu pekee unaweza ukafa wewe hata leo hii ukamuacha yule unayedhani angekufa soon.
 
Inaonekana CCM bado ina nguvu sana. Kila kukicha CCM.Hata sera za vyama vingine sasa hazijulikani, imebaki sera moja tu ya kuiondoa CCM madarakani.

CCM ina NGUVU SANA. tatizo hawa MAFISADI ndio watakaokwamisha juhudi na taswira ya chama chetu. MAFISADI TUACHENI JAMANI
 
mnakofika ni mbali hivi nani anajua nilini na wapi kifo anayejua ni mwenyezi mungu pekee unaweza ukafa wewe hata leo hii ukamuacha yule unayedhani angekufa soon.

unafikiri kwa nini nje ya kila hospitali panauzwa majneza?.
 
stella maganga utakuwa umevurugwa tu na waliokutuma.
Ila waambie tu kwamba rais wetu ni lowasa 2015

labda awe rais wa mafisadi na majambazi. Sio watanzania. Chama makini hakiwezi kuwa na rais jambazi kama lowassa. Nver
 
tunajua alikuwa tishio kubwa kwa vigogo wakubwa wa ccm na kuzorota kwa afya yake pia ccm inajua sababu zake. Ila madaraka ni matamu sana wajameni yani hata ikibidi kuondoa uhai wa watu kibao eti kisa kundelea kutawala??!!!! Ooh chama changu chakavu ccm mbona nakuona unaelekea kaburini mchana kweupeeeee........!!!!

jenga hoja. Usiwe kama lowassa na vibaraka wake
 
Kufuatia minong’ono ya Hapa na Pale kwamba ndugu EDWARD LOWASSA kuwa amedhamiria kwenda IKULU hata kwa KUKIPASUA CHAMA chake,
Kwa Mtazamo wangu na wa watu walio wengi, Hizi Hapa CHANGAMOTO KUU zinazomkabili LOWASSA kutimiza ndoto yake hiyo.



1. UFISADI

Popote linapotajwa jina la EDWARD LOWASSA, Idea ya kwanza inayokuja kichwani kwa msikilizaji ni UFISADI ULIOTUKUKA, kwamba kila Watanzania wanapoikumbuka RICHMOND, wanamkumbuka LOWASSA, kwamba kila leo LOWASSA analipwa na Serikali MABILIONI YA PESA kupitia UFISADI WA RICHMOND.
Ni vigumu sana kumtenganisha LOWASSA na RICHMOND, LOWASSA ni RICHMOND na RICHMOND ndo LOWASSA, hili halikwepeki, na Watanzania sio wepesi wa Kusahau kiasi hicho,
Upo UFISADI mwingi uliofanywa na LOWASSA, katika wizara zote alizowahi kuzitumikia na nafasi zote alizowahi kuongoza, kwa sasa itoshe tu kusema LOWASSA ni KIELELEZO KIKUU CHA UFISADI WA TAIFA HILI.



2. UTAJIRI MKUBWA
Yawezekana ni Kutokana na UFISADI wake anaoufanya, lakini ukweli ni Kwamba LOWASSA ni tajiri ambaye hata hawezi kusema mali zak amezipataje pataje, pamoja na kumiliki mali nyingi hapa Tanzania, nyingi kati ya hizo akitumia majina ya watoto zake na Maswahiba zake, lakini LOWASSA ni Miongoni mwa Watanzania wanaomiliki Mali nje ya Nchi,
Unaweza Ukajiuliza Mtumishi huyu wa Serikali wa miaka mingi aliwezaje Kumiliki NYUMBA TATU za kifahari NCHINI UINGEREZA?, NYUMBA ZA MABILLIONI YA SHILINGI, alitoa wapi utajiri huo?.
Gazti la RAIA MWEMA NOV.2010 lilitoa MOJA KATI YA PICHA YA MAJUMBA YA LOWASSA NCHINI UINGERZA.
Leo anazunguka kugawa pesa hizi chafu makanisani na misikitini, UTAJIRI HUU UNA MASHAKA MAKUBWA.

