Changamoto nayopitia bank ya FNB

Changamoto nayopitia bank ya FNB

[emoji28][emoji23] Ila WaTz bhaana thinking capacity ipo chini sana (samahan). Kwahio hapo hujagundua kwanin hawana makato..? Ume calculate gharama za muda wako na gharama za usafiri kutafuta huduma ya hiyo bank..?
Usafiri upi? Kama natembea kwa miguu je? Huko kwingine hakuna changamoto?
 
Nimekuwa mteja wa muda mrefu wa hii bank ya Fnb kwa muda mrefu sana na sikuwahi kupitia changamoto yeyote hadi wiki iliyopita ndio nikakutana na kizaazaa!

Ipo hivi hii bank huwa natumia kusave vipesa navyopata kwa malengo ya muda mrefu kwavile huwa hawana makato ya hapa na pale!

Sasa wiki iliyopita nikawa na shida na pesa yakuzungushia kwenye biashara yangu inabidi niende kuchukua kama milioni 3 hivi mara naambiwa akaunti yangu imeblokiwa kwahiyo siwezi kufanya muamala wowote!

Sema kweli nilichanganyikiwa kutokana nilikuwa nahitaji hiyo pesa haraka sana iwezekanavyo!

Ikabidi niulize kulikoni kufunga account ya mteja bila taarifa yeyote bila sababu za msingi? Nikajibiwa kwamba inabidi nijaze taarifa zangu upya za ki bank!

Kweli nikafanya hivyo na ukizingatia pia nilishajaza taarifa zangu upya miaka miwili tu iliyopita,lkn cha ajabu hadi leo siku ya 8 hawajafungua akaunti yangu ni danadana tu kwa kwenda mbele,nimeenda bank mara mbili mwendo ni kujaza fomu kila kukicha!

Nimejaribu kupiga simu huduma kwa wateja wanasema ombi langu wanalishughulikia hadi nimechoka wakuu!
Msaada wakuu nina ninachotakiwa kufanya maana mipango yangu imesimama huku nikiteseka na pesa zangu mwenyewe!
Mwenzio naugulia maumivu Arusha! Wamefunga wamesepa!!
 
Huwa najiuliza benki zooooooote za Kizalendo zilizopo mtu anapata wapi ujasiri wa kuweka pesa zake KCB, BOA, FnB nk nk anyway Mkuu ukiamua kununua Gari la Mzungu tegemea kulia kama hivvi acha sie tuendelee na NMB/TOYOTA zetu
Uzalendo wa nyoko,

Nna account KCB na kabla ya hapo nilikuwa Equity.

Na ntaongeza account nyingine bancABC...

Benki za Bongo ni usenge tu.

Unafanya POS na bank za kibongo unapigwa exchange kubwa kama vile wewe siyo mtanzania. Yaani kufanya POS tunaona kama ni anasa. *****.

Sisi wabongo tunachojua ni umbea tu.

Haya mambo mengine tuwaachie watu walio serious.
 
Kwa maneno haya unataka kusema mdau atakuwa amepigwa kwenye mshono? Nayajua maumivu yake.

Hizi bank za kuunga unga toka ile efata iondoke na million nane zangu hunikuti humo, NMB na CRDB japokuwa wana vitozo vya ajabu ajabu lakini bado wanafaa sana kwa sisi wa vipato vya kawaida.
We na wewe bank gani hiyo ulienda kufungua account. Jamani muwe munaomba ushauri hata humu ndani.

Mimi nimeshatumia NBC, CRDB, na NMB kwa bank za local.

Ila mpaka sasa nmebaki na NMB tu naona ntaachana nao any time.

Bank za Kigeni nyingi wanajielewa.
 
Watu wanaongea tu, bank kama ABSA kwangu ni bank bora kuliko bank zote za ndani ( local ), huduma za jamaa faster sana hadi unafurahi, kwa sie wafanya online transaction na internet bank ndio mwake
BOra kwa sababu ina wateja wachache? Ukienda Bukombe ama Nkasi utaipata? Inakufaa wewe kwa sababu huenda ni mfanyakazi na tena uko stationary eneo moja la mjini tu ilipo
 
NMB CRDB NBC hizi ndiyo bank za TANZANIA za uhakika na salama muda wote... Tatizo lenu WaTz mnapenda sana vya bure mnataka muweke pesa bank isikatwe hata shilingi mia, sasa bank itajiendeshaje kama sio kufa na kudhulumu wateja...
Hizi bank za watu maskini ambao mentality yao ni kutunza tu pesa bank. Ila kuna vitu vingi sana bado wanafeli.

Uhamishiwe pesa kwa TT toka nchi nyingingine kuja kwenye hizo bank hamna milio utaacha kulia.
 
Hamuanishawishi aisee hela zangu naweka Banc ABC hakuna makato,makato ni kwenye kufanya miamala tu.

Changamoto
*Matawi machache Dar yapo matatu tu
*Usumbufu kwenye ATM wawezakuta mashine ipo out of service hapo shida inakuja kulitafuta tawi lingine
*Mawakala wachache
*Menu yao ya mobili money haifanyi kazi.
Me natumia KCB the only downsides are

1. Sijaonaga mawakala wao japo hapa mjini matawi yapo yapo. Uhuru, Lumumba, Samora, Msasani, Buguruni, Mlimani city na Mbagala, Pia wana ATM msimbazi. Kwa mikoani wana Branch Moro, moshi na Zanzibar.

