Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
mbona mimi nimenunua antena yenu bwanaaa...???kaka moro mtambo ndo unajengwa sasa hivi upo karibu kumalizika.
Tatizo la signal linatokana na vi2 v3:
1. öngezeko la wateja ni kubwa kwa hivo mitambo inazidiwa. Tunafanya kila jitihada kuongeza mitambo ye2 mfano sasa 2najenga mtambo makongo ambao mda wowote utakamilika kwa hivo tatizo la signal litata2liwa.
2. Aina ya antena unayo2mia wengine wana2mi tube, chadema afu wanalalamika jitahidi u2mie sonnet au antena ye2 basi.
3. Upo eneo gani? Kama upo bondeni sana lazima itakucmbua jaribu kurefusha antenna juu zaidi.