Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,734
- 27,451
MABENKI MENGI YALITETEREKA AWAMU YA TANO, NA MENGINE KUFILISIKA KABISA, MENGI YAPO KWENYE KUJIPANGA UPYA KUTOKANA NA BIASHARA KUANZA KUFUNGUKA UPYA NA MZUNGUKO KURUDI KWENYE HALI YAKE,Ninavyojua tangu mwaka jana au juzi FNB ilikuwa na mpango wa kufunga shughuli zake hapa nchini na nimeshangaa kusikia kwamba bado wanaendelea na operations zao!
Nakushauri ukiweza ondoa kila kitu chako na uweke kwenye benki nyingine kwani huwezi kujua usumbufu utakaotokea endapo watafunga benki kutokana na kufilisika. Hii benki chimbuko lake ni Africa Kusini ni benki kubwa kule.
Awamu ya tano ilikuwa ni janga kwa taifa letu.
ASANTE, MAMA, DR. SAMIA, KAZI IENDELEE.