PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
- Thread starter
- #61
Wengine huwa hawamaanishi chief
Wengine huwa hawamaanishi chief
Na anakuelewa??Me waga nawajibu
nimepewa ofa na Tigo
namba ako..
Sikuona tag ulikosea kutag dingii
Kuna ile, "namba yangu umeipata wapi au amekupa nani??" Tena anakukomalia.
Hapo ukiyumba kidogo huna chako... Mfano wewe mdau, ungejibu vipi???
nzuri iyoooNimepewa OFA NA VODACOM
Aibu nimeona mimi
Rafiki Leo umevurugwaaa
Inatia haibu kiasi flan!!Naijua of course na nilishaingia huko, bila shaka hata wewe unajua kinachopatikana huko ndio maana umeshtuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki Leo umevurugwaaa