Baada ya kutingisha kiberiti kaishia kuwa mchepuko

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,417
9,805
Kama unavyojua wanawake hawapendi amani idumu kwenye mahusiano mkikaa muda mrefu bila mkwaluzano wowote atatafuta tu sababu ya kuanzisha marumbano hata kama ni sababu ya kijinga ilimradi tu akuone umepaniki, umekasirika yaan ile kukusababishia tu hasira au stress fulani kwao ni kama burudani.

Kuna manzi wa zamani wa mshkaji wangu, Katika katika heka heka za kumchokonoa mwana akamwambia mshkaji mapenzi yao basi kila mtu aangalie ustaarabu wake, mshkaji ni ile type ya watu wasiopenda nonsense yaani unaweza ukataka kum-povoke tu halafu jamaa akajibu tu poa au sawa mjadala ukaishia hapo hapo.

Zimepita siku, wiki, mwezi manzi kamcheki mchizi katika mawasiliano ya hapa na pale akamtaka mchizi warudiane mchizi kachomoa kwa sababu tayari yupo katika mahusiano mengine. Sasa huyu manzi wa zamani akipiga simu au text sometimes inajibiwa au kupokelewa na manzi mpya wanaishia kutukanana tu

Bado wanapasha kipolo na mshkaji ila manzi kawekewa mipaka hakuna kupiga simu wala kutuma text usiku wakikutana sehemu hakuna mambo ya kuleta kujuana yaani ni kama amekua mchepuko wa mume wa mtu.

Hii hali inamuumiza sana yule manzi wa zamani hayupo huru katika hayo mahusiano ni kama ameshushwa hadhi wakati yeye ndie alikua na mshkaji kabla manzi wa sasa na kumuacha mshkaji hawezi. Huwa ananiletea malalamiko nikamwambia sisi wewe ndo ulimuacha akasema alifanya ivyo kumjaribu tu.

Binafsi vitisho vya kuachwa vishanikuta sana ila napotezea tu kwa sababu naijua saikolojia ya wanawake nachukulia ni mikwala mbuzi tu naendelea na mambo yangu. Baada ya siku mbili tatu manzi ananicheki yeye mwenyewe tunaendelea na mapenzi yetu.

Dada zanguni usimjaribu mtu kama huwezi kumuacha, vyuma vimekaza wanaume sasa hivi tunatembea na mambo mengi sana kichwani. We don't give a damn for your dramas
 
Mara nyingi siyo kwamba anakujaribu, bali anakuwa kwenye penzi jipya..

Akiona hapaeleweki basi anajirudisha kwako kwa kisingizio cha eti alikuwa anakujaribu..
Labda upite muda mrefu kama mwaka hivi ila ndani ya mwezi mmoja uyo alikua anakujaribu
 
Kama unavyojua wanawake hawapendi amani idumu kwenye mahusiano mkikaa muda mrefu bila mkwaluzano wowote atatafuta tu sababu ya kuanzisha marumbano hata kama ni sababu ya kijinga ilimradi tu akuone umepaniki, umekasirika yaan ile kukusababishia tu hasira au stress fulani kwao ni kama burudani.

Kuna manzi wa zamani wa mshkaji wangu, Katika katika heka heka za kumchokonoa mwana akamwambia mshkaji mapenzi yao basi kila mtu aangalie ustaarabu wake, mshkaji ni ile type ya watu wasiopenda nonsense yaani unaweza ukataka kum-povoke tu halafu jamaa akajibu tu poa au sawa mjadala ukaishia hapo hapo.

Zimepita siku, wiki, mwezi manzi kamcheki mchizi katika mawasiliano ya hapa na pale akamtaka mchizi warudiane mchizi kachomoa kwa sababu tayari yupo katika mahusiano mengine. Sasa huyu manzi wa zamani akipiga simu au text sometimes inajibiwa au kupokelewa na manzi mpya wanaishia kutukanana tu

Bado wanapasha kipolo na mshkaji ila manzi kawekewa mipaka hakuna kupiga simu wala kutuma text usiku wakikutana sehemu hakuna mambo ya kuleta kujuana yaani ni kama amekua mchepuko wa mume wa mtu.

Hii hali inamuumiza sana yule manzi wa zamani hayupo huru katika hayo mahusiano ni kama ameshushwa hadhi wakati yeye ndie alikua na mshkaji kabla manzi wa sasa na kumuacha mshkaji hawezi. Huwa ananiletea malalamiko nikamwambia sisi wewe ndo ulimuacha akasema alifanya ivyo kumjaribu tu.

Binafsi vitisho vya kuachwa vishanikuta sana ila napotezea tu kwa sababu naijua saikolojia ya wanawake nachukulia ni mikwala mbuzi tu naendelea na mambo yangu. Baada ya siku mbili tatu manzi ananicheki yeye mwenyewe tunaendelea na mapenzi yetu.

Dada zanguni usimjaribu mtu kama huwezi kumuacha, vyuma vimekaza wanaume sasa hivi tunatembea na mambo mengi sana kichwani. We don't give a damn for your dramas

Ushaambiwa mwalimu wa kipofu!!
 
Back
Top Bottom