Jinsi nilivyomlipisha Mwanamke elfu 10

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Mar 12, 2018
402
539
Nilikutana na manzi mmoja wa chuo hospitalini. Mtoto fulani hivi mweupe mwenye kashepu kakuvutia. Sikupoteza muda nikawa nimeshaanzisha mashambulizi. Nikafanyikiwa kuchukua namba.

Siku zikapita tukawa tunawasiliana mara kwa mara tu. Kila nikimpigia simu stori zilikuwa hazikatiki. Tukatokea kuwa close sana.

Picha linaanza weekend moja nipo nimechill na washkaji. Manzi akanivutia waya akaniambia amenimiss anataka kuniona. Nikamwambia fresh nakuja kwenye ghetto lake alilokuwa amepanga. Ila akaniambia nikiwa nakuja nimletee ice-cream.

Basi nikapita supermarket nikanunua ice-cream ile 4000. Nikajiongeza nikamchukulia na Biscuits 1500 maana najua wanachuo wanapendaga sana. Nikataka kumchukulia na chocolate ila roho ikasita.

Nikajipulizia na unyunyu kabisa ili ninukie fresh nikaenda kumeet naye.Basi nikafika kwa manzi akanihug. Nikamkabidhi mzigo wake akafurahi sana. Tukapiga stori sana mpaka akawa anataka nisiondoke ila jioni ilikuwa imeshaingia na nilikuwa na ratiba zingine. Nikamuaga pale nikasepa zangu.

Mida ya saa 4 usiku hivi nikasema nimcheki nimuwish goodnight. Nikampigia mara ya kwanza hakupokea. Nikakaa kidogo nikapiga mara ya pili haikupokelewa pia. Baada ya muda akaniflash, na mimi bila kupoteza mda nikapiga.

Simu ikapokelewa sema nikawa nasikia mtu kama yeye analia vile kwa mbali. Halafu nikasikia sauti ya jamaa inamwambia aongee sasa, na mimi nikatakakujua nini kimetokea.

Jamaa akaniuliza wewe unamahusiano gani na huyu msichana. Nikamwambia ni demu wangu kwani vipi. Akasema na yeye ni demu wake pia. Hapo manzi haongeii chochote analia tu hata aliulizwa mimi nani kwake hakujibu. Nikamwambia hakuwahi kuniambia ana mtu wala sijawahi kukusikia nikakata simu.

Mara kidogo siku ikapigwa kwa namba nyingine namba ya jamaa. Akaniambia bro naomba tuonge man to man. Akaniuliza hivi huyo manzi umeshawahi kumla. Nikasema jamaa anijui nini. Nikamwambia nimeshamla sana tu hata leo nilikuwa naye tumepanga nimle kesho. Basi jamaa akaonekana kuhuzunika akakata simu.

Nikakaa kidogo manzi akatuma text eti ananiambia kwani si ningempigia simu hata kesho nikawa mvumilivu na kwanini nimemwambia boyfriend wake nimemla, nimemwaribia mahusiano kwamba alikuwa wanapendana sana.

Nikamwambia kama unataka uishi kwa amani nirudishie gharama zangu. Nataka hela yangu sasa hivi. Kweli baada ya siku mbili hivi kanipigia hela anitumie kwenye namba ipi, akasema anatuma elfu 7 kwanza gharama ya hivyo vitu ni bei ya chini zaidi.

Nikamwambia asinichezee kabisa, mimi huwa sifanyi delivery bure. Atume elfu 10. Nikakaa kidogo muamala ukaingia bhana, nikamtumia text "Thank you for your service".

Ila nikakaa nikawaza, nikasema huyu manzi siwezi muachilia hivi hivi na sijamla. Nitakuwa nimewaangusha wazee wakula tunda kimasihara. Nikaja na mpango kambambe wakumtongoza demu mara ya pili na niwaeleze tu licha ya kumlipisha hela na kumwaribia mahusiano yake kwenye hii sehemu pili hakuchomoa. Nilifanya research ya maana ya utongozaji mpaka akawa manzi wangu rasmi.

To be Continued....
 
wewe ni mwanaume maskini sana elf kumi na riba juu watu tunakula zaidi ya hizo na hatujaambiwa turudishe hata mia ndio nyie kanunua sim kampa dem walivyoachana kampokonya acha roho ya kibahili na kimaskini, hio roho sio nzuri unaonekana una gubu, bahili bahili
 
Kuna wengine hapa tukiambiwa tuanze kulipishwa pesa za watu tulizokula nahisi ni bei ya kiwanja kabisa...
Eeh' Mungu tuepushe na hii dhahma na wanaume wa namna hii, Amina.!
yani mimi lazima aliekufa atafufuka maana si hela ndogo na hata niambiwe nitafungwa miaka 30 itakwisha na hela sijamaliza kuzilipa kwanza mambo ya kulipishana ni kiyashamba, wanaume wabahili wenye roho za kishamba ndio wapo hivi huyu n mmoja wao na anapeperusha bendera vizur sana muda smrefu atapewa tuzo
 
Nilikutana na manzi mmoja wa chuo hospitalini.Mtoto flani hivi Mweupe mwenye kashepu kakuvutia.Sikupoteza mda nikawa nimesha anzisha mashambulizi.Nikafanyikiwa kuchukua namba.

