Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

Kufuatia minong'ono ya Hapa na Pale kwamba ndugu EDWARD LOWASSA kuwa amedhamiria kwenda IKULU hata kwa KUKIPASUA CHAMA chake,
Kwa Mtazamo wangu na wa watu walio wengi, Hizi Hapa CHANGAMOTO KUU zinazomkabili LOWASSA kutimiza ndoto yake hiyo.

1. UFISADI

Popote linapotajwa jina la EDWARD LOWASSA, Idea ya kwanza inayokuja kichwani kwa msikilizaji ni UFISADI ULIOTUKUKA, kwamba kila Watanzania wanapoikumbuka RICHMOND, wanamkumbuka LOWASSA, kwamba kila leo LOWASSA analipwa na Serikali MABILIONI YA PESA kupitia UFISADI WA RICHMOND.
Ni vigumu sana kumtenganisha LOWASSA na RICHMOND, LOWASSA ni RICHMOND na RICHMOND ndo LOWASSA, hili halikwepeki, na Watanzania sio wepesi wa Kusahau kiasi hicho,
Upo UFISADI mwingi uliofanywa na LOWASSA, katika wizara zote alizowahi kuzitumikia na nafasi zote alizowahi kuongoza, kwa sasa itoshe tu kusema LOWASSA ni KIELELEZO KIKUU CHA UFISADI WA TAIFA HILI.

2. UTAJIRI MKUBWA
Yawezekana ni Kutokana na UFISADI wake anaoufanya, lakini ukweli ni Kwamba LOWASSA ni tajiri ambaye hata hawezi kusema mali zak amezipataje pataje, pamoja na kumiliki mali nyingi hapa Tanzania, nyingi kati ya hizo akitumia majina ya watoto zake na Maswahiba zake, lakini LOWASSA ni Miongoni mwa Watanzania wanaomiliki Mali nje ya Nchi,
Unaweza Ukajiuliza Mtumishi huyu wa Serikali wa miaka mingi aliwezaje Kumiliki NYUMBA TATU za kifahari NCHINI UINGEREZA?, NYUMBA ZA MABILLIONI YA SHILINGI, alitoa wapi utajiri huo?.
Gazti la RAIA MWEMA NOV.2010 lilitoa MOJA KATI YA PICHA YA MAJUMBA YA LOWASSA NCHINI UINGERZA.
Leo anazunguka kugawa pesa hizi chafu makanisani na misikitini, UTAJIRI HUU UNA MASHAKA MAKUBWA.

3. AFYA MGOGORO.
Kama kuna jambo linawatesa wapambe wa LOWASSA ni kudorora kwa AFYA yake kila kukicha,
Sio siri tena kwamba LOWASSA ni mgonjwa,
Pamoja na jitihada zinazofanywa na wapamb wake, kumpeleka UJERUMANI kila MWEZI kupata matibabu, Kumpatia WAGANGA wa KIENYEJI, kumpeleka mpaka kwa NABII JOSHUA ili aombewe, lakini Hali ya AFYA ya LOWASSA inazidi kuwa MBOVU kila kukicha.
Sasa hivi hawezi hata kushika kikombe kwa dakika 5 mfululizo, amedhoofika mno

Juzi alikwenda KARAGWE kumtembelea BALOZI RUHINDA ambaye amepata STROKE upande mmoja wa mwili wake,
Cha kushangaza BALOZI RUHINDA ameonekana yupo STRONG MARA DUFU kulinganisha na aliyekuja kumuona, Lowassa ameshindwa hata kutembea na mgonjwa, matokeo yak akaanguka zaidi ya mara tatu kwenye ngazi.
Jioni yake akashindwa hata kwenda kwenye Warsha aliyoandasliwa. Hii ni Hatari

Hata wapambe wake alioongozana nao ambao ni NAZIR KARAMAGI na MUSHI ambaye ni katibu wa CCM MKOA KAGERA walionyesha kufedheheka kwa namna hali ilivyokuwa.

Sasa hivi LOWASSA ameonekana kupoteza matumaini ya kugombea tena URAIS, wapambe wake hawana matumaini na Afya yake nay eye mwenyewe hana tena matumaini.

Kwa Afya ya LOWASSA hakuna muujiza utakaomuwezesha kumudu na kuhimili heka heka za kampeni za kufanya mikutano zaidi ya 10 kwa siku.

4. KUKATALIWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE

Kila mmoja anaijua nafasi ya mwalimu nyerere kwenye maisha ya siasa za Tanzania.
Mwalimu Tangu zamani alionyesha kutokumkubali kabisa LOWASSA, na kwamba UTAJIRI WAKE, UBINAFSI WAKE, UFISADI wake na dhuruma zake nyingi alizozifanya zilimpelekea mwalimu kuwa hataki hata kumsikia akishika nafasi kubwa za uongozi kwenye Taifa letu.

LOWASSA, ndio mgombea pekee anayepigiwa UPATU na viongozi na wanachama wa CHADEMA na vyama vingine vya UPINZANI, sababu kuu ya kumpigia UPATU huo ni kwamba, wanaamini kuwa LOWASSA ndio mgombea pekee ambaye ni Dhaifu na mwenye Kashfa na UBADHILIFU mkubwa kwa Taifa hili hivyo kuwarahishia njia ya kumuangusha na wao kushinda dola. Ndio maana huwezi kusikia popote Dkt.Slaa ama MBOWE akimsema vibaya LOWASSA.

NAWASILISHA.

nahisi kukataliwa hata kikwete alikataliwa kazi kwenu bwana
 
4. KUKATALIWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE

.
kama na hii ni HOJA basi watanzania tutakuwa na laana ya Mwalimu, maana ni mengi tu aliyakataa na kuyakemea lakini leo hii watu tunayafanya waziwazi bila kificho.

Tena watu wa kwanza kuhukumiwa na hii hoja yako ni wale walioamua kulinyonga Azimio la Arusha mchana kweupe, lakini kila kukicha wanaimba wimbo wa kumuenzi Mwalimu - Yaani wanauma na Kupuliza !!
 
Kufuatia minong’ono ya Hapa na Pale kwamba ndugu EDWARD LOWASSA kuwa amedhamiria kwenda IKULU hata kwa KUKIPASUA CHAMA chake,
Kwa Mtazamo wangu na wa watu walio wengi, Hizi Hapa CHANGAMOTO KUU zinazomkabili LOWASSA kutimiza ndoto yake hiyo.

1. UFISADI

Popote linapotajwa jina la EDWARD LOWASSA, Idea ya kwanza inayokuja kichwani kwa msikilizaji ni UFISADI ULIOTUKUKA, kwamba kila Watanzania wanapoikumbuka RICHMOND, wanamkumbuka LOWASSA, kwamba kila leo LOWASSA analipwa na Serikali MABILIONI YA PESA kupitia UFISADI WA RICHMOND.
Ni vigumu sana kumtenganisha LOWASSA na RICHMOND, LOWASSA ni RICHMOND na RICHMOND ndo LOWASSA, hili halikwepeki, na Watanzania sio wepesi wa Kusahau kiasi hicho,
Upo UFISADI mwingi uliofanywa na LOWASSA, katika wizara zote alizowahi kuzitumikia na nafasi zote alizowahi kuongoza, kwa sasa itoshe tu kusema LOWASSA ni KIELELEZO KIKUU CHA UFISADI WA TAIFA HILI.

2. UTAJIRI MKUBWA
Yawezekana ni Kutokana na UFISADI wake anaoufanya, lakini ukweli ni Kwamba LOWASSA ni tajiri ambaye hata hawezi kusema mali zak amezipataje pataje, pamoja na kumiliki mali nyingi hapa Tanzania, nyingi kati ya hizo akitumia majina ya watoto zake na Maswahiba zake, lakini LOWASSA ni Miongoni mwa Watanzania wanaomiliki Mali nje ya Nchi,
Unaweza Ukajiuliza Mtumishi huyu wa Serikali wa miaka mingi aliwezaje Kumiliki NYUMBA TATU za kifahari NCHINI UINGEREZA?, NYUMBA ZA MABILLIONI YA SHILINGI, alitoa wapi utajiri huo?.
Gazti la RAIA MWEMA NOV.2010 lilitoa MOJA KATI YA PICHA YA MAJUMBA YA LOWASSA NCHINI UINGERZA.
Leo anazunguka kugawa pesa hizi chafu makanisani na misikitini, UTAJIRI HUU UNA MASHAKA MAKUBWA.

