Shida tu mkuuSalary Slip Depal na Beesmom COUNTRY wide na wafanyakaz wengine wa serikali njooni mumshaur uyu mwenzenu[/USER]
Ndo wamenijibu mshahara umerudishwa jina langu halipo wakati nimebadilishana na mtu na barua wamenitumia wenyewe kupitia mwajiri wa awali, kama naenda Dodoma naanzia wapi sifahamuJukumu la kuhamisha mshahara ni la halmashaur uliyotoka. Wanatuma taarifa zako tamisemi wanaprove taarifa zinakwenda halmashauri uliyopo
Ulipata ufumbuzi gani Ili na wengine tunufaike?Nashukuru nilishapata ufumbuzi
Nilienda Dodoma mkuu, mambo yalikaa sawaUlipata ufumbuzi gani Ili na wengine tunufaike?
Acha haraka watahamisha katgts kakoHabari za muda huu ndugu watumishi wa Umma.
Naomba uzi huu Uwe maalum kabisa kwa ajili ya kupeana uzoefu kuhusu changamoto mbalimbali zinazo wakabili watumishi wa umma kabla, wakati na baada ya kupata uhamisho wa kikazi.
Mfano Mimi binafsi niliomba uhamisho wa kubadilishana kituo cha kazi nikafanikiwa kuhama mwaka huu japo mwenzangu bado hajapata barua, changamoto imekuja katika kuhamisha mshahara, A/utumishi anadai niende Dodoma kwani mshahara umegoma kuhamia h/shauri mpya.
Hapa nawaza sijui nianzie wapi, maana uhamisho nimefuata taratibu Zote kuanzia ngazi ya kituo, wilaya hadi mkoani na barua nikatumiwa kupitia mwajiri wangu na nikafungashiwa taarifa vizuri, sasa tena uhamisho siyo halali kivipi?
Kama yupo aliewahi kukutana na changamoto hii atusaidie, yeye aliitatua vipi. Wapo pia Maafisa utumishi humu, watusaidie tafadhali.
Naomba kuwasilisha
Habari mkuu ...mi pia ninachangamoto Kama uliyokua nayo ya mshaara.. tamisemi unaenda ofisi gani na unabeba nn
Vp ulifanikwa?Habari mkuu ...mi pia ninachangamoto Kama uliyokua nayo ya mshaara.. tamisemi unaenda ofisi gani na unabeba nn
Dodoma uliambiwaje mkuu?walikusaidia vipi?
Dodoma uliambiwaje mkuu?walikusaidia vipi