Siku zikapita tukawa tunawasiliana mara kwa mara tu.Kila nikimpigia simu stori zilikuwa hazikatiki.Tukatokea kuwa close sana.

Picha linaanza weekend moja nipo nimechill na washkaji.Manzi akanivutia waya akaniambia amenimiss anataka kuniona.Nikamwambia fresh nakuja kwenye ghetto lake alilokuwa amepanga.Ila akaniambia nikiwa nakuja nimletee ice-cream.

Basi nikapita supermarket nikanunua ice-cream ile 4000.Nikajiongeza nikamchukulia na Biscuits 1500 maana najua wanachuo wanapendaga sana.Nikataka kumchukulia na chocolate ila roho ikasita.

Nikajipulizia na unyunyu kabisa ili ninukie fresh nikaenda kumeet naye.Basi nikafika kwa manzi akanihug.Nikamkabidhi mzigo wake akafurahi sana.Tukapiga stori sana mpaka akawa anataka nisiondoke ila jioni ilikuwa imeshaingia na nilikuwa na ratiba zingine.Nikamuaga pale nikasepa zangu.

Mida ya saa 4 usiku hivi nikasema nimcheki nimuwish goodnight.Nikampigia mara ya kwanza hakupokea.Nikakaa kidogo nikapiga mara ya pili haikupokelewa pia.Baada ya mda akaniflash.Na mimi bila kupoteza mda nikapiga.

Simu ikapokelewa sema nikawa nasikia mtu kama yeye analia vile kwa mbali.Halafu nikasikia sauti ya jamaa inamwambia aongee sasa.Na mimi nikatakakujua nini kimetokea.

Jamaa akaniuliza wewe unamahusiano gani na huyu msichana.Nikamwambia ni demu wangu kwani vipi.Akasema na yeye ni demu wake pia.Hapo manzi haongeii chochote analia tu hata aliulizwa mimi nani kwake hakujibu.Nikamwambia Hakuwahi kuniambia ana mtu wala sijawahi kukusikia nikakata simu.

Mara kidogo siku ikapigwa kwa namba nyingine namba ya jamaa.Akaniambia bro naomba tuonge man to man.Akaniuliza hivi huyo manzi umeshawahi kumla.Nikasema jamaa anijui nini.Nikamwambia nimeshamla sana tu hata leo nilikuwa naye tumepanga nimle kesho.Basi jamaa akaonekana kuhuzunika akakata simu.

Nikakaa kidogo manzi akatuma text eti ananiambia kwani si ningempigia simu hata kesho nikawa mvumilivu na kwann nimemwambia boyfriend wake nimemla nimemwaribia mahusiano kwamba alikuwa wanapendana sana.

Nikamwambia kama unataka uishi kwa amani nirudishie gharama zangu.Nataka hela yangu sasa hivi.Kweli baada ya siku mbili hivi kanipigia hela anitumie kwenye namba hivi.Akasema anatuma elfu 7 kwanza gharama ya hivyo vitu ni bei ya chini zaidi.

Nikamwambia asinichezee kabisa mimi huwa sifanyi delivery bure.Atume elfu 10.Nikakaa kidogo muamala ukaingia bhana nikamtumia text "thank you for your service"

Ila nikakaa nikawaza nikasema huyu manzi siwezi muachilia hivi hivi na sijamla.Nitakua nimewaangusha wazee wakula tunda kimasihara.Nikaja na mpango kambambe wakumtongoza demu mara ya pili.Na niwaeleze tu licha ya kumlipisha hela na kumwaribia mahusiano yake kwenye hii sehemu pili hakuchomoa.Nilifanya research ya maana ya utongozaji mpaka akawa manzi wangu rasmi.

To be Continued....
ulikosa nafasi jkt?
 
yani mimi lazima aliekufa atafufuka maana si hela ndogo na hata niambiwe nitafungwa miaka 30 itakwisha na hela sijamaliza kuzilipa kwanza mambo ya kulipishana ni kiyashamba, wanaume wabahili wenye roho za kishamba ndio wapo hivi huyu n mmoja wao na anapeperusha bendera vizur sana muda smrefu atapewa tuzo
Inatafakarisha sana!
Huwa kuna hatua yoyote ya maendeleo mnapigi kwa hizo hela ?
 
Back
Top Bottom