3. AFYA MGOGORO.
Kama kuna jambo linawatesa wapambe wa LOWASSA ni kudorora kwa AFYA yake kila kukicha,
Sio siri tena kwamba LOWASSA ni mgonjwa,
Pamoja na jitihada zinazofanywa na wapamb wake, kumpeleka UJERUMANI kila MWEZI kupata matibabu, Kumpatia WAGANGA wa KIENYEJI, kumpeleka mpaka kwa NABII JOSHUA ili aombewe, lakini Hali ya AFYA ya LOWASSA inazidi kuwa MBOVU kila kukicha.
Sasa hivi hawezi hata kushika kikombe kwa dakika 5 mfululizo, amedhoofika mno

Juzi alikwenda KARAGWE kumtembelea BALOZI RUHINDA ambaye amepata STROKE upande mmoja wa mwili wake,
Cha kushangaza BALOZI RUHINDA ameonekana yupo STRONG MARA DUFU kulinganisha na aliyekuja kumuona, Lowassa ameshindwa hata kutembea na mgonjwa, matokeo yak akaanguka zaidi ya mara tatu kwenye ngazi.
Jioni yake akashindwa hata kwenda kwenye Warsha aliyoandasliwa. Hii ni Hatari

Hata wapambe wake alioongozana nao ambao ni NAZIR KARAMAGI na MUSHI ambaye ni katibu wa CCM MKOA KAGERA walionyesha kufedheheka kwa namna hali ilivyokuwa.

Sasa hivi LOWASSA ameonekana kupoteza matumaini ya kugombea tena URAIS, wapambe wake hawana matumaini na Afya yake nay eye mwenyewe hana tena matumaini.

Kwa Afya ya LOWASSA hakuna muujiza utakaomuwezesha kumudu na kuhimili heka heka za kampeni za kufanya mikutano zaidi ya 10 kwa siku.

4. KUKATALIWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE

Kila mmoja anaijua nafasi ya mwalimu nyerere kwenye maisha ya siasa za Tanzania.
Mwalimu Tangu zamani alionyesha kutokumkubali kabisa LOWASSA, na kwamba UTAJIRI WAKE, UBINAFSI WAKE, UFISADI wake na dhuruma zake nyingi alizozifanya zilimpelekea mwalimu kuwa hataki hata kumsikia akishika nafasi kubwa za uongozi kwenye Taifa letu.

LOWASSA, ndio mgombea pekee anayepigiwa UPATU na viongozi na wanachama wa CHADEMA na vyama vingine vya UPINZANI, sababu kuu ya kumpigia UPATU huo ni kwamba, wanaamini kuwa LOWASSA ndio mgombea pekee ambaye ni Dhaifu na mwenye Kashfa na UBADHILIFU mkubwa kwa Taifa hili hivyo kuwarahishia njia ya kumuangusha na wao kushinda dola. Ndio maana huwezi kusikia popote Dkt.Slaa ama MBOWE akimsema vibaya LOWASSA.

NAWASILISHA.

Mi naogopa gharama ya kuhost msiba wa kitaifa ni kubwa sana maana lowasa hawezi kumaliza hatamwaka mmoja ikulu, tutingia gharama za bure watanzania mazish ya rais ni ghali sana.
 
Haya tena , mmeamua kuparurana , sisi tunawachora tu huku tukisubiri kujiokotea mizoga !
 
kufuatia minong’ono ya hapa na pale kwamba ndugu edward lowassa kuwa amedhamiria kwenda ikulu hata kwa kukipasua chama chake,
kwa mtazamo wangu na wa watu walio wengi, hizi hapa changamoto kuu zinazomkabili lowassa kutimiza ndoto yake hiyo.