3. AFYA MGOGORO.
Kama kuna jambo linawatesa wapambe wa LOWASSA ni kudorora kwa AFYA yake kila kukicha,
Sio siri tena kwamba LOWASSA ni mgonjwa,
Pamoja na jitihada zinazofanywa na wapamb wake, kumpeleka UJERUMANI kila MWEZI kupata matibabu, Kumpatia WAGANGA wa KIENYEJI, kumpeleka mpaka kwa NABII JOSHUA ili aombewe, lakini Hali ya AFYA ya LOWASSA inazidi kuwa MBOVU kila kukicha.
Sasa hivi hawezi hata kushika kikombe kwa dakika 5 mfululizo, amedhoofika mno

Juzi alikwenda KARAGWE kumtembelea BALOZI RUHINDA ambaye amepata STROKE upande mmoja wa mwili wake,
Cha kushangaza BALOZI RUHINDA ameonekana yupo STRONG MARA DUFU kulinganisha na aliyekuja kumuona, Lowassa ameshindwa hata kutembea na mgonjwa, matokeo yak akaanguka zaidi ya mara tatu kwenye ngazi.
Jioni yake akashindwa hata kwenda kwenye Warsha aliyoandasliwa. Hii ni Hatari

Hata wapambe wake alioongozana nao ambao ni NAZIR KARAMAGI na MUSHI ambaye ni katibu wa CCM MKOA KAGERA walionyesha kufedheheka kwa namna hali ilivyokuwa.

Sasa hivi LOWASSA ameonekana kupoteza matumaini ya kugombea tena URAIS, wapambe wake hawana matumaini na Afya yake nay eye mwenyewe hana tena matumaini.

Kwa Afya ya LOWASSA hakuna muujiza utakaomuwezesha kumudu na kuhimili heka heka za kampeni za kufanya mikutano zaidi ya 10 kwa siku.

4. KUKATALIWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE

Kila mmoja anaijua nafasi ya mwalimu nyerere kwenye maisha ya siasa za Tanzania.
Mwalimu Tangu zamani alionyesha kutokumkubali kabisa LOWASSA, na kwamba UTAJIRI WAKE, UBINAFSI WAKE, UFISADI wake na dhuruma zake nyingi alizozifanya zilimpelekea mwalimu kuwa hataki hata kumsikia akishika nafasi kubwa za uongozi kwenye Taifa letu.

LOWASSA, ndio mgombea pekee anayepigiwa UPATU na viongozi na wanachama wa CHADEMA na vyama vingine vya UPINZANI, sababu kuu ya kumpigia UPATU huo ni kwamba, wanaamini kuwa LOWASSA ndio mgombea pekee ambaye ni Dhaifu na mwenye Kashfa na UBADHILIFU mkubwa kwa Taifa hili hivyo kuwarahishia njia ya kumuangusha na wao kushinda dola. Ndio maana huwezi kusikia popote Dkt.Slaa ama MBOWE akimsema vibaya LOWASSA.

NAWASILISHA.

Unaandika huku unahemaaaaaaa....bila shaka wewe ndo mgonjwa
 
Nachompendea Lowasa hua hajibu utumbo...na siku akitaka kuzungumza hamtobaki salama chi chi emu..
 
