Mitomingi8s
Senior Member
- Jan 17, 2011
- 132
- 39
Ndugu jamaa na majirani zangu ninapata shida hapa hawa jamaa wa ving'amuzi natafuta chanel za kibongo kama ITV,EATV,STAR TV, na zile zote za hapa mjini kwanini sipati humo? au kuna intelligencia maalum? zamani nilikuwa naseach kwa kutumia code hii manually 531 lakini sasa inakataa. Kwa mtu yeyote anayejua anijuze plse au kama kuna altenative anipe pia. Hiki ni king'amuzi cha startimes