1. ufisadi

popote linapotajwa jina la edward lowassa, idea ya kwanza inayokuja kichwani kwa msikilizaji ni ufisadi uliotukuka, kwamba kila watanzania wanapoikumbuka richmond, wanamkumbuka lowassa, kwamba kila leo lowassa analipwa na serikali mabilioni ya pesa kupitia ufisadi wa richmond.
ni vigumu sana kumtenganisha lowassa na richmond, lowassa ni richmond na richmond ndo lowassa, hili halikwepeki, na watanzania sio wepesi wa kusahau kiasi hicho,
upo ufisadi mwingi uliofanywa na lowassa, katika wizara zote alizowahi kuzitumikia na nafasi zote alizowahi kuongoza, kwa sasa itoshe tu kusema lowassa ni kielelezo kikuu cha ufisadi wa taifa hili.



2. utajiri mkubwa
yawezekana ni kutokana na ufisadi wake anaoufanya, lakini ukweli ni kwamba lowassa ni tajiri ambaye hata hawezi kusema mali zak amezipataje pataje, pamoja na kumiliki mali nyingi hapa tanzania, nyingi kati ya hizo akitumia majina ya watoto zake na maswahiba zake, lakini lowassa ni miongoni mwa watanzania wanaomiliki mali nje ya nchi,
unaweza ukajiuliza mtumishi huyu wa serikali wa miaka mingi aliwezaje kumiliki nyumba tatu za kifahari nchini uingereza?, nyumba za mabillioni ya shilingi, alitoa wapi utajiri huo?.
gazti la raia mwema nov.2010 lilitoa moja kati ya picha ya majumba ya lowassa nchini uingerza.
leo anazunguka kugawa pesa hizi chafu makanisani na misikitini, utajiri huu una mashaka makubwa.

3. afya mgogoro.
kama kuna jambo linawatesa wapambe wa lowassa ni kudorora kwa afya yake kila kukicha,
sio siri tena kwamba lowassa ni mgonjwa,
pamoja na jitihada zinazofanywa na wapamb wake, kumpeleka ujerumani kila mwezi kupata matibabu, kumpatia waganga wa kienyeji, kumpeleka mpaka kwa nabii joshua ili aombewe, lakini hali ya afya ya lowassa inazidi kuwa mbovu kila kukicha.
sasa hivi hawezi hata kushika kikombe kwa dakika 5 mfululizo, amedhoofika mno

juzi alikwenda karagwe kumtembelea balozi ruhinda ambaye amepata stroke upande mmoja wa mwili wake,
cha kushangaza balozi ruhinda ameonekana yupo strong mara dufu kulinganisha na aliyekuja kumuona, lowassa ameshindwa hata kutembea na mgonjwa, matokeo yak akaanguka zaidi ya mara tatu kwenye ngazi.
jioni yake akashindwa hata kwenda kwenye warsha aliyoandasliwa. Hii ni hatari

hata wapambe wake alioongozana nao ambao ni nazir karamagi na mushi ambaye ni katibu wa ccm mkoa kagera walionyesha kufedheheka kwa namna hali ilivyokuwa.

sasa hivi lowassa ameonekana kupoteza matumaini ya kugombea tena urais, wapambe wake hawana matumaini na afya yake nay eye mwenyewe hana tena matumaini.

kwa afya ya lowassa hakuna muujiza utakaomuwezesha kumudu na kuhimili heka heka za kampeni za kufanya mikutano zaidi ya 10 kwa siku.

4. kukataliwa na baba wa taifa mwalimu nyerere

kila mmoja anaijua nafasi ya mwalimu nyerere kwenye maisha ya siasa za tanzania.
mwalimu tangu zamani alionyesha kutokumkubali kabisa lowassa, na kwamba utajiri wake, ubinafsi wake, ufisadi wake na dhuruma zake nyingi alizozifanya zilimpelekea mwalimu kuwa hataki hata kumsikia akishika nafasi kubwa za uongozi kwenye taifa letu.

lowassa, ndio mgombea pekee anayepigiwa upatu na viongozi na wanachama wa chadema na vyama vingine vya upinzani, sababu kuu ya kumpigia upatu huo ni kwamba, wanaamini kuwa lowassa ndio mgombea pekee ambaye ni dhaifu na mwenye kashfa na ubadhilifu mkubwa kwa taifa hili hivyo kuwarahishia njia ya kumuangusha na wao kushinda dola. Ndio maana huwezi kusikia popote dkt.slaa ama mbowe akimsema vibaya lowassa.