leo nami nimeona niwasilishe sehemu ya mawazo na uhalisia wa mambo yalivyo katika maisha yetu kwa sasa. Nikiwa sehemu ya kundi kubwa laVIJANA lenye maamuzi na hatma ya taifa letu na maisha ya baadae.
Ni hakika tumeshuhudia na kuona matukio makubwa na historia nyingi ndani ya nchi zikitokea, mfano kujiuzuru kwa aliyekuwa waziri mkuu,Richmond, EPA, Dowans, Kikombe cha babu, Umeme wa mgao, Ujio wa rais Obama, Katiba Mpya n.k lakini mimi nimeguswa zaidi na historia zilizowekwa na itakayowekwa hivi punde na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeshuhudia miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika na punde tu tumetoka kushuhudia maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar, ndani ya miaka 50 ni mengi mazuri na mema serikali imejitahidi kufanya kwa wananchi wake kutokana viongozi walioshika madaraka. Lakini historia kubwa ninayoiwaza mimi ni ile tunayoenda kuifikia ya kutimiza miaka 50 ya MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzabar, miaka 50 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 26/04/2014 sitaki kuzungumzia Muungano kwa kuwa nimeshatoa maoni yangu kwenye tume ya rasimu ya katiba mpya bali nataka vijana kwa pamoja tukiweka mbali maslahi ya vyama, ukabila,udini, ukanda na maslahi binafsi. Tujadili na tujiandae kisaikolojia hususan kuhusu kiongozi wa nchi, mkuu wan chi, rais mteule ajaye tutakuwa hatuna tofauti na wazee ambao fungu lao ni kuota ndoto (malengo mafupi) kama tukisema tusubiri hadi vyama vitangaze nani atagombea bali tutakuwa tunajidhihirisha kuwa sisi ni vijana wenye maono (malengo na mitazamo yote ya muda mfupi na mrefu) kwa kuanza kujadili mustabali wa maisha yetu ya baadae sasa. Ukweli ni kwamba maisha ni magumu na yanachangamoto nyingi sana hasa kwa sisi vijana, maisha yamekuwa ghali sana, umeme juu, ajira finyu na chache nk lakini kitu kizuri ni kwamba tunaweza kubadili hii hali ingawaje nchi yetu ni changa kwenye viwanda na teknolojia lakini ili limechangawia na kuwa na viongozi wanaoota ndoto ni dhahiri tunahitaji kupata mtu mwenye maono ili aiponye nchi yetu yenye kila aina ya rasilimali, tunahitaji kumpa kijana atakayeweza kutuunganisha na kutumikisha sehemu ambayo tutaweza kunufaika na utajiri tulionao wa maliasili,madini,maji na vijana kama nguvu kazi, tunahitaji kumpata kijana wa jamii ya January Makamba atupeleke kwenye nchi yetu ya maono, Tunamwitaji January Makamba aiponye nchi na ukoma wa umaskini, ajira, na usimamizi uliobora wa rasilimali zetu.
Mimi ni mkristo hivyo usoma sana biblia, Biblia inasema wazi “…na wana wenu waume kwa wakike watatabiri,wazee wenu wataota ndoto, na Vijana wenu wataona maono” Yoeli 2:28, na kama haitoshi Mungu alichagua viongozi vijana na wadogo kama Daudi, Gidion katika Waamuzi 6:15, Sauli katika Samweli 1&2, Pia Mussa alishindwa kufika nchi ya ahadi na Mungu akamchukua na nafasi yake akapewa kijana mdogo Joshua akawapeleka nchi ya ahadi wana Israeli sisemi kuwa wazee hawatufai la hasha bali hawawezi kutupeleka kwenye nchi ya maono, hawezi kutufikisha kwenye mafanikio kwa sababu wazee hawashauriki na hawakotayari kujifunza mambo mapya kwa sababu wanaamini na uzoefu wa kutosha na mbinu walizotumia kumng’oa mkololoni zinaweza kuung’oa umaskini na hali ya nhi ilivyo sasa. Hapa mimi simzungumzii mzee yule aliyehasi imani yake kwa starehe za dunia na kuisaliti nafsi yake kwa sababu ya uroho wa madaraka wala mzee wetu anayepita makanisani na msikitini kutukumbusha vijana tumtumikie Mungu, hakika mzee wangu anafanya kazi iliyo njema kama biblia inavyoelekeza kuwa wazee watawafundisha na kuwashauri vijana wao jinsi ya kuongoza na kuenenda katika njia iliyo safi na bora, naamini kabisa taji hiyo imewekwa kwa ajili yako na ningependa siku uwaambie waziwazi kuwa kuchangisha au kuchangia katika kazi ya Mungu ni wajibu wetu wote hasa vijana na wala haufanyi hivyo kwa sababu unaota kugombea urais bali unatuandaa vijana tuwe na tuone maono bora zaidi.
Pia ningependa kutoa rai kuwa vijana kwa umoja wetu tujaribu kuitumikia jamii yetu kwa nafasi mbalimbali na zaidi tusiache kuwatia moyo vijana mwenzetu ambao wanaona maono ya kuwa viongozi halikadhalika kuwaambia kijana mwenzangu unaweza kuwa kiongozi kwa nafasi hii, kama nami ninavyomshauri kijana mwenzangu, kaka yangu January Makamba boresha maono yako zaidi na zaidi uiponye nchi, uwe rais wetu 2015. January Makamba gombea Urais 2015
JANUARY MAKAMBA NI KIJANA PEKEE KWA SASA ANAYEWEZA KUIPONYA NCHI YETU

