kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,389
- 22,946
Achaneni au punguzeni mseleleko kinachokutesa ni makato madogo
Hamuanishawishi aisee hela zangu naweka Banc ABC hakuna makato,makato ni kwenye kufanya miamala tu.NMB CRDB NBC hizi ndiyo bank za TANZANIA za uhakika na salama muda wote... Tatizo lenu WaTz mnapenda sana vya bure mnataka muweke pesa bank isikatwe hata shilingi mia, sasa bank itajiendeshaje kama sio kufa na kudhulumu wateja...
Kwa nin uteseke na pesa Yako.Hamuanishawishi aisee hela zangu naweka Banc ABC hakuna makato,makato ni kwenye kufanya miamala tu.
Changamoto
*Matawi machache Dar yapo matatu tu
*Usumbufu kwenye ATM wawezakuta mashine ipo out of service hapo shida inakuja kulitafuta tawi lingine
*Mawakala wachache
*Menu yao ya mobili money haifanyi kazi.
Mimi kipato changu ni kidogo imagine unaweka milioni moja baada ya mwezi unakuta laki 9 na tisini na kitu hujafanya muamala wowote wakati unafungua account uliambiwa haina makatoKwa nin uteseke na pesa Yako.
Muda na gharama za kutafuta huduma c Bora ufungue account bank za ndani.
+PostaNMB CRDB NBC hizi ndiyo bank za TANZANIA za uhakika na salama muda wote... Tatizo lenu WaTz mnapenda sana vya bure mnataka muweke pesa bank isikatwe hata shilingi mia, sasa bank itajiendeshaje kama sio kufa na kudhulumu wateja...
Yake ila kanunua Kwa jina la mkeweSema ukweli. Yale mabasi ya Esther ni yako au si yako?
Watu wanaongea tu, bank kama ABSA kwangu ni bank bora kuliko bank zote za ndani ( local ), huduma za jamaa faster sana hadi unafurahi, kwa sie wafanya online transaction na internet bank ndio mwakeSiku ukitumia Barclays kwa sasa ABSA utagundua hivyo vi bank vyenu vya kizalendo vina uswahili mwingi sana.
Ndo nataka asema hapaYake ila kanunua Kwa jina la mkewe
😅😂 Ila WaTz bhaana thinking capacity ipo chini sana (samahan). Kwahio hapo hujagundua kwanin hawana makato..? Ume calculate gharama za muda wako na gharama za usafiri kutafuta huduma ya hiyo bank..?Hamuanishawishi aisee hela zangu naweka Banc ABC hakuna makato,makato ni kwenye kufanya miamala tu.
Changamoto
*Matawi machache Dar yapo matatu tu
*Usumbufu kwenye ATM wawezakuta mashine ipo out of service hapo shida inakuja kulitafuta tawi lingine
*Mawakala wachache
*Menu yao ya mobili money haifanyi kazi.
AhsanteKwanza pole. FNB bank walikua acquired na Exim bank, mwaka 2022 mwezi july..so all assets and liabilities (customer deposits) za fnb zilihamishiwa Exim bank.
Therefore that being a case all complains regarding your fnb account zinatakiwa kua handled na Exim bank..so endapo jitahada zitagonga mwamba Basi nenda BOT dawati/section ya customer compliant watashughulikia issue yako immediately.
(kumbuka BOT walitoa regulation inayohusina na consumer protection kwa wateja wa mabenki..na kuweka timelines(SLA ya kila tatizo na duration ya kutatuliwa such that hiyo duration ikizidi basi mteja a lodge complain yake BOT.
Angejua Absa na FnB ni bank kubwa kiasi gani South Africa asingesema hivyo.FnB unaijua?Usingeiita Bank ndogo
Nalijua tawi moja tu la Mtaa wa Msimbazi KariakooHamuanishawishi aisee hela zangu naweka Banc ABC hakuna makato,makato ni kwenye kufanya miamala tu.
Changamoto
*Matawi machache Dar yapo matatu tu
*Usumbufu kwenye ATM wawezakuta mashine ipo out of service hapo shida inakuja kulitafuta tawi lingine
*Mawakala wachache
*Menu yao ya mobili money haifanyi kazi.
Barclay ,Stanbic and the like ni uchafu tuuu!!? Eti benk Ina tawi Samora avenue tuu!! Na masaki!! Sasa ukiwa iramba masharika inakuwaje!?acha ulimbukeni aiseeSiku ukitumia Barclays kwa sasa ABSA utagundua hivyo vi bank vyenu vya kizalendo vina uswahili mwingi sana.
Hawajui wasemalo, bank za kieni tunafuata huduma bora.Siku ukitumia Barclays kwa sasa ABSA utagundua hivyo vi bank vyenu vya kizalendo vina uswahili mwingi sana.
Unawajua wanyiramba walivyo na kamba?Lkn mnyiramba pesa unazo nyingi bwanaa
Ilikuwaje?Hao fnb warijichimbia kaburi lao walipojiunga na yule Ontario kutapeli wanyonge.
Ile ni laana.