Changamoto katika kufukuzia manzi.

Hivi siku hizi wanawake wanakataa pia?
Naona vijana ni kama mnakutana na nilichokuwa nakutana nacho miaka ya 70.
Ila tangu hapo haijawahi tokea kukataliwa. Asubuhi nikiwa naenda mihangaikoni unakutana vibinti vinaenda kupanda daladala kuelekea kibaruani, natoa lift mpaka kazini kwake, mchana nampitia kwa ajili ya lunch, namrudisha ofisini, jioni namfuata kazini, tunapitia sehemu, tunalala huko, tayari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom