Changamkia Dili hili la uwakala

bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Messages
5,140
Points
2,000
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2011
5,140 2,000
Kama mnavyojua tupo ktk mchakato wa kuhamia kwenye ulimwengu wa digital.
Startimes tunapokea mtu anayetaka kuwa wakala wa kuuza ving'amuzi, antena, wirecable kwa mda huu ambapo demand ya ving'amuzi ipo juu. Ukitaka maelekezo zaidi ya namna ya kujiunga, na bei utayonunua kwetu, na ile utayouzia kutengeneza profit. Nipm nami nitakupa maelekezo yote.
 
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
15,407
Points
1,250
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
15,407 1,250
tatizo vingamuzi vyenu ni ovyo sana
watu wenye akili timamu hawavinunui maybe wakauziwe wajinga nje ya mji!
au mmeshajirekebisha ? maana mimi changu nilikitupa siku nyingi kwa kweli,wateja walipokuwa wachache mlishindwa kutuhudumia je wakiwa mamilioni?
kila siku kupanga foleni ofisini kwenu na kingamuzi mara mbadilishe mara sijui nini wengi hatuwezi mkuu jipangeni!
 
Mohamedi Mtoi

Mohamedi Mtoi

R I P
Joined
Dec 11, 2010
Messages
3,324
Points
0
Mohamedi Mtoi

Mohamedi Mtoi

R I P
Joined Dec 11, 2010
3,324 0
Tatizo watanzania tuna mawazo mgando! Mwenzetu kaleta dili tulichangamkie kama tunaona inafaa watu wanaanza kulipuka na kasoro kibao! Kama hutaki kaa kimya wenzako wata changamkia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,181
Points
2,000
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,181 2,000
tatizo vingamuzi vyenu ni ovyo sana
watu wenye akili timamu hawavinunui maybe wakauziwe wajinga nje ya mji!
au mmeshajirekebisha ? maana mimi changu nilikitupa siku nyingi kwa kweli,wateja walipokuwa wachache mlishindwa kutuhudumia je wakiwa mamilioni?
kila siku kupanga foleni ofisini kwenu na kingamuzi mara mbadilishe mara sijui nini wengi hatuwezi mkuu jipangeni!
Wewe Smile mbona unapiga za kwenye mshono...
 
Last edited by a moderator:
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Messages
5,140
Points
2,000
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2011
5,140 2,000
tatizo vingamuzi vyenu ni ovyo sana
watu wenye akili timamu hawavinunui maybe wakauziwe wajinga nje ya mji!
au mmeshajirekebisha ? maana mimi changu nilikitupa siku nyingi kwa kweli,wateja walipokuwa wachache mlishindwa kutuhudumia je wakiwa mamilioni?
kila siku kupanga foleni ofisini kwenu na kingamuzi mara mbadilishe mara sijui nini wengi hatuwezi mkuu jipangeni!
Usiwe mtu wa kulalamikalalamika,kama unamatatizo yoyote najitolea 4 free nipm nikupe my phone number tusolve tatizo la king'amuzi chako cha startimes
 
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
15,407
Points
1,250
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
15,407 1,250
Tatizo watanzania tuna mawazo mgando! Mwenzetu kaleta dili tulichangamkie kama tunaona inafaa watu wanaanza kulipuka na kasoro kibao! Kama hutaki kaa kimya wenzako wata changamkia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ni kweli hili ni dili la ukweli,lakini kwa nini uchukue hela za watu kwa kuwapa kitu kisicho bora bwana? ni sawa na kuuzia watu dawa ya uongo wakati unajua kabisa kesho watakufa iyo hela itakufaa nini.? waboreshe kwanza huduma zao..otherwise ni kudhulumu hela za watu..wewe nenda ofisini kwao uone watu wanavoleta vingamuzi na malboro daily!
 
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
15,407
Points
1,250
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
15,407 1,250
Usiwe mtu wa kulalamikalalamika,kama unamatatizo yoyote najitolea 4 free nipm nikupe my phone number tusolve tatizo la king'amuzi chako cha startimes
kweli nilishakitupa mkuu nimeenda pale buguruni mara 5 mara wabadilishe mara wafanyeje holla na sio mimi tu majirani ndugu zangu kila mtu analalamika...dkk mbili tu mara kizime mara weka antena hivi khaaa! nilichokaje?
 
adakiss23

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
3,383
Points
2,000
adakiss23

adakiss23

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2011
3,383 2,000
Afu CD zao kwa scratch wacha kabisa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
U

usawa wa

Member
Joined
Jul 21, 2011
Messages
28
Points
45
U

usawa wa

Member
Joined Jul 21, 2011
28 45
kweli nilishakitupa mkuu nimeenda pale buguruni mara 5 mara wabadilishe mara wafanyeje holla na sio mimi tu majirani ndugu zangu kila mtu analalamika...dkk mbili tu mara kizime mara weka antena hivi khaaa! nilichokaje?

nikweli kingamuzi cha star times hovyo kabisa mi mwenyewwe nilinunua kipindi kile cha weldi kapu 2010, najuta kujifahamu, picha zinaganda ganda,yaani frustration tupu, ukipiga simu mara elekeza antena kisarawee, sijui weka nnnn hv, yaani full frustration kiko nyumbani kama pambo tu, sitaki hata kuwasikia, TBS sijui wanafanyan niini !!!!
 
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
15,407
Points
1,250
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
15,407 1,250
nikweli kingamuzi cha star times hovyo kabisa mi mwenyewwe nilinunua kipindi kile cha weldi kapu 2010, najuta kujifahamu, picha zinaganda ganda,yaani frustration tupu, ukipiga simu mara elekeza antena kisarawee, sijui weka nnnn hv, yaani full frustration kiko nyumbani kama pambo tu, sitaki hata kuwasikia, TBS sijui wanafanyan niini !!!!
badala waelekeze nguvu kwenye kuboresha huduma zao wapo busy kujitangaza! wamekula laki yangu na ushee hivihivi wewe waache!
 
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Messages
5,140
Points
2,000
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2011
5,140 2,000
ni kweli hili ni dili la ukweli,lakini kwa nini uchukue hela za watu kwa kuwapa kitu kisicho bora bwana? ni sawa na kuuzia watu dawa ya uongo wakati unajua kabisa kesho watakufa iyo hela itakufaa nini.? waboreshe kwanza huduma zao..otherwise ni kudhulumu hela za watu..wewe nenda ofisini kwao uone watu wanavoleta vingamuzi na malboro daily!
kaka naomba 2crumbane hapa, kama unafikiri mi nipo hapa kurumbana basi endelea kulaumu ujaze post ila kama ni mwelewa na unataka usaidiwe tatizo la king'amuzi chako nipm nikupe namba yangu /uje ofisini hapa bamaga usaidiwe.
Toka nimepost hapa wa2 17 wamenipm 8 nimemalizana nao nimewaelekeza kwa zile channel zinazosumbua na namna ya kufanya wameridhika na watke mawakala 6 tayari wamekubali wa3 wapo njiani kuja wengine wa2 wanakuja kesho asubuhi kati yao m1 atakuja na cash kuchukua kbs mzigo huyo m1 atanipigia kesho na wengine tumepeana ahadi ndicho nlichofanya baada ya kupost hapa so kama ni mwelewa fanya hivyo.
 
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
15,407
Points
1,250
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
15,407 1,250
kaka naomba 2crumbane hapa, kama unafikiri mi nipo hapa kurumbana basi endelea kulaumu ujaze post ila kama ni mwelewa na unataka usaidiwe tatizo la king'amuzi chako nipm nikupe namba yangu /uje ofisini hapa bamaga usaidiwe.
Toka nimepost hapa wa2 17 wamenipm 8 nimemalizana nao nimewaelekeza kwa zile channel zinazosumbua na namna ya kufanya wameridhika na watke mawakala 6 tayari wamekubali wa3 wapo njiani kuja wengine wa2 wanakuja kesho asubuhi kati yao m1 atakuja na cash kuchukua kbs mzigo huyo m1 atanipigia kesho na wengine tumepeana ahadi ndicho nlichofanya baada ya kupost hapa so kama ni mwelewa fanya hivyo.
siji labda nije mnirudishie hela zangu tu basi
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,969
Points
1,225
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,969 1,225
tatizo vingamuzi vyenu ni ovyo sana
watu wenye akili timamu hawavinunui maybe wakauziwe wajinga nje ya mji!
au mmeshajirekebisha ? maana mimi changu nilikitupa siku nyingi kwa kweli,wateja walipokuwa wachache mlishindwa kutuhudumia je wakiwa mamilioni?
kila siku kupanga foleni ofisini kwenu na kingamuzi mara mbadilishe mara sijui nini wengi hatuwezi mkuu jipangeni!
Subiri tutakavyo zima mitambo ndo utatia akili
 
adakiss23

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
3,383
Points
2,000
adakiss23

adakiss23

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2011
3,383 2,000
Kama una lengo la kusaidia ili wateja tusilalamike toa maelekezo hapa mambo ya kukupm yanatoka wapi? Kwanini iwe pm na isiwe hapa. Toa maelekezo itasaidia watu wengi. Mfano tatizo la kugandaganda suluhisho nn? Kama majibu yako hapa jukwaani yako hivi huko ofisini kwako kutakuwaje? Mteja mfalme ww au hujui nn maana ya huduma kwa wateja. Watu wengine bana!

Hebu sema suluhisho la huu mgando mgando.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kiresua

Kiresua

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2009
Messages
1,178
Points
1,225
Kiresua

Kiresua

JF-Expert Member
Joined May 13, 2009
1,178 1,225
Mkuu umeisoma hiyooo!!

ohooooo!!

[h=1]Kuishitaki Star Times katika Tume ya Ushindani wa Kibiashara (FCC)[/h]Wakuu nimejaribu kutafuta contact za Fair Competition Commission (FCC) ili niweze kuishitaki kampuni ya Star Media Ltd maarufu kama Star Times kwa kutangaza bei ya bidhaa ambayo ni tofauti na ile wanayotoza. Ikumbukwe kuwa Star Media ni moja kati ya kampuni tatu zilizopewa zabuni ya kuuza ving'amuzi kwa ajili ya migration from analogue to digital broadcasting. Kampuni nyingine ni Agape Associates Limited and Basic Transmissions Limited.

Hawa jamaa wamekuwa wakitangaza bei ya king'amuzi kimoja kuwa ni "sh. 39,000/= tu"!. Lakini ukienda katika shop/branch zao popote pale Dar es Salaam wanakuambia yafuatayo:

  • Kwamba huwezi kununua king'amuzi bila ya kifurushi (ambacho kidogo sana kinauzwa sh. 9,000/=, kwa hiyo pamoja na king'amuzi minimum jumla unatakiwa kutoa sh. 48,000/= na sio 39,000/= wanayotangaza
  • Kama vile haitoshi, kila shop yao utapewa jibu la kwamba kifurushi cha sh. 9,000/= kimeisha, so walau ununue kinachofuata kwa unafuu wa bei kinachouzwa sh. 18,000/= kwa hiyo pamoja na king'amuzi jumla unatakiwa utoe sh. 57,000/= na sio 39,000/= wanayotangaza.
  • Hawatangazi kuwa unatakiwa ununue antenna yao ili ukamate vizuri signal, lakini ukifika katika shop yao ndio unakutana na vitisho hivyo kuwa signal inaweza kuwa weak kwa kuwa hukutumia antenna yao, so unalazimika kununua.

Sasa mimi ninatamani niyafikishe mambo yote haya katika Tume ya Ushindani wa Kibiashara (FCC), lakini nimesearch website yao nipate contacts bila mafanikio. Anayewajua hawa jamaa wa FCC aniwekee hapa phyisical contacts niwashitaki Star Times. Nadhani nitakuwa nimewajibika kwa upande wangu kuliko kulalamika tu.
 
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Messages
5,140
Points
2,000
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2011
5,140 2,000
Smile anafoka ameboreka mkuu!!, chezeya kuboreka weye!!?

hafu mbona hamko Morogoro nyie vipiii hata siwaelewi!!
kaka moro mtambo ndo unajengwa sasa hivi upo karibu kumalizika.

TATIZO LA SIGNAL linatokana na vi2 v3:
1. Öngezeko la wateja ni kubwa kwa hivo mitambo inazidiwa. Tunafanya kila jitihada kuongeza mitambo ye2 mfano sasa 2najenga mtambo makongo ambao mda wowote utakamilika kwa hivo tatizo la signal litata2liwa.
2. Aina ya antena unayo2mia wengine wana2mi tube, chadema afu wanalalamika jitahidi u2mie sonnet au antena ye2 basi.
3. Upo eneo gani? Kama upo bondeni sana lazima itakucmbua jaribu kurefusha antenna juu zaidi.
 
Forum statistics

Threads 1,283,859
Members 493,849
Posts 30,803,484
Top