Nawasilisha.

team membe na hiv zmewpanda kichwani laana ya pesa za ghadafi zmeanza kuwarudia...kila sku membe analetewa mashekh wa kumfunga matunguri wzaran anajfungia ofsni masaa 12 na ofs inajaa harufu za ajabu na vyungu vya ajabu vnafchwa ofsni urais membe ata ajigeuze jinsia hawez kuupata lowasa ni moto wa kuotea mbali ata chadema wanajua ...eti unatoa hoja nyepesi kuwa ccm wakmptsha lowasa chadema watapeta sasa kwa taarfa yako vkao nyeti vya chadema na makachero wao wanajua lowasa ni threat kama mkapa.....tumeteseka miaka 10 inatosha gesi imepewa wachna miaka 1000...ela za iptl zmechukuliwa kama penshen ya 1st family sasa tunamtaka membe ambaye ni sehemu ya tatzo? Tumpeleke wapi ..npo tayar kumpa ata mtkila au mrema kura ila si membe naapa kwa iman yangu
 
labda awe rais wa mafisadi na majambazi. Sio watanzania. Chama makini hakiwezi kuwa na rais jambazi kama lowassa. Nver

Ha ha ha umeona Lowassa ndio habari ya mujini umeamua kuja kuzindua uzi huku wa kum neutralize ha ha ha too low and too late for you
 
Kufuatia minong’ono ya Hapa na Pale kwamba ndugu EDWARD LOWASSA kuwa amedhamiria kwenda IKULU hata kwa KUKIPASUA CHAMA chake,
Kwa Mtazamo wangu na wa watu walio wengi, Hizi Hapa CHANGAMOTO KUU zinazomkabili LOWASSA kutimiza ndoto yake hiyo.



1. UFISADI

Popote linapotajwa jina la EDWARD LOWASSA, Idea ya kwanza inayokuja kichwani kwa msikilizaji ni UFISADI ULIOTUKUKA, kwamba kila Watanzania wanapoikumbuka RICHMOND, wanamkumbuka LOWASSA, kwamba kila leo LOWASSA analipwa na Serikali MABILIONI YA PESA kupitia UFISADI WA RICHMOND.
Ni vigumu sana kumtenganisha LOWASSA na RICHMOND, LOWASSA ni RICHMOND na RICHMOND ndo LOWASSA, hili halikwepeki, na Watanzania sio wepesi wa Kusahau kiasi hicho,
Upo UFISADI mwingi uliofanywa na LOWASSA, katika wizara zote alizowahi kuzitumikia na nafasi zote alizowahi kuongoza, kwa sasa itoshe tu kusema LOWASSA ni KIELELEZO KIKUU CHA UFISADI WA TAIFA HILI.



2. UTAJIRI MKUBWA
Yawezekana ni Kutokana na UFISADI wake anaoufanya, lakini ukweli ni Kwamba LOWASSA ni tajiri ambaye hata hawezi kusema mali zak amezipataje pataje, pamoja na kumiliki mali nyingi hapa Tanzania, nyingi kati ya hizo akitumia majina ya watoto zake na Maswahiba zake, lakini LOWASSA ni Miongoni mwa Watanzania wanaomiliki Mali nje ya Nchi,
Unaweza Ukajiuliza Mtumishi huyu wa Serikali wa miaka mingi aliwezaje Kumiliki NYUMBA TATU za kifahari NCHINI UINGEREZA?, NYUMBA ZA MABILLIONI YA SHILINGI, alitoa wapi utajiri huo?.
Gazti la RAIA MWEMA NOV.2010 lilitoa MOJA KATI YA PICHA YA MAJUMBA YA LOWASSA NCHINI UINGERZA.
Leo anazunguka kugawa pesa hizi chafu makanisani na misikitini, UTAJIRI HUU UNA MASHAKA MAKUBWA.