2. Downside ya pili ni Card yao ya Visa siyo 3D secured, Hivyo inanibana kufanya POS kwenye baadhi ya sites. Sijajua kama wana aina nyingine ya Card ambayo ni 3d secured.

The rest wapo Okay.

Niliendaga BancABC uhuru Heights kufungua account, wakaniambia nilete barua ya utambulisho nikaona uchawi.

Ila nasikia ni bank nzuri.
 
Nimekuwa mteja wa muda mrefu wa hii bank ya Fnb kwa muda mrefu sana na sikuwahi kupitia changamoto yeyote hadi wiki iliyopita ndio nikakutana na kizaazaa!

Ipo hivi hii bank huwa natumia kusave vipesa navyopata kwa malengo ya muda mrefu kwavile huwa hawana makato ya hapa na pale!

Sasa wiki iliyopita nikawa na shida na pesa yakuzungushia kwenye biashara yangu inabidi niende kuchukua kama milioni 3 hivi mara naambiwa akaunti yangu imeblokiwa kwahiyo siwezi kufanya muamala wowote!

Sema kweli nilichanganyikiwa kutokana nilikuwa nahitaji hiyo pesa haraka sana iwezekanavyo!

Ikabidi niulize kulikoni kufunga account ya mteja bila taarifa yeyote bila sababu za msingi? Nikajibiwa kwamba inabidi nijaze taarifa zangu upya za ki bank!

Kweli nikafanya hivyo na ukizingatia pia nilishajaza taarifa zangu upya miaka miwili tu iliyopita,lkn cha ajabu hadi leo siku ya 8 hawajafungua akaunti yangu ni danadana tu kwa kwenda mbele,nimeenda bank mara mbili mwendo ni kujaza fomu kila kukicha!

Nimejaribu kupiga simu huduma kwa wateja wanasema ombi langu wanalishughulikia hadi nimechoka wakuu!
Msaada wakuu nina ninachotakiwa kufanya maana mipango yangu imesimama huku nikiteseka na pesa zangu mwenyewe!

Boss Kuna benki ya NMB, CRDB na NBC
Na kwa jambo kama lako, Mbona BONUS ACCOUNT ya NMB ingetosha?

#YNWA
 
Barclay ,Stanbic and the like ni uchafu tuuu!!? Eti benk Ina tawi Samora avenue tuu!! Na masaki!! Sasa ukiwa iramba masharika inakuwaje!?acha ulimbukeni aisee
Hayo ya kuwa Iramba mashariki ni matatizo yako.

Ila hizo bank hakuna takataka ya Local inazifikia.
 
Uzalendo wa nyoko,

Nna account KCB na kabla ya hapo nilikuwa Equity.

Na ntaongeza account nyingine bancABC...

Benki za Bongo ni usenge tu.

Unafanya POS na bank za kibongo unapigwa exchange kubwa kama vile wewe siyo mtanzania. Yaani kufanya POS tunaona kama ni anasa. *****.

Sisi wabongo tunachojua ni umbea tu.

Haya mambo mengine tuwaachie watu walio serious.
Hatuwakatazi kuwa wajuaji lkn mnapopigwa mnakuja kwetu washamba kutafuta huruma maana yake nini?? Punguza ujuaji wakati hujui
 
Nimekuwa mteja wa muda mrefu wa hii bank ya Fnb kwa muda mrefu sana na sikuwahi kupitia changamoto yeyote hadi wiki iliyopita ndio nikakutana na kizaazaa!

Ipo hivi hii bank huwa natumia kusave vipesa navyopata kwa malengo ya muda mrefu kwavile huwa hawana makato ya hapa na pale!

Sasa wiki iliyopita nikawa na shida na pesa yakuzungushia kwenye biashara yangu inabidi niende kuchukua kama milioni 3 hivi mara naambiwa akaunti yangu imeblokiwa kwahiyo siwezi kufanya muamala wowote!

Sema kweli nilichanganyikiwa kutokana nilikuwa nahitaji hiyo pesa haraka sana iwezekanavyo!

Ikabidi niulize kulikoni kufunga account ya mteja bila taarifa yeyote bila sababu za msingi? Nikajibiwa kwamba inabidi nijaze taarifa zangu upya za ki bank!

Kweli nikafanya hivyo na ukizingatia pia nilishajaza taarifa zangu upya miaka miwili tu iliyopita,lkn cha ajabu hadi leo siku ya 8 hawajafungua akaunti yangu ni danadana tu kwa kwenda mbele,nimeenda bank mara mbili mwendo ni kujaza fomu kila kukicha!

Nimejaribu kupiga simu huduma kwa wateja wanasema ombi langu wanalishughulikia hadi nimechoka wakuu!
Msaada wakuu nina ninachotakiwa kufanya maana mipango yangu imesimama huku nikiteseka na pesa zangu mwenyewe!
Hata mm psssf wananitesa na pesa zangu mwenywe ushenzi Sana

By the way gorofani lako liko wali sasa
 
Back
Top Bottom