Changamoto katika kufukuzia manzi.

Changamoto katika kufukuzia manzi.

Kuna ile, "namba yangu umeipata wapi au amekupa nani??" Tena anakukomalia.

Hapo ukiyumba kidogo huna chako... Mfano wewe mdau, ungejibu vipi???
Mwanamke anayejielewa huwezi chukua tu namba from no where utegemee utampata... Ukimpata jua umekutana na kahaba!

Jitahidi tu kuongea na mhusika, kukupa namba ndio mwanzo wa kukubaliwa na chance inakuwa kubwa!
 
Wala si kahaba na kuopoa juu mzee, amini usiamini
 
Kuna ile, "namba yangu umeipata wapi au amekupa nani??" Tena anakukomalia.

Hapo ukiyumba kidogo huna chako... Mfano wewe mdau, ungejibu vipi???
Mimi hua najifanya nmekosea kutuma vocha halafu nakausha, akinitafuta ntamwambia bas ndo nilishakosea asijari(tutafahamiana kidogo) na namba ntamwambia naisevu. Kumbe saved

Asipo nitafuta baada ya siku kupita ntampigia ila ndo ntaanza kumwambia iyo vocha ataikumbuka tu(mimi sitaidai ila tutafahamiana hata kama namjua)
Mwanzo tayari changanya na zako.

Hii njia hua hainaga kufeli.
 
Back
Top Bottom