3. AFYA MGOGORO.
Kama kuna jambo linawatesa wapambe wa LOWASSA ni kudorora kwa AFYA yake kila kukicha,
Sio siri tena kwamba LOWASSA ni mgonjwa,
Pamoja na jitihada zinazofanywa na wapamb wake, kumpeleka UJERUMANI kila MWEZI kupata matibabu, Kumpatia WAGANGA wa KIENYEJI, kumpeleka mpaka kwa NABII JOSHUA ili aombewe, lakini Hali ya AFYA ya LOWASSA inazidi kuwa MBOVU kila kukicha.
Sasa hivi hawezi hata kushika kikombe kwa dakika 5 mfululizo, amedhoofika mno

Juzi alikwenda KARAGWE kumtembelea BALOZI RUHINDA ambaye amepata STROKE upande mmoja wa mwili wake,
Cha kushangaza BALOZI RUHINDA ameonekana yupo STRONG MARA DUFU kulinganisha na aliyekuja kumuona, Lowassa ameshindwa hata kutembea na mgonjwa, matokeo yak akaanguka zaidi ya mara tatu kwenye ngazi.
Jioni yake akashindwa hata kwenda kwenye Warsha aliyoandasliwa. Hii ni Hatari

Hata wapambe wake alioongozana nao ambao ni NAZIR KARAMAGI na MUSHI ambaye ni katibu wa CCM MKOA KAGERA walionyesha kufedheheka kwa namna hali ilivyokuwa.

Sasa hivi LOWASSA ameonekana kupoteza matumaini ya kugombea tena URAIS, wapambe wake hawana matumaini na Afya yake nay eye mwenyewe hana tena matumaini.

Kwa Afya ya LOWASSA hakuna muujiza utakaomuwezesha kumudu na kuhimili heka heka za kampeni za kufanya mikutano zaidi ya 10 kwa siku.

4. KUKATALIWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE

Kila mmoja anaijua nafasi ya mwalimu nyerere kwenye maisha ya siasa za Tanzania.
Mwalimu Tangu zamani alionyesha kutokumkubali kabisa LOWASSA, na kwamba UTAJIRI WAKE, UBINAFSI WAKE, UFISADI wake na dhuruma zake nyingi alizozifanya zilimpelekea mwalimu kuwa hataki hata kumsikia akishika nafasi kubwa za uongozi kwenye Taifa letu.

LOWASSA, ndio mgombea pekee anayepigiwa UPATU na viongozi na wanachama wa CHADEMA na vyama vingine vya UPINZANI, sababu kuu ya kumpigia UPATU huo ni kwamba, wanaamini kuwa LOWASSA ndio mgombea pekee ambaye ni Dhaifu na mwenye Kashfa na UBADHILIFU mkubwa kwa Taifa hili hivyo kuwarahishia njia ya kumuangusha na wao kushinda dola. Ndio maana huwezi kusikia popote Dkt.Slaa ama MBOWE akimsema vibaya LOWASSA.

NAWASILISHA.

lowassa lowassa lowassa. .....
 
Mi naogopa gharama ya kuhost msiba wa kitaifa ni kubwa sana maana lowasa hawezi kumaliza hatamwaka mmoja ikulu, tutingia gharama za bure watanzania mazish ya rais ni ghali sana.

mmeisha mloga tayari jamani ?
 
Ha ha ha umeona Lowassa ndio habari ya mujini umeamua kuja kuzindua uzi huku wa kum neutralize ha ha ha too low and too late for you

Habari ya mjini atakuwa lowasa? Apeleke kule mamvi yake sie hatumtaki.
 
Back
Top Bottom