Changamoto katika kufukuzia manzi.

Changamoto katika kufukuzia manzi.

Mimi hua najifanya nmekosea kutuma vocha halafu nakausha, akinitafuta ntamwambia bas ndo nilishakosea asijari(tutafahamiana kidogo) na namba ntamwambia naisevu. Kumbe saved

Asipo nitafuta baada ya siku kupita ntampigia ila ndo ntaanza kumwambia iyo vocha ataikumbuka tu(mimi sitaidai ila tutafahamiana hata kama namjua)
Mwanzo tayari changanya na zako.

Hii njia hua hainaga kufeli.
Umesomeka chief
 
Hahahaaaa naitumia from to day
Mimi hua najifanya nmekosea kutuma vocha halafu nakausha, akinitafuta ntamwambia bas ndo nilishakosea asijari(tutafahamiana kidogo) na namba ntamwambia naisevu. Kumbe saved

Asipo nitafuta baada ya siku kupita ntampigia ila ndo ntaanza kumwambia iyo vocha ataikumbuka tu(mimi sitaidai ila tutafahamiana hata kama namjua)
Mwanzo tayari changanya na zako.

Hii njia hua hainaga kufeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuachane na namba za simu vipi ukiomba urafiki fb na akakukubalia nako atakuuliza umetoa wapi namba yangu?
 
Sasa kama umeulizwa hivyo si useme namba umetoa wapi akuelewe...mimi ukinitafuta namba ambayo siifahamu nitakuuliza ww nani ukishindwa kusema hapohapo nakublock haijalishi wewe mwanaume au mwanamke


Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm spendi kabisa MTU ana shindwa kujielezea katoa WAP no huyo tukikutata ataweza niuliza kitu.juzi kuna MTU kanambia eti mm mkali, nikamjibu kama hutaki kusema usinisumbue tena ishiiii😂
 
Back
Top Bottom