Naona umetumwa so bure
 
kinacho semwa inaweza kua ni sawa au sio sawa mi si mwanasiasa ila ninachotaka kusema ishu ya richimondi hakuusika peke yako mbona wengine hawatajwi mfano raisi we utajua ni raisi yupi ni lazima tukubari tumeumizwa sana lakini huo ni udhaifu wa viongozi wengi inchini
 
UMRI MKUBWA umeisahau kama changamoto. Hujui hata JK aliingia mjengoni kwa tiketi ya ukijana. Sasa tiketi ya ujana ishaanza kutumika kama ajenda ya kumpata 'mgombea safi'.
 
HIVI HAYA ULIYOYAANDIKA YANATOFAUTISHWAJE NA SERIKALI ILIYOPO? IKIWA HUYU LOWASSA NDIYE YUKO HIVI KWANINI HAKUUNGANISHWA NA KINA MRAMBA MAHAKAMANI?

AMERICA IMEONGOZWA NA WHEEL CHAIRED PRESIDENT, FDR NA NI MMOJA WA HIGHLY RESPECTED PRESIDENT IN USA AND WORLD.

TUFUNDISHE KIZAZI KIJACHO KUWA SISI TUMEISHI KTK KUTENDEANA HAKI,WAJIBU,UKWELI NA SIYO CHUKI,HUSUDA NA MAJUNGU.

URAIS HUU USITUPOFUSHE MACHO NA KUTUPATIA UZIWI. NI NANI ASIYEJUA RAIA MWEMA NI ANTI-LOWASA? HOJA YAKO YENYEWE TAYARI HUKUMU AGAINST LOWASSA, ITUMIE HAKI YAKO KUWEKA FACTS, EVIDENCE NA KWAKWELI KUTENDEA HAKI JF YENYEWE.

TULIAMINISHWA NA WATU WA AINA YAKO 1985[MONGELLA GETRUDE]ALIONGOZA KAMPENI YA KUMKATAA SALIM AHMED SALIM ETI AKIMTUHUMU KUWA CHOTARA KANA KWAMBA ALIOMBA KUZALIWA HIVYO! 2005 MKAJITOKEZA NINYI KUMUUMIZA TENA ETI HIZBU OOOH KAKAKE NI BRIGEDIA ARABUNI!

TUMEROGWA SISI WATANZANIA ila tutambue Majungu humjenga kesho unayemjungua leo.
 
Kufuatia minong’ono ya Hapa na Pale kwamba ndugu EDWARD LOWASSA kuwa amedhamiria kwenda IKULU hata kwa KUKIPASUA CHAMA chake,
Kwa Mtazamo wangu na wa watu walio wengi, Hizi Hapa CHANGAMOTO KUU zinazomkabili LOWASSA kutimiza ndoto yake hiyo.

1. UFISADI

Popote linapotajwa jina la EDWARD LOWASSA, Idea ya kwanza inayokuja kichwani kwa msikilizaji ni UFISADI ULIOTUKUKA, kwamba kila Watanzania wanapoikumbuka RICHMOND, wanamkumbuka LOWASSA, kwamba kila leo LOWASSA analipwa na Serikali MABILIONI YA PESA kupitia UFISADI WA RICHMOND.
Ni vigumu sana kumtenganisha LOWASSA na RICHMOND, LOWASSA ni RICHMOND na RICHMOND ndo LOWASSA, hili halikwepeki, na Watanzania sio wepesi wa Kusahau kiasi hicho,
Upo UFISADI mwingi uliofanywa na LOWASSA, katika wizara zote alizowahi kuzitumikia na nafasi zote alizowahi kuongoza, kwa sasa itoshe tu kusema LOWASSA ni KIELELEZO KIKUU CHA UFISADI WA TAIFA HILI.

2. UTAJIRI MKUBWA
Yawezekana ni Kutokana na UFISADI wake anaoufanya, lakini ukweli ni Kwamba LOWASSA ni tajiri ambaye hata hawezi kusema mali zak amezipataje pataje, pamoja na kumiliki mali nyingi hapa Tanzania, nyingi kati ya hizo akitumia majina ya watoto zake na Maswahiba zake, lakini LOWASSA ni Miongoni mwa Watanzania wanaomiliki Mali nje ya Nchi,
Unaweza Ukajiuliza Mtumishi huyu wa Serikali wa miaka mingi aliwezaje Kumiliki NYUMBA TATU za kifahari NCHINI UINGEREZA?, NYUMBA ZA MABILLIONI YA SHILINGI, alitoa wapi utajiri huo?.
Gazti la RAIA MWEMA NOV.2010 lilitoa MOJA KATI YA PICHA YA MAJUMBA YA LOWASSA NCHINI UINGERZA.
Leo anazunguka kugawa pesa hizi chafu makanisani na misikitini, UTAJIRI HUU UNA MASHAKA MAKUBWA.

3. AFYA MGOGORO.
Kama kuna jambo linawatesa wapambe wa LOWASSA ni kudorora kwa AFYA yake kila kukicha,
Sio siri tena kwamba LOWASSA ni mgonjwa,
Pamoja na jitihada zinazofanywa na wapamb wake, kumpeleka UJERUMANI kila MWEZI kupata matibabu, Kumpatia WAGANGA wa KIENYEJI, kumpeleka mpaka kwa NABII JOSHUA ili aombewe, lakini Hali ya AFYA ya LOWASSA inazidi kuwa MBOVU kila kukicha.
Sasa hivi hawezi hata kushika kikombe kwa dakika 5 mfululizo, amedhoofika mno

Juzi alikwenda KARAGWE kumtembelea BALOZI RUHINDA ambaye amepata STROKE upande mmoja wa mwili wake,
Cha kushangaza BALOZI RUHINDA ameonekana yupo STRONG MARA DUFU kulinganisha na aliyekuja kumuona, Lowassa ameshindwa hata kutembea na mgonjwa, matokeo yak akaanguka zaidi ya mara tatu kwenye ngazi.
Jioni yake akashindwa hata kwenda kwenye Warsha aliyoandasliwa. Hii ni Hatari

Hata wapambe wake alioongozana nao ambao ni NAZIR KARAMAGI na MUSHI ambaye ni katibu wa CCM MKOA KAGERA walionyesha kufedheheka kwa namna hali ilivyokuwa.

Sasa hivi LOWASSA ameonekana kupoteza matumaini ya kugombea tena URAIS, wapambe wake hawana matumaini na Afya yake nay eye mwenyewe hana tena matumaini.

Kwa Afya ya LOWASSA hakuna muujiza utakaomuwezesha kumudu na kuhimili heka heka za kampeni za kufanya mikutano zaidi ya 10 kwa siku.

4. KUKATALIWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE

Kila mmoja anaijua nafasi ya mwalimu nyerere kwenye maisha ya siasa za Tanzania.
Mwalimu Tangu zamani alionyesha kutokumkubali kabisa LOWASSA, na kwamba UTAJIRI WAKE, UBINAFSI WAKE, UFISADI wake na dhuruma zake nyingi alizozifanya zilimpelekea mwalimu kuwa hataki hata kumsikia akishika nafasi kubwa za uongozi kwenye Taifa letu.

LOWASSA, ndio mgombea pekee anayepigiwa UPATU na viongozi na wanachama wa CHADEMA na vyama vingine vya UPINZANI, sababu kuu ya kumpigia UPATU huo ni kwamba, wanaamini kuwa LOWASSA ndio mgombea pekee ambaye ni Dhaifu na mwenye Kashfa na UBADHILIFU mkubwa kwa Taifa hili hivyo kuwarahishia njia ya kumuangusha na wao kushinda dola. Ndio maana huwezi kusikia popote Dkt.Slaa ama MBOWE akimsema vibaya LOWASSA.

NAWASILISHA.
Kuhusu la Afya kumbuka wimbo mmoja unaosema ajuaye ni Mwenyezi Mungu kwa mgonjwa kuwa mzima na mzima kuwa mfu.
Kuhusk
 
Tatizo lowasa ni mtaalamu wa kuigiza kama ni kiongozi mzuri vile kumbe wizi mtupu,na kwa Tanzania watu wengi hawana utashi wa kisiasa yaani ni shida lakini urais asahau
 
Back
Top Bottom